Search results

  1. Old guard

    Ni bora nisingemjua Mama yangu

    Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui...
  2. Old guard

    Plot4Sale [emoji95]VIWANJA KIGAMBONI KWA BEI RAHISI/NA MALIPO KIDOGO KIDOGO

    [emoji95]VIWANJA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO[emoji95] UMBALI [emoji3502]Km 22.6 kutoka Ferry. [emoji3502]Km 24 kutoka kigambon Darajani [emoji3502]Kutoka Kibada Center ni kilomita 15 hadi site SIFA ZA MRADI [emoji736] Barabara ipo [emoji736] Makazi pia yapo kama yote [emoji817] [emoji736] Huduma...
  3. Old guard

    Maisha yanazidi kuwa magumu, familia inanitegemea na sinachochote cha kuwapa. Kichwa kinawaka moto sijui la kufanya!

    Binafs mambo yamenizidia kuwa magum sana, niseme nimefilisika, nimekubaliana na hali, sina ajira tena, sina pesa tena sijui nianzie wapi, huku nyuma familia inanitegemea, mke na mtoto mmoja wanahitaj huduma. Nahisi kuchanganyikiwa muda mwingine unatembea kama kichaa, huku unawaza. Yaani...
  4. Old guard

    Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

    Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira ana tabia ya kujibonda chini au sehemu yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labda akikuwa ataacha. Sasa hivi imekuwa too much anaweza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi...
  5. Old guard

    Polisi nchini wana roho mbaya na kauli chafu

    Kiukweli nimejawa na sumu kali sana kwa jeshi la polisi, hawa majamaa sio watu wa haki, wamejawa na dhulma, tamaa na roho mbaya, ukikutana nae kavaa kiraia kama mtu vile, sasa kutana nae kavaa sare zake, roho ya ushetan imeshamtawala wanajiona wapo juu ya haki. Tena usiombe ukutane na mwanamke...
  6. Old guard

    TV4Sale Nauza Tv inch 55

    Tv: inch 55 Aina: Star X 4k Bei:850k Mahali:Dar es salaam nb;haina tatizo lolote
  7. Old guard

    Naangamia nahisi kukata tamaa

    .
  8. Old guard

    Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo?

    1. Mimi miaka kadhaa nyuma kuna dem nilimuahidi akija geto nitampa 20k, si akajichanganya akaja geto nikala mzigo fresh baade kataka ile hela nikamwambia sina nitakupa siku nyingine. Basi tukalala, ile naamka asubuhi demu hayupo, nikagundua kumbe kaondoka na kisado cha dagaa nyama, nilihis ganz...
  9. Old guard

    INAUZWA Nauza home theater LG watts 1000 bei kitonga

    nauza home theater LG watts 1000 bei 480k spika ndefu 4,1 kidogo cha mezani,base, na deki yake redio bado mpya inamakaratasi yake location:Dar es salaam,kigamboni
  10. Old guard

    Makonda ulichonifanyia leo kweli nimekwazika

    bila kupoteza mda hili lijamaa lijinga sana tena halina akili mida hii nipo kaffe koffe ya masaki nmetulia zangu nikafika hapa nikalikuta limekaa na watu kama wa 4 hv wadada wawili wanaume wawili. Mimi nikaendelea na mambo yangu kwamaana saiv halina jipya mjini hapa mara nikaitwa kijana nikatii...
  11. Old guard

    Wanawake wa miaka hii hawapendi mitongozo mikavu

    Wanawake wa miaka ya sasa ni tofaut na miaka ya zamani, msichana ukikutana nae for first time ukaomba namba ukamtongoza atakuzungusha sana tena km ndio hajavutiwa na wewe ndio unaeza kutuma msg hata zisijibiwe. Ila sasa wewe chukua numb alaf sema shida yako direct(sex) bila kuyumbisha alaf...
  12. Old guard

    Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

    Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show. Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini...
  13. Old guard

    Mgambo kuvunja vibanda na kuchukua bidhaa za wajasiriamali ni uonevu, imeniuma sana

    Nimeripoti ofisini hapa maeneo ya Posta nikazunguka nyuma ya jengo la Viva tower nipate angalau break fast kabla ya kuanza kazi mara ghafla mamigambo wakavamia na kuanza kuvunja vitu vya wajasiriamali na mama ntilie, kiukweli imenigusa sana imeniuma mno nimeassume je angekuwa ndio mama angu...
  14. Old guard

    Heshimu hela ya mwanaume

    Kwenu wadada na wamama heshimu ile pesa anayokupa mwanaume hujui kaipata katika mazingira gani wengi wao wanapata msoto sana ndipo wanapata hiyo hela. Nipo kampuni X iliyopo posta katika jengo moja maarufu sana, unaeza kuta mzee yan rika km la baba ako amekula zake suti kavua koti anaosha gar...
  15. Old guard

    Ni kazi ya Mola lakini kwa hiki kinachoendelea Tanzania ni aibu na kituko

    Mda mwingine unaeza kulaum kwanini Mungu kafanya hivi lakini ndio kazi yake haina makosa RIP Magufuli Anyway nipo hapa naangalia eti mapokezi ya Rais yan kiukweli nimebaki naumia sana yaani viongozi wanaongea kisifa yaani wamejaa unafiki wanatumia nguvu nyingi kuaminisha dunia kuwa watanzania...
  16. Old guard

    House4Rent Chumba kinapangishwa kigamboni daraja la nyerere

    Chumba kinapangishwa kigamboni daraja la nyerere kodi elfu 60 mkataba miez 6 main road mpk kilipo ni mita chache sana Umeme matumizi yako na bill ya maji 3000 kwa mwez Haina udalali muhusika mkuu ni mm mwenyewe Mawasiliano 0620149421
  17. Old guard

    Plot4Sale kiwanja kinauzwa kigamboni kwa bei nafuu sanaaaa ushindwe wewe

    Habari!! Kiwanja kinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya cha kigamboni kimebaki kimoja mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000) kutoka ferr mpk kona ya chuo ni km 22 kutoka main road mpk kwenye kiwanja ni km dakika 7 kwa pikpik umeme umefika na kiwanja kimepimwa kipo...
  18. Old guard

    Naomba kujuzwa faida na hasara za kuvaa nguo ya ndani na kutokuvaa?

    Hivi naomba kujuzwa faida za mwanaume kuvaa boxer na hasara za kutokuvaa kwa maana naona kama kero ukivaa inayotight dushe inabanwa sana korodani ndio usiseme ukivaa yakuachia space dushe inajichora mpaka sometimes aibu.
  19. Old guard

    Hakuna kitu kinauma na kuleta uchungu kama ufike Mjini halafu hauna hela

    Hivi ulishawai kufika Mjini alaf mfukon hauna hata mia mbovu yan mifuko imedoda ukitazama huku unaona vitu vitamu madikodiko ukitazama kule unaona watoto wazur vishund** vimejaa mpk inamwagika unabak kutingisha kichwa tu! Tutafute pesa ili tuenjoy good life, maisha ni matamu sana ukiwa na pesa
Back
Top Bottom