the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,573
- 2,944
Wanawake wa miaka ya sasa ni tofaut na miaka ya zamani, msichana ukikutana nae for first time ukaomba namba ukamtongoza atakuzungusha sana tena km ndio hajavutiwa na wewe ndio unaeza kutuma msg hata zisijibiwe.
Ila sasa wewe chukua numb alaf sema shida yako direct(sex) bila kuyumbisha alaf msikilizie utasikia jibu utakalopewa "utanipa shingap" na sio kama yupo single bali anamahusiano kabisa lkn huku nje kinauzwa.
Kuweni makini na wapenzi wenu sikuiz wanawake hawapend mitongozo mikavu wanataka pesa tena km ukifunguka shida yako na kusema ntakupa pesa, wengi wao hawachomoi.
Nawasilisha