Search results

  1. Ivan Breaker

    Tengeneza Poster ( Graphic Designed Posts ) kutoka kwangu ( [emoji1626]Tanzanian Tech-Preneur of the year 2023 )

    Naitwa @realivanbreaker ni Digital Marketer na pia ni Tech-Preneur. Nina fanya shughuli mbalimbali kama kuandaa Contents, kushoot video na kupiga picha ( Commercial/Corporate videos & photos ) Na pia kwenye Extra time yangu huwa natengeneza Posters, Logos, na kazi za graphic designing nyingine...
  2. Ivan Breaker

    Ombi kwa Wakuu! Kijana wenu nahitaji Kura zenu ( VOTES )

    Habari! Ni Ivan Breaker, nimefanikiwa kuwa miongoni mwa wawania tuzo za vijana chipukizi Tanzania zilizoandaliwa na @youthawards_tanzania. Kwa sasa ninafanya shughuli zote za mambo ya Digital Marketings. Nipo Katika kipengele cha Tech-Preneur Of The Year 2023. Ukiwa kama ndugu/rafiki au mdau...
  3. Ivan Breaker

    Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Habari za jioni wakuu! Wakati kila mmoja wetu akiendelea kupambana na maisha kila siku kuyatafuta mafanikio, basi pitia hii bill hapa ya masaa machache tu ndani ya usiku mmoja, ikawatie moyo zaidi wa kuendelea kupambana na maisha [emoji383]. ~ Wakati wewe unazaliwa ndio huo huo wakati ambao...
  4. Ivan Breaker

    Tupeane muongozo wa biashara ya Photo & Video Production

    Habari zenu wakuu! Mwaka 2023 ukawe wenye kheri kwa kila mmoja humu ndani. Niende straight kwenye point ya uzi huu. Wakuu naomba tusaidiane kujuzana muongozo mzima wa kuanzisha na kuendeleza biashara hii ya Photo & Video production, kuanzia kwenye gharama zake, faida yake pia na hasara yake...
  5. Ivan Breaker

    Graphics Designer naomba natafuta kazi

    Habari za jioni ndugu zangu! Nimekuja kwenu hapa kuomba Support ya aina yoyote katika kitu nachokifanya cha kujitafuta na kutafuta maisha kusudi mambo mengine yaweze kwenda vizuri. Nimekuwa nikifanya kazi za Graphics designing pamoja na kazi za uPhotographer lakini changamoto kwangu imekuwa ni...
  6. Ivan Breaker

    Je, biashara ya viatu vya special na mtumba vinagharimu mtaji wa Tsh ngapi?

    Kama Uzi unavyosema hapo Naishi Dar es Salaam. Nataka kupata uzoefu ambao utanisaidia na utasaidia kwa watakaofuatilia Uzi huu, kuhusu biashara hii kwa ambao walishaifanya na hata kwa wenye uelewa nayo hii biashara. Ahsanteni!
  7. Ivan Breaker

    Tusapotiane/Tupeane madeal wakuu ili December ipendeze kwa wote

    Wakuu tupeaneni support kwenye biashara zetu. Natengeneza matangazo kwaajili ya biashara yako, karibu nikutengenezee. Pia kama kuna deal yeyote tushirikishane wakuu tusitengane [emoji119] Nina nyuzi nyingi humu kwa atayehitaji kufahamu baadhi ya taarifa zangu, anaweza akazipitia. Yote kwa yote...
  8. Ivan Breaker

    Natafuta mchongo wowote wa kutengeneza digital works kama Photo Manipulation/ Audio making/ Video & Picture editings na Animation making

    Wakuu kwema humu ndani... nina kazi chache hapa chini kama sample tu nilizofanya. Kama kuna mtu ambaye anavutiwa na masuala yanayohusu tasinia ya burudani katika sector yeyote ile, basi nahisi nitakuwa nafaa zaidi kuwa upande wake tukafanya kazi nzuri zaidi [emoji1666]
  9. Ivan Breaker

    Swali kwenu watoto wa kike! Huwa mnatoa wapi ujasiri wa kumuomba mwanaume hela ya Pedi?

