Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,488
2,695
Nina mtoto wa kiume umri miaka 2.5, huyu kijana wangu akiwa na hasira ana tabia ya kujibonda chini au sehemu yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana, kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labda akikuwa ataacha.

Sasa hivi imekuwa too much anaweza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya basi ni ugomvi mzito.

Katoka nundu chini ya jicho jana tu sasa hivi napata taarifa kavimba kichwa washavurugana na mama yake.

Kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto ana tatizo gani halafu anakuwa ana hasira kali sana muda mwingine anataka mpaka mpigane kama mkitibuana anakukwida.
 
Kitu kilichonishinda ni hizo hasira za mpk kurusha kilicho mbele yako, kujigonga…
Huyo mtoto mama ake uwa hambamizi na makopo kweli ama ndala? 😁😁

Mlete nikusaidie kumchapa… unakachapa kisawa sawa, kisha unakapa maelekezo. Hakawezi rudia
 
Back
Top Bottom