Iv wengine humu ndani connection huwa mnazipata vipi?

Hauoni biashara na kazi za watu huko mtahani unakoishi!? Eg. Maduka, vibanda vya chipsi, machinga, store mbali mbali za vitu, stationary, mafundi ujenzi, machinga, wauza mboga mboga nk

Hizo ndio Connection zenyewe ambazo watu hupatia pesa acha Uvivu tafuta kazi ya kufanya,
Hakuna pesa za kudownload bila kutoa jasho mkuu.
 
Tuelekezane namna ambazo watu hutumia humu JF kupata connection maana wengine tupo tu hadi leo hii hatujapata connection na maisha yanazidi kuwa magumu.

Wenye pesa hatuelewei pesa zao wanazizungushia wapi maana mzunguko wa pesa umekuwa mgumu hela hazionekani [emoji26][emoji1373]

Ama kweli, we are the sad generation with happy pictures [emoji26]
We jamaa ni muungwana sana.
Mungu akupatie wepesi katika hitaji lako
 
Tuelekezane namna ambazo watu hutumia humu JF kupata connection maana wengine tupo tu hadi leo hii hatujapata connection na maisha yanazidi kuwa magumu.

Wenye pesa hatuelewei pesa zao wanazizungushia wapi maana mzunguko wa pesa umekuwa mgumu hela hazionekani [emoji26][emoji1373]

Ama kweli, we are the sad generation with happy pictures [emoji26]
Mzee kiongozi umu hutopata madini,umu ni love content, relationship nk
 
Back
Top Bottom