Kisutu: Wanaume 7 Wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ushoga

Last month nilikuwa dar es salaam kwa ishu flan nkapita pale central police kumsalimu jamaa yangu Mr x,wakati nikiwa pale ndipo nikakutana na ishu ya hao vijana
Nilipomuuliza yule mzee mwenzangu alinigusia kidogo swala lao ya kwamba walikamatwa kivule kwa kosa la utapeli wa mtandao kwa kutumia jina la mke wa Namba Moja tukaishia hapo then tukaendelea na story nyingine nyingi za miaka hiyo wakati tukiwa vijana nk!,nilipanga kukaa Kwa muda flan pale dsm lakin ikatokea dharula iliyo nilazimu kwenda Nyakanazi hivyo asbh flan nkaenda tena pale central kuagana na Jamaa yangu ndipo niliwakuta hawa vijana getini wakingoja gari kuelekea hospital ndipo nilimuuliza tena yule jamaa yangu imekuaje hawa watu wanaenda hospital?kwan wameugua ghafla akasema hapana ni wanaenda kufanyiwa vipimo flan bhas hapa ndipo nikajua hawa vijana baadae yao imeshaanza kuhalibika....Jana nikaona sehem kuwa swala lao limekuwa hivi
NB:Vijana tafuteni pesa kwa njia sahihi jamani,hizi shortcuts zinaponza
 
Umeeleza vyema, lakn vip kwa wazungu walishindwa kuelewa hayo malezi au wenyewe uona ushoga kwa vijana wao ni sawa tu,;naomba kuelimishwa
Mazingira yanachangia Sana kuzuka Kwa ushoga .

Just imagine hilo lijamaa lililowala hao majamaa lingekuwa tuseme waziri mkuu hiv Hali ya ushoga ingekuwaje.ndo kinachowakuta wazungu unakuta kiongozi mkubwa Tu naye shoga so huishia kusaport huo ujinga..

Unaweza kuona jinsi Corona imesumbua marekani Kwa Sana .sio kwamba marekani haina uwezo wa kuizibiti la asha ! Bali ni utamaduni wa kicapitalist wa kutoingilia maisha ya mtu binafsi yaan watu wanalive free wanavyotaka. Ndo hata lockdown sio kivile.

Back to topic. Watoto pia hudekezwa hawaingiliwi yaaan watoto uwachwa Tu waishi vile wanavyopenda. So kutokana na mazingira,intanet NK ukuta ameshaanza michezo hio bila kujua ndo maana marekani watu hufa Kwa bangi ,risasi NK eg juicy world.

Kwa Africa na utamaduni wetu ni rahisi kucontrol Hali maana bado mtoto anaweza kutengenezwa na mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last month nilikuwa dar es salaam kwa ishu flan nkapita pale central police kumsalimu jamaa yangu Mr x,wakati nikiwa pale ndipo nikakutana na ishu ya hao vijana
Nilipomuuliza yule mzee mwenzangu alinigusia kidogo swala lao ya kwamba walikamatwa kivule kwa kosa la utapeli wa mtandao kwa kutumia jina la mke wa Namba Moja tukaishia hapo then tukaendelea na story nyingine nyingi za miaka hiyo wakati tukiwa vijana nk!,nilipanga kukaa Kwa muda flan pale dsm lakin ikatokea dharula iliyo nilazimu kwenda Nyakanazi hivyo asbh flan nkaenda tena pale central kuagana na Jamaa yangu ndipo niliwakuta hawa vijana getini wakingoja gari kuelekea hospital ndipo nilimuuliza tena yule jamaa yangu imekuaje hawa watu wanaenda hospital?kwan wameugua ghafla akasema hapana ni wanaenda kufanyiwa vipimo flan bhas hapa ndipo nikajua hawa vijana baadae yao imeshaanza kuhalibika....Jana nikaona sehem kuwa swala lao limekuwa hivi
NB:Vijana tafuteni pesa kwa njia sahihi jamani,hizi shortcuts zinaponza
Aiseee kwa hiyo kumbe wamebambikiwa kesi,
Watu wana roho mbaya sana.
 
Yaan nyie watu siwaelewi kabisa.

Mimi sidhan kuna mtu anazaliwa anakuwa na hisia za kupenda wanaume wenzake .

Nieelezee hiyo akili inatoka wap ya mtu kuwa na hisia na mtu wa jinsia yake kama sio kujiendekeza na mazingira anayokulia.

Mvulana akikulia kwenye maisha ya kiume mfano watu wanaokula mademu wengi lazima atadevelop hio Tabia hata kama anafana sijui mwanamke.Tena atajisikia vibaya akisemwa yupo kikekike.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hujaweza kujibu swali lolote nililokuuliza zaidi ya kulinda hizo insecuruties zako na sina more time to waste with your baseless arguments. Just Incase You need to ask me anything, my PM is open. Good day mr
 
Mazingira yanachangia Sana kuzuka Kwa ushoga .

