Search results

  1. Iringa Native

    Promotion za leo jeshini zimenistua

    Namfaham mabeyo tokea zaman sana,wakat wa ujana(mtwara enzi za training za urubani),utu uzima tukiishi Upanga/Alkhan street plot 310yake ilikuwa #4 nakumbuka wakat mimi nikiea room #¥¥!Hata alipokuwa Jeshin (Military intelligence),hakuwa brigadier General wakat anapewa ukuu
  2. Iringa Native

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Swali lako zuri,ni kweli kuna kikosi kilipitia huko sudan ila haimaanishi vyote vilipita huko,ni kamandi moja tuu ndio ilipita huko kwa dhumuni la kuivamia Uganda kwa kupitia Nimule(boarder ya ug&Sudan) na aliyewezesha vikosi kufika hapa ni either Kamanda Lupogo au Kimario(mmoja wao ndiye...
  3. Iringa Native

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    BIJAMPOLA!wahaya hawatoisahau hii
  4. Iringa Native

    Operation Wet-i-e Counter-Coup

    Ah siku ya leo naianza vizur sana kwa hisani ya andiko lako comrade mbwana!nimekumbuka mbali sana na nimekumbuka watu wengi sana ambao wengi wao wapo mbele ya haki kutokana na kupoteza uhai wakati wakitekeleza majukumu ya kuijenga&kuilinda nchi hii!!!pia nimejikuta naikumbuka isman(iringa) ya...
  5. Iringa Native

    Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Kuoa sio kazi ila kazi ni kulinda ndoa!,Hongera kwa hiyo miaka 5 yako!
  6. Iringa Native

    Kisutu: Wanaume 7 Wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ushoga

    Taarifa nzur sana,ndio maana kuna mdau aliniuliza kama wameonewa nikasema siwezi kusema wameonewa au sio maana hakuna nalolijua kiundan sana Kati ya hao saba waliokamatwa kuna wawili ni ndgu zake wa mama mmoja na mtuhumiwa mkuu,hebu jalib fuatilia hii taatifa uone jinsi hii kesi ina sintofaham...
  7. Iringa Native

    Kisutu: Wanaume 7 Wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ushoga

    ni mapema sana kusema wamebambikiwa au sio maana moyo wa mtu ni kichaka aisee,muda utazungumza
  8. Iringa Native

    Kisutu: Wanaume 7 Wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ushoga

    Last month nilikuwa dar es salaam kwa ishu flan nkapita pale central police kumsalimu jamaa yangu Mr x,wakati nikiwa pale ndipo nikakutana na ishu ya hao vijana Nilipomuuliza yule mzee mwenzangu alinigusia kidogo swala lao ya kwamba walikamatwa kivule kwa kosa la utapeli wa mtandao kwa kutumia...
  9. Iringa Native

    Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

    Leo umeandika point nzito sana tokea mwaka uanze ila hofu yangu ni kesi ya uchochezi maana tulipofikia sio!!!
  10. Iringa Native

    Nimepata wanaume 3 wameonyeshwa na Mungu wanataka kunioa, nifanyeje?! 🏃

    Mwambie awape pole maana ni wazi kwamba hawajui janga wanalo litafuta.
  11. Iringa Native

    Namtafuta mama sabrina wa JF

    nimegundua kuwa wengi wenu nyinyi ambao account zenu ni verified huwa mna post kwa uoga sana mkohofia usalama wenu ama kulinda reputation, matokeo yake mnapost hadi empty txt yaan
  12. Iringa Native

    Nilipigwa na kufukuzwa Msibani

    Nimecheka sana ila Pole, siku nyingine mtafute anaezima mziki na wewe piga huyo mpaka hasira zipungue.
  13. Iringa Native

    Wanawake wote wakikataa kufanya mapenzi ni mwisho wa dunia

    Na wanaume wote wakikataa kufanya mapenzi bhasi utakuwa ni mwanzo wa dunia mpya
  14. Iringa Native

    Kenya: Mgonjwa wa kwanza wa Corona afariki dunia

    Unge tumia lugha mama ungeeleweka zaidi... i dont them taking![emoji849][emoji849][emoji849] Fort ikoma 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
  15. Iringa Native

    Idadi ya vifo kutokana na Ugonjwa wa Corona USA vyafikia 1,000

    Tahadhali yetu sisi ni maombi tu, kama waliokufa huwa wanaona kinachoendelea duniani bhas Iddi Amin atakuwa anafurahi sana wakati Mwl akitokwa na machozi Fort ikoma 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
  16. Iringa Native

    Naomba kujua sehemu za kupata D.N.A test

    Kitanda hakizai haramu kijanA,afu kama mzee wako yupo hai hebu anza wewe na yeye kwa kupima hiyo DNA, majibu ya kipimo yakitoka na wew kawapime watoto zako. Fort ikoma 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
  17. Iringa Native

    Wewe ni nani?

    Mimi ni Mdogo wake jiwe(tumbo moja)ila maisha yamenipiga sana huku itulavanu kwakuwa kanitelekeza kama bwana mkapa alivyomtelekeza yule kaka yake aliyekuwa anaishi mwananyamara wakat yeye Ben akilala magogoni. Maholangumbi 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
  18. Iringa Native

    Taja miiko ya kitanzania/ kiafrika unayoifahamu

    Mzungu anae tukosoa ni mwiko kumwita mtu mwema ila huitwa beberu,Mzungu huyohuyo akitupatia msaada ni mwiko kumuita beberu ila huita mfadhili. Maholangumbi 27/10/1992#Sitosahau&nitaludi.
  19. Iringa Native

    Janga la Corona: Nashauri mabasi ya mwendokasi na daladala yasijaze abiria mpaka wanasimama

    Huu ni muda muafaka kabisa wa kuweka sheria ya daladala zote kutembea bila kusimamisha abiria,na hata kama ugonjwa utaisha sheria ibaki,itasaidia sana kudhibiti magonjwa kama TB nk Luganga.
Back
Top Bottom