    Dah yani binafsi huwa nashindwa kuelewa inakuwaje kuwaje hadi wewe mwanamke unaamua kumuomba mwanaume hela ya Pedi. Though sijaona mengi duniani ila toka nizaliwe sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke na akaniomba hela ya Pedi. Ila hawa rafiki zetu sasa wa kike hiyo tabia ya kutuomba hizo...
  10. Ivan Breaker

    Wale wa Number E kitu tayari kipo mjini

    Wale wenzangu na mimi tuliokuwa tukisubiri kwa hamu hatimaye muda umefika sasa [emoji4]
  11. Ivan Breaker

    Ushauri wa mahusiano kwa kutumia wimbo wowote uliowahi kuusikiliza

    Habari za leo Wakuu! Leo nakuja na uzi maalumu kwa wote wanaohitaji ushauri unaohusiana na suala zima la mahusiano, kwa kutumia baadhi ya maneno kutoka kwenye nyimbo za wasanii mbalimbali ( Hasa Wasanii wa HIP HOP ) Kwa kuanza na wimbo wa MWANA FA - Bado Nipo Nipo Kuna mengi sana ya...
  12. Ivan Breaker

    Wapi napata vifaa vizuri kwaajili ya biashara ya uchoraji Tattoo?

    Habari za leo wakuu! Asee kama kuna mtu anayefahamu wapi vifaa vizuri kwaajili ya uchoraji Tattoo hupatikana? Pia kwa yeyote mwenye uelewa wowote ata uzoefu wa biashara hii naomba anisaidie ABC katika biashara hii. Mwisho hata kwa yeyote ambaye ana biashara hii naomba niweze kuji-connect naye...
  13. Ivan Breaker

    Tazama kipande cha video ikionesha mtu akiuza dole gumba yake ili apate gari

    Tazama video hii kumbe biashara hii huko Zimbabwe ni ya kweli [emoji848]
  14. Ivan Breaker

    Kwanini ukiwa pembeni unaota moto wa kuni, moshi utakufata ulipokaa hata ukihama?

    Heshima kwenu wana jamvi! Kama kichwa cha habari kinavyosema... Hivi ni kwanini ukiwa pembeni unaota moto wa kuni, Moshi wake hukufata unapokaa hata kama ukihama bado utakufata tu !? Binafsi, hiki nishakipitia ila nimebaki na maswali mpaka leo hii pengine humu JF kuna watu wenye uelewa zaidi...
  15. Ivan Breaker

    Mdada anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari za leo viongozi! Kuna dada ana umri wa miaka kati ya 20 - 25 anatafuta kazi yoyote halali hasa ya kuuza duka la nguo ama lolote / kazi za sheli. Kwa hapa Dar es Salaam
  16. Ivan Breaker

    Uliwezaje kujua kuongea kwa lugha ya kabila lenu?

    Kuna muda natamani sana kujua kuongea kwa kilugha changu Kama kuna yeyote anayejua vitabu au namna nzuri ya mtu kukijua kilugha chake basi anieleweshe na mimi. Huko baadae nitaambia nini na mimi watoto wangu wajue asili yao! NB: Kuhusu wale wa ushauri wa kutafuta Pesa, msijali nipo naendelea...
  17. Ivan Breaker

    Nafikiria kuanza kutengeneza animation movies

    Habari za Jumatatu wakuu! Je kuna mtu yeyote humu ndani anayeweza kutengeneza hizo animations au hata mwenye uelewa wowote kuhusu hii kitu? Nahitaji ushauri au mawazo yenu katika hiki kitu, je mnakifikiriaje kwa mtazamo wenu?
  18. Ivan Breaker

    Iv wengine humu ndani connection huwa mnazipata vipi?

    We are the sad generation with happy pictures. Read it again
  19. Ivan Breaker

    Kuna mtu yeyote mwenye ofisi inayojishughulisha na uchoraji tattoo?

    Habari za usiku wanandugu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta mtu mwenye ofisi/anayefanya kazi katika ofisi za uchoraji tattoo. Kuna business issue nataka niwasiliane nae. Asanteni!
Back
Top Bottom