Jambo zuri limefanyika Tanzania - hongera TRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambo zuri limefanyika Tanzania - hongera TRA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwafrika, Sep 14, 2010.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii nimeona kwa michuzi (toka kwa subi toka somewhere) kuhusu DL mpya....safi sana na hongera:

  [​IMG]

   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Safi!
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Tuombe upatikanaji wake uwe bila mizengwe.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mbona ziko kama za Marekani....
   
 5. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu magumashi kama kawaida! KUFOJI VILEVILE NA WASIO STAHILI WATAPATA HIZO LAASENI HASA HAWA MADERAVA WETU WA SIKUHIZI WASUKUMA MAGARI BAADA YA KUENDESHA.
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  MODS - Peleka hii kwenye Jukwaa la Hoja Mchanganyiko.
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kumbe drivin license ni ishu ya kisiasa?
  ndo nimejua leo
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nadhani huu ndio ulikuwa mpango wenyewe (kwa kuanzia).
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Safi best ila mwombe invisible aipeleke kwenye forum husika manake hapa 100% si mahali pake!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kila kitu kinaweza kuwa huko ndani - kuanzia kuandikisha wapiga kura hadi kuthibitisha uraia wa wagombea. Si umesoma hapo mambo ambayo yanaweza kuingizwa huko.

  Anyway.... Binafsi niko happy kuona mambo mazuri once in a while yanatokea Tanzania.
  Imewekwa hapa jukwaa la siasa kwa vile wengi wataiona - Invisible pia atapata credit kwa "kuruhusu" habari nzuri za Tanzania kusomwa na wana JF ...LoL
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Safi sana haya ndio maendeleo.Nilikuwa nachukia hizi driving license tunazotumia sasa hivi zimekaa kishamba kweli kweli.......hata kwenye wallet zilikuwa zinakaa vibaya.
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  swali dogo tu? kuna infrastructure za kusupport hii technology?maana nakumbuka wakati flan UDSM wali introduce ID zenye uwezo wa kubeba taarifa nyingi lakini zikawazinatumika kuingilia Library tu wakati mwingine unashangaa kwa nini waliamua kuanzisha kadi zile.
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii nadhani itakuwa tofauti (na bora zaidi) kuliko zile za mlimani
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hii safi ila je kwa ukiritimba wetu huu itakwenda kama inavyotakiwa kweli
   
Loading...