Kisutu: Wanaume 7 Wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ushoga

Ohoooo
Last month nilikuwa dar es salaam kwa ishu flan nkapita pale central police kumsalimu jamaa yangu Mr x,wakati nikiwa pale ndipo nikakutana na ishu ya hao vijana
Nilipomuuliza yule mzee mwenzangu alinigusia kidogo swala lao ya kwamba walikamatwa kivule kwa kosa la utapeli wa mtandao kwa kutumia jina la mke wa Namba Moja tukaishia hapo then tukaendelea na story nyingine nyingi za miaka hiyo wakati tukiwa vijana nk!,nilipanga kukaa Kwa muda flan pale dsm lakin ikatokea dharula iliyo nilazimu kwenda Nyakanazi hivyo asbh flan nkaenda tena pale central kuagana na Jamaa yangu ndipo niliwakuta hawa vijana getini wakingoja gari kuelekea hospital ndipo nilimuuliza tena yule jamaa yangu imekuaje hawa watu wanaenda hospital?kwan wameugua ghafla akasema hapana ni wanaenda kufanyiwa vipimo flan bhas hapa ndipo nikajua hawa vijana baadae yao imeshaanza kuhalibika....Jana nikaona sehem kuwa swala lao limekuwa hivi
NB:Vijana tafuteni pesa kwa njia sahihi jamani,hizi shortcuts zinaponza
HUYU JAMAA NI MHALIFU MZOEFU HII KESI YAKE YA MWAKA. 2017MWANAMKE Masse Uledi(43)ambaye
ni Mkazi wa Kitunda Magore na
mfanyabiashara Nkinda Shekalage
(34), anayeishi Tegeta wazo
wamefikishwa Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
salaam wakikabiliwa na kesi ya
uhujumu uchumi.

Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka
matatu mbele ya Hakimu Mkazi
Mwandamizi Augustina Mmbando
ambayo ni kuchapisha taarifa za uongo
kwenye mtandao, kujiatia fedha kwa
njia ya udanganyifu na kutakatisha
fedha.

mengine ya ndani ya Tanzania
washtakiwa hao kupitia mtandao wa
Facebook walichapisha taarifa za
uongo.

Imedaiwa walichapisha ujumbe
unaosema JANET MAGUFULI SACCOS
"mpya mpya isome tafadhali mkopo
yote ni online tuu! Na utapata ndani ya
dakika 45 tu.

Mikopo huanzia kutolewa kuanzia laki
tatu hadi milioni ishirini. Kufuata
utaratibu huu ili kupata mkopo......
tuma namba za kitambulisho cha mpiga
kura na NIDA na majina yako matatu
kupitia namba 0685012921 kisha Piga
namba hiyo ili upatiwe

namba ya mhasibu ili kuweka akiwa
hatimae kupata mkopo.....", ambapo
walifanya hivyo huku wakijua kuwa si
kweli na walikuwa na lengo la
#KUCHUPDATES

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Taarifa nzur sana,ndio maana kuna mdau aliniuliza kama wameonewa nikasema siwezi kusema wameonewa au sio maana hakuna nalolijua kiundan sana

Kati ya hao saba waliokamatwa kuna wawili ni ndgu zake wa mama mmoja na mtuhumiwa mkuu,hebu jalib fuatilia hii taatifa uone jinsi hii kesi ina sintofaham nyingi,nitashukuru kwa taarifa zaid maana ni kesi nilitama kujua hadi mwisho wake ila mambo yakaingiliana.

Nyakanazi.
 
hi kesi imefikaje mahakamani?? there is a story behind

Hittin Blunts and Bustin Nuts
Si ajabu Nkinda Shekalaghe ana wapinzani wa kibiashara au ni tishio kwa wapangaji wenzake au wananchi hapo mtaani au kuna wivu wa kimapenzi kati ya hao kina kiss ndio mmoja akaamua kumwaga mboga.
Nkinda Shekaaghe ana dini kweli?Waaliojulikana ni 6 je hao aliokutana nao sirini?
Nkinda ana mke na familia kweli?
 
Naisubir pia,sidhan kama ni kesi ya ushoga hii
Taarifa nzur sana,ndio maana kuna mdau aliniuliza kama wameonewa nikasema siwezi kusema wameonewa au sio maana hakuna nalolijua kiundan sana

Kati ya hao saba waliokamatwa kuna wawili ni ndgu zake wa mama mmoja,hebu jalib fuatilia hii taatifa uone jinsi hii kesi ina sintofaham nyingi,nitashukuru kwa taarifa zaid maana ni kesi nilitama kujua hadi mwisho wake ila mambo yakaingiliana.

Nyakanazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu usawa watu wanafanya mambo mengi ya ajabu yako mengi sana ambayo hayajasikika
 
Hapo tu ndio LGBT wanaudhi raia kwa kutaka ku normalize ushoga wakati sio kitu normal, sio sawa kabisa
Watu kupendana unaona sio sawa basi wewe utakua una matatizo yaliyokuzidi kimo, unahitaji msaada wa dharura.

We choose Love over Hate.
 
Back
Top Bottom