Kampeni/mikutano ya/za Kikwete na wanawake - picha

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Wale wachafuzi wa threads (malaria sugu na wenzako) mkae mbali kabisaaa na msilete upupu wenu hapa. Hii ni thread ya kuonesha kinachoendelea kwenye mikutano/kampeni za kikwete:

Ngara.jpg
 
Kwakweli Kikwete anajua sehemu ambapo atapatia kura. ndio maana anakazania kusema atashinda amepandisha hospitali, anwanunulia bajaji wajawazito, nami kwa maoni yangu katika eneo ambapo chadema wanatakiwa walifanyie kazi ni kupata support kutoka kwa wanawake. eneo hili linawapiga kura wengi sana. Chadema elezeni sera zenu kuhusu wanawake katika kila mikutano ya kampeni, hospitali, maji, na vitu kama mtawawezeshaje wanawake katika kujikwamua kiuchumi. Bado wanawasiwasi katika meneo haya. jaribuni kufuatilia midahalo, maswali mengi wanayouliza wanawake ni kuhusu hospitali.
 
chadema wamefanya na wanafanya haya kila siku mkuu guta
 
Fulana bure, Kofia bure na disco juu.. kwanini wadada wasicheze alaji...................kazi kweli kweli sijui kama hii ndo samani ya kura yetu.. au wanacheza tu kufurahisha roho zao then 31st October 2010 wakapige kura ya mabadiliko.
 
Back
Top Bottom