Search results

  1. E

    Glowing Skin

    Kama umetamani kuwa na ngozi yenye mng'ao unaweza kutumia huu mchanganyiko Changanya Manjano 1/2 kijiko kidogo Maziwa kijiko 1 kidogo Asali 1/2 kijiko kidogo Pakaa mchanganyiko kwenye uso na shingoni. Wacha ikauke kwa dakika 20 kisha uoshe kwa maji safi. #glowingskin #naturalskincare
  2. E

    Ng'arisha ngozi

    Kwa kutumia vitu vya asili unaweza kubadilisha complexion ya ngozi yako. Hii inafaa sana kama umebabuka na jua au unataka kutakatisha ngozi yako Changanya Turmeric 1/2 kijiko kidogo Mtindi kijiko 1 kidogo Juisi ya limao 1/2 kijiko kidogo Paka mchanganyiko huu usoni hadi shingoni na uache ukauke...
  3. E

    Nafasi ya Kazi Moshi: Msichana anayeweza kufanya sales na secretarial

    Anahitajika msichana mwenye uwezo wa kufanya kazi ya mauzo na secretarial Moshi mjini. Awe na uwezo wa kuwasiliana kwa kiingereza pia awe mchangamfu. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0657170398
  4. E

    Usawa katika ndoa hupunguza hamu ya tendo la ndoa

    Nimesoma hii article ya Wamarekani, je hali hii ipo pia katika jamii zetu. Marriages in the US are more egalitarian these days when it comes to work, household chores, and even extramarital affairs, but that may not be good for married people's sex lives, writes Lori Gottlieb at the New York...
  5. E

    Fundi nguo

    Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
  6. E

    Fundi nguo

    Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
  7. E

    Rav4 Inauzwa at reasonable price

    RAV 4, MODEL JT172SC,UK MODEL,WHITE STATION WAGON,121163KMS,PETROL,RIGHT HAND,VERY GOOD TYRES,POWERFUL CAR SUBWOOFER MUSIC. Milioni kumi na mbili 12,000,000 PM kwa mazungumzo tafadhali
  8. E

    Toyota Rav4 Inauzwa

    RAV 4, MODEL JT172SC,UK MODEL,WHITE STATION WAGON,121163KMS,PETROL,RIGHT HAND,VERY GOOD TYRES,POWERFUL CAR SUBWOOFER MUSIC. Milioni kumi na mbili 12,000,000 PM kwa mazungumzo tafadhali
  9. E

    Blackberry 9900 Inauzwa

    Bei 180,000 kwa mawasiliano piga no 0713630565 au 0766337337
  10. E

    CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

    Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga...
  11. E

    BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

    Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi..... More update to follow....
  12. E

    Unapojali watu...

    Nimeshindwa mtu wa kuzungumza naye kuhusu hili sababu naona linanizidi kidogo na kuni overwhelm kwa namna flani sababu limenitokea mfululizo Namjali kila moja kwa jinsi ninavyoweza na pia huwaeshimu kwa kuwachukulia ni kwanza ni binadamu wenzangu na pia ni kama marafiki pia kwasababu mazingira...
  13. E

    ErickB52 Kakamatwa Mwanza

    Jamani mwenye taarifa zaidi atujuze, ni tetesi nimezipata kwa mtu wangu wa karibu...
  14. E

    Eti nae katoka nyumbani amevaa

    Nini hiki?
  15. E

    Mastaa wenye meno mabaya..............

    Mipesa yote wanayomake wanashindwa kutengeneza meno yao...............kwakweli
  16. E

    Wali wa sausage na mboga

    JIFUNZE KUPIKA WALI WA SAUSAGE NA MBOGA MAJANI MCHANGANYIKO JIFUNZE KUPIKA MBOGA MAJANI NA MCHANGAKO WA WALI NA SAUSAGE MAHITAJI 3 vipande vya sausage 1 fungu la majani ya vitunguu 1 kitunguu kikubwa 100 gram njegere 500 gram chele basmati 5 gram chumvi 5 gram pili pili...
  17. E

    Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

    Nimesoma just now toka blog ya *************** kuwa amekamatwa kwa mauaji yaliyotekea juzi hapo Singida, hii ni baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari
  18. E

    Ajali kongowe

    Kuna ajali kama zaidi ya tatu hapa Kongowe. Barabara zimefunga kabisa. Ajali ya kwanza semitrela imelalia tax watu zaidi ya watatu inasemekana wamekufa Ajali ya pili semitrela imelalia gari tatu, foleni ya ajabu. Unbelievable! vibaka nao wamepata uwanja wa kujidai.
  19. E

    Kwa msisitizo Nape kapiga magwanda

    Nape mufilisi kweli kapiga gwanda jeusi kama la Mbowe wakati anatoa pongezi. ITV news
  20. E

    Watanzani tuko vipi

    Salaam Wakubwa Naomba mawazo/mchango wenu katika kufahamu upekee wa Mtanzania ukifananisha na nchi nyingine duniani katika Mazingira tunayoishi mf mitaa na jinsi watu wanavyosurvive maisha ya mjini Kitu gani kina wainfluence/kuwavutia waTZ zaidi na je unapokuwa na washkaji kusocialize ni kitu...
Back
Top Bottom