Ni bora nisingemjua Mama yangu

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,488
2,695
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
 
Pole sana mkuu, najua utakua unajisikia vibaya sana na kuona kama umesalitiwa au upo neglected. Pole mkuu.

Cha kufanya, aliekulea kama mama (mama mlezi) ndio mchukulie kama maka yako. Muheshimu. Mpende. Mpe mapenzi yote kama ya mwana kwa mama. Uyo mama (mazazi) mchukulie kama ovaries donor tu.

Ukija ukijipata, atakuja mwenyewe.
 
Pole Sana aiseee,
Kuna Rafiki yangu mmoja pia anachangamoto kama hizo kutoka Kwa mama yake mzazi, Sijui kuna kina mama Wana akili gani? Au labda ndo kaumbwa hivyo na hiyo na hiyo ndo tabia yake,huwezi mbadilisha...jifunze kuishi kutokana na tabia yake, moyoni usiweke kama mtu wa muhimu.
 
Pole sana mkuu, najua utakua unajisikia vibaya sana na kuona kama umesalitiwa au upo neglected. Pole mkuu.

Cha kufanya, aliekulea kama mama (mama mlezi) ndio mchukulie kama maka yako. Muheshimu. Mpende. Mpe mapenzi yote kama ya mwana kwa mama. Uyo mama (mazazi) mchukulie kama ovaries donor tu.

Ukija ukijipata, atakuja mwenyewe.
ndugu yang nmekaa nalo rohon takriban miaka mingi sana linaniumiza mno kila nikitaka kuandika hapa huwa nafuta ila jana mambo yamenilemea moyon mwangu
 
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.

Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.

Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".

Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.

Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.

Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.

BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!

BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Mama yako mzazi sio huyo
 
Usimchukie Ila tumia ile mbinu inaitwa "Love from a distance" mpende na msaidie pale unapoweza Kama Mama yako Ila usiweke ukaribu wa kumtegemea kimawazo , kiuchumi n.k

Pia mzingatie na muweke karibu Sana huyo care giver wako step-mother wako aliyekulea MPE ushirikiano na kum-keep closer.

pia hakikisha unakuwa positive Sana usimchukie MTU yeyote hapa duniani Bali yachukie mambo yao na sio Watu.

Nahisi mkuu upo financial broke that's why unaona watu wako wa Karibu wanakutenga ,hii ni kawaida watu weusi wapo hivyo wala usichukulie serious Sana.

Katika vipindi vigumu Omba Mungu akupe utulivu (serenity) Kama mama yako alikuzaa na hajakutoa Kama Abortion basi MPE heshima ,hii itafungua Milango Sana.

CCC.Dr
 
Upendo umekwisha mkuu.

sku hizi mioyo ya Wana damu inaendeshwa na nguvu ya pesa.

Usifute namba Ni mama.huyo.

Anaweza akawa ana pitia magumu ambayo huya jui

na hawezi kukwambia kwani ana jua hauya wezi magumu yake"

Naku hakikishia mkuu mama kwa mtoto.hanaga ujanja"
Ni mambo tu haya jamwendea vizuri.,..

Kama sivyo mkuu huenda Kuna siri ambayo yeye anaijua na wewe huijui labda ndio msingi wa hayo yote kutokea
 
Back
Top Bottom