Rafiki yangu wa kike kaibiwa iPhone ndani ya mwendokasi kivukoni

I Phone 7 mpya bado zipo kwenye market?
Mimi si mtu wa kufuatilia sana masoko ya simu so sina cha kukujibu kwenye hilo nachohitaji ni msaada kama nilivyomalizia hapo chini ya uzi
 
Ukiwa kwenye msongamano wowote iwe sokoni au kwenye mabus ya uma usithubu kuweka pesa au simu kwenye beg zen ukavaa kwa nyuma au pesa kwenye mfuko wa nyuma wa suruali,,,,,hasa ukiwa dsm.
 
Wakuu wazima humu ndani? Dah siku ya jana mida kama hii mchana. Rafiki yangu wa kike mmoja alikuwa akitokea ferri kwa usafiri wa mwendokasi akiwa ameweka simu yake kwenye beg la mgongoni lakini kabla ya kufika alipokuwa akienda alikuja kushtuka beg lake likiwa wazi na simu yake aina ya iPhone 7 ikiwa imeshaibiwa maeneo ya Fire

So sad... Simu sio ya kwangu but imeniuma sana maana simu kanunua mwezi machi tu hapa ikiwa mpya na haijamaliza ata miezi mingi tayari imeibiwa

Hawa wezi wa Dar bhana... Binafsi tokea nimezaliwa mpaka leo hii sijawai kuibiwa kitu changu popote pale nitakapoenda na sitamani ije itokee kwangu kitu kama hicho.

Je wakuu hapo hakuna namna nyingine inaweza kurudi?
Kuna babu mmoja namjua yupo tanga kama unataka kumtungeneza huyo mwizi wee njoo pm nikupe connection
 
Aliyeibiwa simu ni wewe wala hakuna cha rafiki yako wa kike,

Ndio maana umejiwahi kwa kusema kua wewe hujawahi kuibiwa kitu!

Sasa nyoosha kwanza maneno ili tukupe maujanja umnase mwizi wako live.
Ukiamini ni mimi ndie niliyeibiwa simu basi wala sihitaji msaada wako.... JF kila mtu hujikuta anajua kila kitu huku mnasahau huko kujifanya mnajua kila kitu ndiko kuishusha heshima yenu
 
Back
Top Bottom