Search results

  1. B

    Kuwalinganisha Marais kufanywe na watu walio nje ya mfumo tu

    Hii tabia ya kuanza kufanya uchambuzi wa kuwalinganisha viongozi wetu wakuu naona ingali bado inaendelea, binafsi nilimsikia Mhe. Rais mara kadhaa akikemea jambo hili lakini bado kuna watu tena wateule wa rais wanaendelea na hii tabia Uwaziri ni cheo cha heshima sana sasa inakuwaje mtu anaacha...
  2. B

    Tanzania inahitaji chama kipya makini cha upinzani

    Ndugu Wana jamvi nimetafakari sana hatma ya nchi yetu endapo CCM itashindwa kusimamia majukumu yake hususani rasilimali za nchi yetu,hii ni kutokana na ukweli kwamba vyama vya upinzani naona havina sera ya ulinzi wa rasilimali wala havijali kabisa. Aidha sababu nyingine ni kwamba vyama vyetu...
  3. B

    ACT Wazalendo Mkishika Kambi ya Upinzani Bungeni Msiwe Pingapinga kama CHADEMA

    Chama chochote kitakachoongoza kambi rasmi ya Upinzani kisije kikaiga siasa za hovyo za Chadema za kutoka kuwa kambi ya Upinzani hadi kuwa kambi Upingaji Ninavyojua Zito alivyo mtaalamu wa kusoma alama za nyakati endapo atafanikiwa hatakuwa Kama Mbowe kwa kupinga kila kitu Chadema imekosea...
  4. B

    Chuki ya CHADEMA dhidi ya vyama vingine vya upinzani ni ugonjwa mwingine mkubwa walionao

    Chadema wamekuwa na tabia za hovyo na upotofu mkubwa kuhusu Vyama vingine vya upinzani hapa nchini,wamekuwa arrongant huku wakiamini kuwa wao pekee ndiyo chama Cha upinzani huu ni ubinafsi na ujuha Ukifuatilia historia ya harakati zao utathibitisha hili pasina shaka kabisa, mfano; Chadema...
  5. B

    Dhambi ya Usaliti Kwa Taifa,"Kick" za Mbowe zaota mbawa

    Kabla ya "Think Tank" kuamua kukubali yaishe kuhusu kampuni ya watu, Chadema ilikuwa very strategic na ilikuwa ikifanya maamuzi ambayo kwa kiasi fulani yalikuwa fair Gia za angani za mwaka 2015 ziliasisi enzi mpya hii ilikuwa ni kuelekea Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mwaka huo, baada ya Uchaguzi...
  6. B

    Mbowe na kisa cha farasi aliyembeba Yesu kuingia Bethelehemu

    Yesu Mwokozi wa Wakristo enzi za harakati zake za kufundisha alifika mji aliozaliwa Bethelehemu akiwa amebebwa na Farasi ikiwa aina ya usafiri aliotumia. Farasi yule alishangaa kwa furaha wakati akiingia katika mji ule kuona watu wamejitokeza wamejipanga barabarani na wengine wakitandika nguo...
  7. B

    CHADEMA wameweka rekodi ambayo itawagharimu katika harakati za kutaka Madaraka ya nchii hii

    Ni Sasa CHADEMA wameshafanya makosa makubwa ambayo yatawapa taabu sana huko mbeleni historia haitawaacha Salama. Dunia Sasa iko kwenye vita kubwa ya covid19, hili ni tukio kubwa kihistoria vizazi na vizazi watajifunza hili Janga Kama ambavyo leo historia inazungumzia WW-I na WW-II au kuhusu...
  8. B

    Joseph Selasini: Tulipoanzisha Mageuzi nchini hatukusema kwamba tutapinga Kila kitu,tuiunge mkono Serikali katika mapambano ya Janga la Corona

    Joseph Selasini ni mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo Hivi karibuni wakati akitoa mchango wake bungeni,Mhe.Selasini aliwakumbusha wapinzani na watanzania kuwa Shabaha ya kuwepo kwa mageuzi siyo kupinga Kila kitu au kubeza kila...
Back
Top Bottom