Gharama za Kuanzisha Website ya Biashara 2020 (Mwongozo Rahisi)

NgimbaErick

Member
Mar 31, 2020
85
131
kvE1By93UzK8XXz7V4NTxPw5eCQJZwqHFiMhyidsxhZhTXoiYLWad12OYJw70Ng9lBvv8-KEOUKtLvXhoOdkeWlkUb09YxlDGTMSvn8qLQuQq2trHpYugsGQ5ZrHTXEaJxCEJXOv

Naomba kwanza niliweke wazi jambo hili kwamba … Kama kweli upo serious na Biashara yako, basi mambo yafuatayo hutoyaona kama ni Gharama bali ni Uwekezaji.

Sasa ntajaribu kuelekeza kwa ufupi kulingana na uzoefu wangu. Maana kwenye hili suala la gharama za website kuna mambo mengi mno, so sitoweza kuelezea kiiila kitu.

Ntakwenda kuelezea mambo ambayo watu wengi wamekuwa wakiulizia kuhusu gharama za kuanzisha website.Pia Kama utakuwa na swal, basi utauliza hapo chini kama kawaida.

Nakala hii itakuwa na sehemu nne,

  1. Gharama za Website yenyewe kama yenyewe.
  2. Gharama za utengenezaji.
  3. Gharama za uendeshaji wa website.
  4. Hitimisho na Ushauri.
  5. GHARAMA ZA UTENGENEZAJI
  • Hapa kuna vitu 3 muhimu;
  1. Domain.
  2. Hosting.
  3. Vifaa vya ziada vya kutengenezea website.

  1. DOMAIN
  • Hii ni kama address ya website yako (mf; cocacola.com)
  • Huwa zinatofautiana bei kulingana na aina ya extension(yani; .co.tz, .com, au .net n.k) unayotaka.
  • Kwa wastani zinauzwa kuanzia Tsh. 15,000 mpak Tsh 30,000+ na unakuwa unailipia kila baada ya mwaka 1.
  • Huuzwa na makampuni mengi tu ikiwemo; Namecheap, Godaddy, Google Domains, Dudumizi n.k,
  1. HOSTING
  • Ni huduma inayohakisha website uloijenga inaonekana kwenye internet.
  • Hizi pia hutofautiana kulingana na mahitaji yako pia na uwezo wako, kama unahitaji hosting nzuri zaidi yani, yenye kasi na usalama zaidi inamaana gharama zitakuwa tofauti na hosting zingine za kawaida.
  • Kwa wastani zinagharimu kuanzia Tsh. 10,000 mpaka Tsh 200,000+ kwa mwezi. na unakuwa unailipia kila baada ya mwezi na kuendela.
  • Hutolewa na makampuni mengi ikiwemo; Interserver, Dreamhost, Duhosting n.k,
  1. VIFAA VYA ZIADA
  • Sasa kama vile unavyojenga nyumba, ukitaka nyumba yako iwe na utofauti zaid basi kuna gharama utaingia kuupata huo utofauti.
  • Pia kwenye ujenzi wa website huwa kuna vifaa vya ziada unavyokuwa unavihitaji ili kuweka upekee na ubora zaidi kwenye website yako.
  • Unaweza ukavipata bure au kwa fedha kiasi, vifaa hivi ni kama Website Builders, CDN, Design Tools, Plugins, Themes, Templates, n.k
  • Gharama zake kwa wastani ni kuanzia, Tsh 0. mpaka Tsh. 300,000+ vingi huuzwa kwa mara moja tu.
  • Ni hivi jinsi unavyohitaji kujenga website yako ndo unakuwa unajua kama utavihitaji au la … ila domain na hosting ni lazima.

