LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,265
- 11,590
Mwezi mmoja uliopita mtu wa kwanza aligundulika na Corona US kimasiahara tu Trump akasema kuwa US Iko salama , wataidhibiti Corona watu wapige kazi
Leo asubuhi kwa mujibu wa tofuti rasmi ya BBC wameripoti kuwa idadi ya vifo kwa US pekee imefikia watu 1,000 ndani ya mwezi tu
Huu ugonjwa sio wakuuletea masihara tuchukue tahadhari
Sent using Jamii Forums mobile app