Search results

  1. NgimbaErick

    Njia Bora ya Kutengeneza Website Bure kwa Kutumia Wordpress (kama huna fedha kabisa)

    Inawezekana unatamani biashara au kampuni yako kuwa na website mtandaoni, lakini huna fedha za kutosha kulipia gharama za kutengeneza website. Hivyo basi kuna njia mbadala ambayo binafsi naiona ina uafadhali katika kutengeneza website Bure. Maana, kuna njia nyingi lakini, katika hizo nyingi zao...
  2. NgimbaErick

    Hatua ninazotumia kutengeneza websites za milioni 4 au zaidi bila kujua coding

    Habari za muda huu, leo nmeona itakuwa vema kushare na wana JF, nakala hii ambayo inaelezea hatua ambazo mimi huwa ninatumia kutengeneza websites zenye thamani kubwa na zinazozalisha matokeo makubwa. Watu wengi sana wanafahamu jinsi ya kutengeneza websites, lakini wengi wao websites zao huwa...
  3. NgimbaErick

    Umuhimu wa ku-track metrics(data) za website yako, kila siku, masaa 24

    (NB: UKITUMIA DAKIKA 7 KUTULIA NA KUSOMA NAKALA HII MPAKA MWISHO, UTAKUWA UMEONDOKA NA JAMBO KUBWA SANA LA KUBADILI BIASHARA YAKO MTANDAONI) Moja ya sababu kubwa website nyingi za biashara zinakufa au zinadumaa, japokuwa website unakuta zinamuonekano mzuri, mpangilio mzuri na taarifa...
  4. NgimbaErick

    Jinsi ya kupata domain ya .com na hosting ya kudumu bure 2020

    Leo ntakuonesha namna utakavyoweza kupata domain ya .com bure kwa mwaka mzima na pia hosting ya kudumu bure kabisa ya Tsh. 0. Fuata hatua zifuatazo kwa usahihi na kwa umakini ili kuvipata hivyo vyote viwili. 1. Fungua akaunti ya Gmail mpya. Nenda google andika Gmail Sign up na ukamilishe...
  5. NgimbaErick

    Gharama za Kuanzisha Website ya Biashara 2020 (Mwongozo Rahisi)

    Naomba kwanza niliweke wazi jambo hili kwamba … Kama kweli upo serious na Biashara yako, basi mambo yafuatayo hutoyaona kama ni Gharama bali ni Uwekezaji. Sasa ntajaribu kuelekeza kwa ufupi kulingana na uzoefu wangu. Maana kwenye hili suala la gharama za website kuna mambo mengi mno, so...
  6. NgimbaErick

    Jinsi ninavyotengeneza Websites zenye mvuto bila ujuzi wowote wa Coding (Hatua kwa Hatua)

    Kwenye hii nakala nitakuonesha kwa ukamilifu kabisa jinsi ninavyoweza kutengeneza websites zenye mvuto (kama hiyo apo chini) bila ujuzi wowote wa lugha za kompuyta (programming languages) na pia ndani ya muda mfupi ( hata dk 10 ). Unaweza ukawa unajiuliza CODING NI NINI??... Kwa Ufupi Coding...
  7. NgimbaErick

    Professional Wordpress Website Designing Service

    Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya? Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
  8. NgimbaErick

    Jinsi ya kuiweka Business yako Mtandaoni kiusahihi

    Inawezekana umegundua kuwa watu wengi sana miaka ya leo wanashinda mtandaoni kuliko mtaani, lakini hujui namna ya kuiweka biashara yako hukoo mtandaoni katika namna ambayo itakuwa na faida kwa upande wako. Au, labda umejaribu kuiweka biashara yako mtandaoni, labdaa … umetengeneza website...
Back
Top Bottom