Chuki ya CHADEMA dhidi ya vyama vingine vya upinzani ni ugonjwa mwingine mkubwa walionao

Bushesha jr

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
677
690
Chadema wamekuwa na tabia za hovyo na upotofu mkubwa kuhusu Vyama vingine vya upinzani hapa nchini,wamekuwa arrongant huku wakiamini kuwa wao pekee ndiyo chama Cha upinzani huu ni ubinafsi na ujuha

Ukifuatilia historia ya harakati zao utathibitisha hili pasina shaka kabisa, mfano;

Chadema imekuwa na tabia ya kuvidharau vyama visivyokuwa na uwakilishi bungeni au katika mabaraza ya madiwani kwa kuviita eti vyama hivyo ni CCM, huu ni upuuzi, pia waliwahi kuwashambulia vikali CUF kwa kuwaita kuwa eti nao ni CCM na wakawatenga hata kwenye Baraza kivuli mpaka leo

Ukiwaangalia hata Sasa Vyama Kama ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi wanavishambilisha kwa propaganda hiyo hiyo kuwa navyo ni CCM uzuri Vyama hivi havifawahi kuwashambulia wao, ukweli ni kwamba Chadema lazima wajue kutofautiana kimtazamo siyo ugomvi na kila chama sera zake na mtazamo wake hilo wanapaswa kuliheshimu

Leo utawakuta walialia baada ya chama chao kukosa mwelekeo wanadai eti upinzani unakufa, kinachokufa ni CHADEMA kwa sababu ya matendo yao maovu ila vyama vingine vipo tuna ACT Wazalendo, tuna NCCR Mageuzi, tuna CUF

Kwahivyo Chadema kudhoofika kwao wasitake kuaminisha watu kuwa ni kudhoofika kwa upinzani.
 
Shida ya CHADEMA ni moja

Kujivika ugenge wa kimalaika ambao Malaika wao mkuu akiguswa tu ama kushauliwa na vimalaika vya mitandaoni.

Basi vitapewa furushi la matusi vikagawane na mama baba na ukoo wao pia.

Hapo wanakuwa wamemaliza kujibu hoja.
 
Chadema wamekuwa na tabia za hovyo na upotofu mkubwa kuhusu Vyama vingine vya upinzani hapa nchini,wamekuwa arrongant huku wakiamini kuwa wao pekee ndiyo chama Cha upinzani huu ni ubinafsi na ujuha

Ukifuatilia historia ya harakati zao utathibitisha hili pasina shaka kabisa, mfano;

Chadema imekuwa na tabia ya kuvidharau vyama visivyokuwa na uwakilishi bungeni au katika mabaraza ya madiwani kwa kuviita eti vyama hivyo ni CCM, huu ni upuuzi, pia waliwahi kuwashambulia vikali CUF kwa kuwaita kuwa eti nao ni CCM na wakawatenga hata kwenye Baraza kivuli mpaka leo

Ukiwaangalia hata Sasa Vyama Kama ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi wanavishambilisha kwa propaganda hiyo hiyo kuwa navyo ni CCM uzuri Vyama hivi havifawahi kuwashambulia wao, ukweli ni kwamba Chadema lazima wajue kutofautiana kimtazamo siyo ugomvi na kila chama sera zake na mtazamo wake hilo wanapaswa kuliheshimu

Leo utawakuta walialia baada ya chama chao kukosa mwelekeo wanadai eti upinzani unakufa, kinachokufa ni CHADEMA kwa sababu ya matendo yao maovu ila vyama vingine vipo tuna ACT Wazalendo, tuna NCCR Mageuzi, tuna CUF

Kwahivyo Chadema kudhoofika kwao wasitake kuaminisha watu kuwa ni kudhoofika kwa upinzani,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wanachukia wenzao ujue hawana jema lolote juu ya nchi hii bali usaka tonge kupitia siasa.
 
Back
Top Bottom