Watanzani tuko vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzani tuko vipi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Elizabeth Dominic, Mar 21, 2012.

 1. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Salaam Wakubwa
  Naomba mawazo/mchango wenu katika kufahamu upekee wa Mtanzania ukifananisha na nchi nyingine duniani katika
  Mazingira tunayoishi mf mitaa na jinsi watu wanavyosurvive maisha ya mjini
  Kitu gani kina wainfluence/kuwavutia waTZ zaidi na je unapokuwa na washkaji kusocialize ni kitu gani uniquely Tanzanian unapendelea kufanya? Na je kwenye suala la mavazi, michezo kuna kitu cha pekee kinachoweza kututambulisha katika nyanja mbalimbali?
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Watanzania twaweza kuwa hatujuani ila tukakaa pamoja na kula na kunywa na kununuliana bia utadhani tumesoma pamoja ila nchi nyingine hakunaga....mfano Kenya
   
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kweli hiyo kipekee kabisa je uko kitaa watu wapoje? Na lugha za mtaani je
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lugha ni ngumu sana kwa kuwa lahaja zimeongezeka sana....unaweza hama mtaa ukawakuta jamaa wanaongea usiambulie kitu.....
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kwenye lugha tutambulika sana, na mavazi je? au kuiga sana
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tunapenda kusalimiana...hata kama tumeonana mara ya kwanza!...
  hatuna HARAKA kabsaaaa!..muda kwetu sio mali...
  tunapenda kuzungumzia NGONO na kufanya!..LOL

  tuna kauli ya ASANTE,NASHUKURU,NAOMBA...hata kama ni haki yako!..
   
 7. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  We acha tu, eti wanaita ukarimu lakini ni uungwana au sio?
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tena uungwa wakupindukia!..ila ndo tukubali ndivyo tulivyo!.
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kazi na dawa eti wengi wetu ni chapombe? Lunch time inaenda na Castle lite
   
Loading...