2. GHARAMA ZA UTENGENEZAJI.
  • Hapa kuna vitu viwili tofauti;
  1. Kuna Kutengeneza Mwenyewe
  2. Kuna Kutengenezewa na Mtu
  3. KUTENGENEZA MWENYEWE
  • Kama Website yako Unatengeneza mwenyewe ina maana hamna gharama za kulipia, ila utakuwa unatumia muda wako tu.
  • Kwahiyo hakuna Fedha za kulipia huduma ya utengenezaji wa website hapa.
  1. KUTENGENEZEWA NA MTU
  • Kama unatengenezewa na mtu, inamaana lazima kuna Fedha itabidi umlipe kwa ajili ya huduma na kazi aliyoifanya.
  • Pia hapa kwenye Kutengenezewa website na mtu, kuna vitu viwili:-
  1. Kutengenezewa Website kwa kutumia Template.
  2. Kutengenezewa Website ya Kipekee (Custom Website).

  1. KUTENGENEZEWA WEBSITE KWA KUTUMIA TEMPLATE
  • Website Template inakuwa ni Website ambayo imeshatengenezwa na mtu flani kwa ajili ya watu wote wanaohitaji kutengeneza website kwa hiyo unakuwa unaichukua kwa hiyo website ambayo tayari imetengenezwa kisha unaanza kubadilisha vitu kulingana na mahitaji yako, vitu kama picha, maneno, rangi na mwandiko.
  • Naelewa inachanganya kidogo lakini ndivyo ilvyo hapo, kuwa mtu unayempa kazi hatengenezi website yote anachukua website iliyo tengenezwa tayari na mtu mwingine alafu anabadili badili vitu.
  • Ukweli ni kuwa si rahisi mtu kukuambia kuwa atatengeneza website yako kwa kutumia template ila nlichokiona wengi wanaofanya hivi hutoza Tsh. 100,000 mpaka Tsh. 400,000 kwa website moja na hutumia siku 3 mpaka 7 kukamilisha kazi, kwasababu hamna kazi kubwa hapo zaidi ya kubadili badili vitu.
  • Unachopaswa kujua kuwa kuna Faida na Hasara za kutengenezewa kwa Tempalate;
  • FAIDA
    • Gharama ndogo
    • Inachukua muda mchache

  • HASARA
    • Huna Control kubwa na Website yako
    • Unaweza kukuta website yako inafanana na za watu wengi kwa muonekano hivyo kupunguza uaminifu kwa watumiaji ambao wameliona hilo.
    • Inaweza kuharibu utendaji kazi wa website, kwa sababu unatumia mfumo wa mtu mwingine na sio mfumo wako binafsi.

  1. KUTENGENEZEWA WEBSITE YA KIPEKEE (CUSTOM WEBSITE)
  • Nadhani kichwa kinajieleza vizuri “website ya kipekee” inamaana Muonekana na mfumo mzima wa website ni wako tu hakuna mwingine wa kufanana na wewe. Labda kama wamekuiga, na mpaka unafikia hatua ya kuigwa basi ujue we sio wa level hii tena.
  • Hapa kila kitu kinatengenezwa kuanzia mwanzo kabisa yani from scratch.
  • Kwa tanzania hapa website za kipekee, wastani watu hutoza Tsh 500,000 mpaka Tsh. 4,000,000+ kwa website 1. Gharama hutofautiana kulingana na mahitaji ya website.
  • Pia website za namna hii, zina pande mbili;
  • FAIDA
  • Kuwa na muonekano wa peke yako utakaoifanya brand yako kuaminika zaidi.
  • Una control kubwa na website yako, hivyo ni rahisi kuona mapungufu yanayoathiri performance na kuyabadili mara moja.
  • Pia ni salama zaidi kwa sababu formula ya website ni ya kwako tu, so sio rahisi mtu kudukua.

  • HASARA
  • Gharama zaidi.
  • Inachukua muda zaidi kutengeneza.

3. GHARAMA ZA UENDESHAJI WA WEBSITE
  • Ukiachana na zile gharama za Domain, Hosting na Vifaa vingine vya kutengenezea Website, Usilolifahamu ni kuwa Website Baada ya Kutengenezwa inahitaji Uangalizi na Utunzaji la sivyo utakuwa ulifanya kazi bure.
  • Unahitaji upate mtu atakayekuwa anaitunza kama unavyotunza bustani maua yasinyauke. Website nayo inahitaji matunzo na pia maboresho panapobidi ili kuongeza utendaji kazi wake.
  • So, unajiuliza sasa ni matunzo gani hayo au uangalizi wa nini? Jibu ni kwamba kuna vitu vingi mno vinavyohitaji matunzo na uangalizi, kama ifuatavyo;-
  • Security
    • Unahitaji uwe unafanya security checks mara kwa mara ili kuepusha website yako kupotea kwenye internet pia kudukuliwa.

  • Updates
    • Internet na Tecnology inabadilika kila kukicha kwahiyo unahitaji kufanya upadates za vifaa unlivyotumia kwenye website ili kuepusha website kuvunjika.

  • Backups
    • Unahitaji kufanya Backups atleast kwa mwezi mara moja, incase website yako imevunjika au kupotea, basi utatumia backup files kuirudisha online, pasipo kuanza upya tena.

  • Functionality
    • Kuna wakati unaweza kukuta links, buttons, form au chochote kwenye website hakifanyi kazi sawa na mwanzo, so kuvigundua hivi itakuwa ngumu kama huna tabia ya kukagua mara kwa mara.

  • Analytics
    • Sio lazima lakini ni muhimu sana kujua idadi na taarifa za watu wanaotembelea website yako, ili kufahamu nini cha kufanya ili kufikia malengo yako.

  • Performance
    • Pia unahitaji kufanya ukaguzi na marekebisho ya kasi ya kufunguka kwa website, kwasababu website ikiwa nzito kufunguka inafanya watu kuacha kuitembelea.

  • Sasa Gharama za kufanya hayo kama utakuwa umemkabidhi mtu unadhani itakuwa ni kiasi gani? Kwa Tanzania watu wengi hutoza kuanzia Tsh. 50,000 mpaka Tsh. 300,000 kwa mwezi, kulingana na aina ya website.

4. HITIMISHO + USHAURI
  • Kama uko na Bajeti ndogo na unataka kitu kitakachofanya kazi, au pia project yako ni ndogo tu na sio ya muda mrefu, Basi sio Mbaya ukitumia Template kufanya iyo kazi.
  • Lakini kama uko serious na Business yako na una malengo makubwa nayo, kumbuka unawekeza hapa … So, ni vema ukapata website ya kipekee (Custom Website).

Haya, Nashkuru sana kwa kuwa pamoja nami kwenye nakala hii, ila kama unaswali lolote, uliza tu ntakujibu kabisa.

Imeandaliwa na Erick Ngimba
email: hello@erickngimba.tech
web:
www.erickngimba.tech
 
je umewahi tengeneza custom made website katika maisha yako? kama kweli shusha link tuone previous projects
nakwambia hivyo maana kuna clutch.co ambapo huko kuna zaidi ya makampuni 10,000 ya kutengeneza websites

mfano kuna kampuni inaitwa Chopchop ya poland wanaanza kutengeneza custom website kuanzia $2,500 ambayo ni sawa na milioni kama tano - sita fulani
Web Apps and Advanced Web Developement

hata ukiingia kwenye website yao utaona previous works za kwao, walipo etc hii inaleta imani hata kama sio wazuri kivile lakini ukiwatembelea tu wenyewe unaona na unasema yes this is it

sasa wewe ndugu yangu webiste yako yenyewe iko under construction then unataka nikupe 4M katika unitengenezee custom made website mtu mwenyewe mbongo seriously

ulipaswa kufanya yafuatayo

1) Tengeneza website yako vizuri weka potfolio, kama ni kampuni weka registration etc, ofisi ziko wapi? kama ni mtu mmoja still unahitaji kuwa na ofisi co-working spaces kibao kama worknasi, Regus etc

2) Tengeneza content zako hata kwa websites ambazo sio custom made tengeneza then ziweke kama potfolio yako kwenye website yako

3) Then tafuta watu ambao mna idea mmesoma pamoja kama wewe ni designer tafuta watu tengenezeni team etc

maana nimeingia kwenye website yako nione your kind of your arts ila nimekuta iko under construction nikageuza sasa

sasa put yourself kwenye shoe ya mteja kuna chop-chop, kampuni ya wa poland na wajerumani, wana portfolio nzuri, wanatengeneza web kwa 6 M then kuna bwana Erick ni mbongo website yake iko under construction, lakini anasema he can design and develop a website, hana portfolio, sijui kama ana kampuni au hana then he needs 4M

utaenda kwa nani hapo?
 
I think hujasoma nakala vizuri mkubwa. naomba nitoe mrejesho:

1. Nmeandaa nakala ya Tanzania sio ya Poland, ujerumani wala nchi yoyote ile ila ni utafiti wangu mimi kama mimi kuhusu ndani ya Tanzania, gharama zilivyo. Infact for US nafahamu custom website in arange $5000 - $10000+. Na pia hata hapa Tanzania kuna watu wanocharge zaidi ya 4M , na ndiyo maana kwenye nakala nmeweka 4M+ , ila kwa utafiti wangu watu wengi wana range hapo 500k - 4M.

- Kwanini gharama zetu haziwezi kulingana na za wenzetu kwa sasa, jibu ni rahisi level ya uchumi , ndio maana maji ya kunywa ya chupa TZ bei ya wastani ni Tsh. 500 , wakati USA bei ya chupa ya maji wastani ni $1.45 (kam Tsh. 3300)

2. Mimi Nimekuja kutoa elimu na sio kutangaza biashara hapa, Soma nakala nzima hamna sehemu hata MOJA nilipojitangaza kuhusu mimi au my service, kuna sehemu za matangazo humu JF nazifahamu kama ningekuwa nataka kutangaza basi ningeenda huko.

3. Kingine mimi sishindani na Kampuni yoyte ile wala mtu yeyote I have my own style, na sina tamaa ya kujilinganisha na mtu yeyote.

4. Website yangu ni Mpya na Bado sijaikamilisha, nmeiweka hapo for Backlink purpose, kama wewe hujaridhika kuiona ipo under construction nsameheme mzee, sina haraka ya kulipua kazi yangu.

5. Ukweli sina Portfolio kubwa bado kwasababu huu ndio mwaka wangu wa Kwanza kufanya Serious works mpaka sasa nmefanyakazi mbili za Custom Websites na mojawapo ni hii Sourcing Equipment and Machinery Worldwide - CMC Limited. , angalia chini kabisa ya website you'll see my Name linked to my site. Kazi nyingine nipo kuifanyia redesign sasa ivi.

By the way, thanks!
 
Mkuu mm ni mmja ambaye nataku kuwasha mitambo kinachonipasua kichwa ni he TCRA wataniacha salama au MPKA nilipie Mana n site ya BIASHARA na sio ya KUAGIZA nje Bali ni kuuza bidhaa za dukani mwangu ..na km kulipia ni Kiasi gan Mana nimeona kwenye site yao wameandika site za maudhui ndo unalipia
 
Mimi ninachokifahamu kama Biashara yako umeisajili na ni halali hapa nchini, unaweza ukafungua website ya biashara yako kwa amani kabisa. Hakuna kibali kingine unachokihitaji, kwasababu kule mtandaoni moja kwa moja unapolipia huduma zinazowezesha website yako, kama ni kodi inakuwa inakatwa moja kwa moja.
 
Dogo umeiweka vizuri. Unaweza pia kutengeneza blog ambako unavutia subscribers kama mimi, na kutoa madini kama haya mara kwa mara. Kuna madogo wengi hawajui how to do this, unaweza ukawasaidia
kvE1By93UzK8XXz7V4NTxPw5eCQJZwqHFiMhyidsxhZhTXoiYLWad12OYJw70Ng9lBvv8-KEOUKtLvXhoOdkeWlkUb09YxlDGTMSvn8qLQuQq2trHpYugsGQ5ZrHTXEaJxCEJXOv

Naomba kwanza niliweke wazi jambo hili kwamba … Kama kweli upo serious na Biashara yako, basi mambo yafuatayo hutoyaona kama ni Gharama bali ni Uwekezaji.

Sasa ntajaribu kuelekeza kwa ufupi kulingana na uzoefu wangu. Maana kwenye hili suala la gharama za website kuna mambo mengi mno, so sitoweza kuelezea kiiila kitu.

Ntakwenda kuelezea mambo ambayo watu wengi wamekuwa wakiulizia kuhusu gharama za kuanzisha website.Pia Kama utakuwa na swal, basi utauliza hapo chini kama kawaida.

Nakala hii itakuwa na sehemu nne,
  1. Gharama za Website yenyewe kama yenyewe.
  2. Gharama za utengenezaji.
  3. Gharama za uendeshaji wa website.
  4. Hitimisho na Ushauri.
  5. GHARAMA ZA UTENGENEZAJI
  • Hapa kuna vitu 3 muhimu;
  1. Domain.
  2. Hosting.
  3. Vifaa vya ziada vya kutengenezea website.

  1. DOMAIN
  • Hii ni kama address ya website yako (mf; cocacola.com)
  • Huwa zinatofautiana bei kulingana na aina ya extension(yani; .co.tz, .com, au .net n.k) unayotaka.
  • Kwa wastani zinauzwa kuanzia Tsh. 15,000 mpak Tsh 30,000+ na unakuwa unailipia kila baada ya mwaka 1.
  • Huuzwa na makampuni mengi tu ikiwemo; Namecheap, Godaddy, Google Domains, Dudumizi n.k,
  1. HOSTING
  • Ni huduma inayohakisha website uloijenga inaonekana kwenye internet.
  • Hizi pia hutofautiana kulingana na mahitaji yako pia na uwezo wako, kama unahitaji hosting nzuri zaidi yani, yenye kasi na usalama zaidi inamaana gharama zitakuwa tofauti na hosting zingine za kawaida.
  • Kwa wastani zinagharimu kuanzia Tsh. 10,000 mpaka Tsh 200,000+ kwa mwezi. na unakuwa unailipia kila baada ya mwezi na kuendela.
  • Hutolewa na makampuni mengi ikiwemo; Interserver, Dreamhost, Duhosting n.k,
  1. VIFAA VYA ZIADA
  • Sasa kama vile unavyojenga nyumba, ukitaka nyumba yako iwe na utofauti zaid basi kuna gharama utaingia kuupata huo utofauti.
  • Pia kwenye ujenzi wa website huwa kuna vifaa vya ziada unavyokuwa unavihitaji ili kuweka upekee na ubora zaidi kwenye website yako.
  • Unaweza ukavipata bure au kwa fedha kiasi, vifaa hivi ni kama Website Builders, CDN, Design Tools, Plugins, Themes, Templates, n.k
  • Gharama zake kwa wastani ni kuanzia, Tsh 0. mpaka Tsh. 300,000+ vingi huuzwa kwa mara moja tu.
  • Ni hivi jinsi unavyohitaji kujenga website yako ndo unakuwa unajua kama utavihitaji au la … ila domain na hosting ni lazima.

2. GHARAMA ZA UTENGENEZAJI.
  • Hapa kuna vitu viwili tofauti;
  1. Kuna Kutengeneza Mwenyewe
  2. Kuna Kutengenezewa na Mtu
  3. KUTENGENEZA MWENYEWE
  • Kama Website yako Unatengeneza mwenyewe ina maana hamna gharama za kulipia, ila utakuwa unatumia muda wako tu.
  • Kwahiyo hakuna Fedha za kulipia huduma ya utengenezaji wa website hapa.
  1. KUTENGENEZEWA NA MTU
  • Kama unatengenezewa na mtu, inamaana lazima kuna Fedha itabidi umlipe kwa ajili ya huduma na kazi aliyoifanya.
  • Pia hapa kwenye Kutengenezewa website na mtu, kuna vitu viwili:-
  1. Kutengenezewa Website kwa kutumia Template.
  2. Kutengenezewa Website ya Kipekee (Custom Website).

  1. KUTENGENEZEWA WEBSITE KWA KUTUMIA TEMPLATE
  • Website Template inakuwa ni Website ambayo imeshatengenezwa na mtu flani kwa ajili ya watu wote wanaohitaji kutengeneza website kwa hiyo unakuwa unaichukua kwa hiyo website ambayo tayari imetengenezwa kisha unaanza kubadilisha vitu kulingana na mahitaji yako, vitu kama picha, maneno, rangi na mwandiko.
  • Naelewa inachanganya kidogo lakini ndivyo ilvyo hapo, kuwa mtu unayempa kazi hatengenezi website yote anachukua website iliyo tengenezwa tayari na mtu mwingine alafu anabadili badili vitu.
  • Ukweli ni kuwa si rahisi mtu kukuambia kuwa atatengeneza website yako kwa kutumia template ila nlichokiona wengi wanaofanya hivi hutoza Tsh. 100,000 mpaka Tsh. 400,000 kwa website moja na hutumia siku 3 mpaka 7 kukamilisha kazi, kwasababu hamna kazi kubwa hapo zaidi ya kubadili badili vitu.
  • Unachopaswa kujua kuwa kuna Faida na Hasara za kutengenezewa kwa Tempalate;
  • FAIDA
    • Gharama ndogo
    • Inachukua muda mchache

  • HASARA
    • Huna Control kubwa na Website yako
    • Unaweza kukuta website yako inafanana na za watu wengi kwa muonekano hivyo kupunguza uaminifu kwa watumiaji ambao wameliona hilo.
    • Inaweza kuharibu utendaji kazi wa website, kwa sababu unatumia mfumo wa mtu mwingine na sio mfumo wako binafsi.

  1. KUTENGENEZEWA WEBSITE YA KIPEKEE (CUSTOM WEBSITE)
  • Nadhani kichwa kinajieleza vizuri “website ya kipekee” inamaana Muonekana na mfumo mzima wa website ni wako tu hakuna mwingine wa kufanana na wewe. Labda kama wamekuiga, na mpaka unafikia hatua ya kuigwa basi ujue we sio wa level hii tena.
  • Hapa kila kitu kinatengenezwa kuanzia mwanzo kabisa yani from scratch.
  • Kwa tanzania hapa website za kipekee, wastani watu hutoza Tsh 500,000 mpaka Tsh. 4,000,000+ kwa website 1. Gharama hutofautiana kulingana na mahitaji ya website.
  • Pia website za namna hii, zina pande mbili;
  • FAIDA
  • Kuwa na muonekano wa peke yako utakaoifanya brand yako kuaminika zaidi.
  • Una control kubwa na website yako, hivyo ni rahisi kuona mapungufu yanayoathiri performance na kuyabadili mara moja.
  • Pia ni salama zaidi kwa sababu formula ya website ni ya kwako tu, so sio rahisi mtu kudukua.

  • HASARA
  • Gharama zaidi.
  • Inachukua muda zaidi kutengeneza.

3. GHARAMA ZA UENDESHAJI WA WEBSITE
  • Ukiachana na zile gharama za Domain, Hosting na Vifaa vingine vya kutengenezea Website, Usilolifahamu ni kuwa Website Baada ya Kutengenezwa inahitaji Uangalizi na Utunzaji la sivyo utakuwa ulifanya kazi bure.
  • Unahitaji upate mtu atakayekuwa anaitunza kama unavyotunza bustani maua yasinyauke. Website nayo inahitaji matunzo na pia maboresho panapobidi ili kuongeza utendaji kazi wake.
  • So, unajiuliza sasa ni matunzo gani hayo au uangalizi wa nini? Jibu ni kwamba kuna vitu vingi mno vinavyohitaji matunzo na uangalizi, kama ifuatavyo;-
  • Security
    • Unahitaji uwe unafanya security checks mara kwa mara ili kuepusha website yako kupotea kwenye internet pia kudukuliwa.

  • Updates
    • Internet na Tecnology inabadilika kila kukicha kwahiyo unahitaji kufanya upadates za vifaa unlivyotumia kwenye website ili kuepusha website kuvunjika.

  • Backups
    • Unahitaji kufanya Backups atleast kwa mwezi mara moja, incase website yako imevunjika au kupotea, basi utatumia backup files kuirudisha online, pasipo kuanza upya tena.

  • Functionality
    • Kuna wakati unaweza kukuta links, buttons, form au chochote kwenye website hakifanyi kazi sawa na mwanzo, so kuvigundua hivi itakuwa ngumu kama huna tabia ya kukagua mara kwa mara.

  • Analytics
    • Sio lazima lakini ni muhimu sana kujua idadi na taarifa za watu wanaotembelea website yako, ili kufahamu nini cha kufanya ili kufikia malengo yako.

  • Performance
    • Pia unahitaji kufanya ukaguzi na marekebisho ya kasi ya kufunguka kwa website, kwasababu website ikiwa nzito kufunguka inafanya watu kuacha kuitembelea.

  • Sasa Gharama za kufanya hayo kama utakuwa umemkabidhi mtu unadhani itakuwa ni kiasi gani? Kwa Tanzania watu wengi hutoza kuanzia Tsh. 50,000 mpaka Tsh. 300,000 kwa mwezi, kulingana na aina ya website.

4. HITIMISHO + USHAURI
  • Kama uko na Bajeti ndogo na unataka kitu kitakachofanya kazi, au pia project yako ni ndogo tu na sio ya muda mrefu, Basi sio Mbaya ukitumia Template kufanya iyo kazi.
  • Lakini kama uko serious na Business yako na una malengo makubwa nayo, kumbuka unawekeza hapa … So, ni vema ukapata website ya kipekee (Custom Website).

Haya, Nashkuru sana kwa kuwa pamoja nami kwenye nakala hii, ila kama unaswali lolote, uliza tu ntakujibu kabisa.

Imeandaliwa na; Erick Ngimba
Phone/whatsapp: +255742140574
Site: erickngimba.com
 
Pia kuongezea, TCRA wanahusiana na watu wanaochapisha habari, kama JF, kampuni za habari etc. Ukiwa na website binafsi sijaona ukakasi wowote.
Mkuu mm ni mmja ambaye nataku kuwasha mitambo kinachonipasua kichwa ni he TCRA wataniacha salama au MPKA nilipie Mana n site ya BIASHARA na sio ya KUAGIZA nje Bali ni kuuza bidhaa za dukani mwangu ..na km kulipia ni Kiasi gan Mana nimeona kwenye site yao wameandika site za maudhui ndo unalipia
 
Pia kuongezea, TCRA wanahusiana na watu wanaochapisha habari, kama JF, kampuni za habari etc. Ukiwa na website binafsi sijaona ukakasi wowote.
Mkuu mm ni mmja ambaye nataku kuwasha mitambo kinachonipasua kichwa ni he TCRA wataniacha salama au MPKA nilipie Mana n site ya BIASHARA na sio ya KUAGIZA nje Bali ni kuuza bidhaa za dukani mwangu ..na km kulipia ni Kiasi gan Mana nimeona kwenye site yao wameandika site za maudhui ndo unalipia
 
Asante kwa muongozo mzuri. Mtu akitaka kujifunza hii kitu anapaswa kuanza na prio knowledge gani, niliwahi tamani kujifunza nikaishia njiani.
 
Mkuu mm ni mmja ambaye nataku kuwasha mitambo kinachonipasua kichwa ni he TCRA wataniacha salama au MPKA nilipie Mana n site ya BIASHARA na sio ya KUAGIZA nje Bali ni kuuza bidhaa za dukani mwangu ..na km kulipia ni Kiasi gan Mana nimeona kwenye site yao wameandika site za maudhui ndo unalipia
Nifafanulie hapa mana yangu nisha launch online though sio ya kuuza bdhaa ila watumiaji wana lipia huduma itakayoua ina serve
 
Mimi ninachokifahamu kama Biashara yako umeisajili na ni halali hapa nchini, unaweza ukafungua website ya biashara yako kwa amani kabisa. Hakuna kibali kingine unachokihitaji, kwasababu kule mtandaoni moja kwa moja unapolipia huduma zinazowezesha website yako, kama ni kodi inakuwa inakatwa moja kwa moja.
Na mimi ndio nilichokua nakifahamu
 
TCRA wanacharge kwa website ya biashara ni 500,000/= ya kitanzania
 
Dogo umeiweka vizuri. Unaweza pia kutengeneza blog ambako unavutia subscribers kama mimi, na kutoa madini kama haya mara kwa mara. Kuna madogo wengi hawajui how to do this, unaweza ukawasaidia
Ntalifanyia kazi hili Brother.
 
I think hujasoma nakala vizuri mkubwa. naomba nitoe mrejesho:

1. Nmeandaa nakala ya Tanzania sio ya Poland, ujerumani wala nchi yoyote ile ila ni utafiti wangu mimi kama mimi kuhusu ndani ya Tanzania, gharama zilivyo. Infact for US nafahamu custom website in arange $5000 - $10000+. Na pia hata hapa Tanzania kuna watu wanocharge zaidi ya 4M , na ndiyo maana kwenye nakala nmeweka 4M+ , ila kwa utafiti wangu watu wengi wana range hapo 500k - 4M.

- Kwanini gharama zetu haziwezi kulingana na za wenzetu kwa sasa, jibu ni rahisi level ya uchumi , ndio maana maji ya kunywa ya chupa TZ bei ya wastani ni Tsh. 500 , wakati USA bei ya chupa ya maji wastani ni $1.45 (kam Tsh. 3300)

2. Mimi Nimekuja kutoa elimu na sio kutangaza biashara hapa, Soma nakala nzima hamna sehemu hata MOJA nilipojitangaza kuhusu mimi au my service, kuna sehemu za matangazo humu JF nazifahamu kama ningekuwa nataka kutangaza basi ningeenda huko.

3. Kingine mimi sishindani na Kampuni yoyte ile wala mtu yeyote I have my own style, na sina tamaa ya kujilinganisha na mtu yeyote.

4. Website yangu ni Mpya na Bado sijaikamilisha, nmeiweka hapo for Backlink purpose, kama wewe hujaridhika kuiona ipo under construction nsameheme mzee, sina haraka ya kulipua kazi yangu.

5. Ukweli sina Portfolio kubwa bado kwasababu huu ndio mwaka wangu wa Kwanza kufanya Serious works mpaka sasa nmefanyakazi mbili za Custom Websites na mojawapo ni hii Sourcing Equipment and Machinery Worldwide - CMC Limited. , angalia chini kabisa ya website you'll see my Name linked to my site. Kazi nyingine nipo kuifanyia redesign sasa ivi.

By the way, thanks!
jamaa kanishangaza
 
Well Researched and articulated.
 
Back
Top Bottom