Just imagine hilo lijamaa lililowala hao majamaa lingekuwa tuseme waziri mkuu hiv Hali ya ushoga ingekuwaje.ndo kinachowakuta wazungu unakuta kiongozi mkubwa Tu naye shoga so huishia kusaport huo ujinga..

Unaweza kuona jinsi Corona imesumbua marekani Kwa Sana .sio kwamba marekani haina uwezo wa kuizibiti la asha ! Bali ni utamaduni wa kicapitalist wa kutoingilia maisha ya mtu binafsi yaan watu wanalive free wanavyotaka. Ndo hata lockdown sio kivile.

Back to topic. Watoto pia hudekezwa hawaingiliwi yaaan watoto uwachwa Tu waishi vile wanavyopenda. So kutokana na mazingira,intanet NK ukuta ameshaanza michezo hio bila kujua ndo maana marekani watu hufa Kwa bangi ,risasi NK eg juicy world.

Kwa Africa na utamaduni wetu ni rahisi kucontrol Hali maana bado mtoto anaweza kutengenezwa na mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Una reasons za kijinga kabisa,
Ati Marekani nini? Inaweza kuidhibiti Corona lakini sababu ya nini ndio iache raia wake wafe, unasema Marekani hamna Lockdown ina maana wewe hata taarifa za habari hufatilii,

Bro, hebu achana na hii mada naona unazidi tu kujidhalilisha.
 
Ona ulivyo jijaza ujinga, unaposema hujui kama ni watu ni kua hao mashoga wametokea kwenye dunia nyingine?
Sio nyie mnaowazaa na kuwalea?
Sio nyie mnaoanza kuwaingilia watoto wakiwa wadogo na kuwaharibu?

Tena kama wewe unayejifanya umechefukwa inaonesha kabisa ndio zako kuharibu watoto wa kiume.

Mkuu nilicho andika ni jiwe la gizani nini?
 
Una reasons za kijinga kabisa,
Ati Marekani nini? Inaweza kuidhibiti Corona lakini sababu ya nini ndio iache raia wake wafe, unasema Marekani hamna Lockdown ina maana wewe hata taarifa za habari hufatilii,

Bro, hebu achana na hii mada naona unazidi tu kujidhalilisha.

Soma between lines utaelewa tatizo lake. He is trying too hard to prove something, jiulize kwa nini na watu wa aina gani hufanya hivyo sana sana. Ukipata jibu, stay silent and ignore him
 
Watanzania acheni ushenzi, hawa wamepelekwa mahakamani acheni kuwatukana hadi hukumu itolewe, hakuna mwenye uhakika hapa kua ni kweli ni mashoga hata hakimu huo uhakika hana hadi kesi isikilizwe ushahidi utolewe wapatikane na hatia. Ndiyo kesi zinavyotakiwa kwenda. Watu mshaanza kuonyesha upumbavu wenu na matusi mara mungu sijui upuuzi gani, stupid shut holes. Subiri mtapata muda wenu wa kutukana wakikutwa na hatia hadi sasa ni 50/50
Waswahili hawa wanataabika hata kula mara mbili tu kwa siku hawawezi!

Wakipatamo tumada twa kutema nyongo wanamwaga povu in kilograms!

Ndio hawa kutwa kuitukana serikali mitandaoni 24hrs!

Mtu hata akijamba anamtupia lawama magufuli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una reasons za kijinga kabisa,
Ati Marekani nini? Inaweza kuidhibiti Corona lakini sababu ya nini ndio iache raia wake wafe, unasema Marekani hamna Lockdown ina maana wewe hata taarifa za habari hufatilii,

Bro, hebu achana na hii mada naona unazidi tu kujidhalilisha.
Soma between lines utaelewa tatizo lake. He is trying too hard to prove something, jiulize kwa nini na watu wa aina gani hufanya hivyo sana sana. Ukipata jibu, stay silent and ignore him
Hujaweza kujibu swali lolote nililokuuliza zaidi ya kulinda hizo insecuruties zako na sina more time to waste with your baseless arguments. Just Incase You need to ask me anything, my PM is open. Good day mr
Aiseee kwa hiyo kumbe wamebambikiwa kesi,
Watu wana roho mbaya sana.
Nadhan niwaachie Uzi wenu.
Endeleen kusaport mnayoyasaport.

Lakin nashukuru comment yangu wengi wameiona na wataifanyia kazi.

Nyie bakini na ubishi wenu husio na tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom