Jinsi ya kupata domain ya .com na hosting ya kudumu bure 2020

NgimbaErick

Member
Mar 31, 2020
76
125
Leo ntakuonesha namna utakavyoweza kupata domain ya .com bure kwa mwaka mzima na pia hosting ya kudumu bure kabisa ya Tsh. 0.

Fuata hatua zifuatazo kwa usahihi na kwa umakini ili kuvipata hivyo vyote viwili.

1. Fungua akaunti ya Gmail mpya.
 • Nenda google andika Gmail Sign up na ukamilishe hili. Sidhani kama hili huwezi eti. Kwahiyo fungua gmail mpya kwanza.
 • Utaitumia akaunti hii popote utakapoulizwa email.
btGoc33iRqRZcLEbO8p-MAR7ZMcncgayaA_og7M_X4g9bEIZS1S_g_tFeiX4IvWKhOGGVS6bpQ-FpUpzA7r9m04X-eKMO_p9O_IYE8XG9nBMoNo7tZs5SPKC9KbHLYj-f2KcdgZZ

2. Nenda tena google andika Yahoo Small Business kisha fungua link ya kwanza kabisa iliyoandikwa Domain Names, Website Builder, Web hosting & More | Yahoo! Small Business , utaona ukurasa kama huu, na kisha bonyeza palipoandikwa LEARN MORE.
IBr7nu_j2PyFsR980Y5-ZxWs1cUVzki_lJwXGSar0sJLojZBWaHrIOj1zlXYzj4YA3LgrVYMOLlHh7L5R3WD1iaZMkTqB3RsUB-3Z1d2GLcmzNtx6abgwk3DMyCQT93p6O7aobaZ3. Utakutana na sehemu imeandikwa START FOR FREE bonyeza hapo na uanze kujaza taarifa zako na za biashara yako.
6U15mrhcDfpROSugdEBkjy3KQtzSblXs_wcTUUDhj-KyQq1_8iSZ0tWqXRDXCkuVBzkHchZfELqBeHv98sV1hkUKT7BXZ21Xv1J6Y8-4cYiXU-h7RaO7KyOTCn49VLcame7p7vyf4. Ukimaliza kujaza taarifa zako, utafika mahali pa kuweka taarifa za malipo, hapa chagua PAYPAL kwa sababu utaweza kuzuia wasikukate hela yoyote pale mwaka 1 utakapopita.

4MAOwsb5SD-FFV1Ls7xtARmxtuBVThYyUG2Nv-Iwq4EqIDB_0hPkaDgKWiGME04UMsxYk6XrZ8cK9s9AN8kho3QpxBreN7to1FGpt-j-JbMoaYNlYb6qsxe45eSWN5Hx3ZdqZ4mW

5. Endelea kufuata maelekezo mpaka utafika kwenye ukurasa wa kujaza taarifa za paypal.
 • KUMBUKA: Hawatakukata hata senti 1, kwasababu hii ni programu ya bure kwa kwa mwaka wa 1.
 • PIA: Hakikisha una akaunti ya Paypal iliyothibitishwa la sivyo hutaweza kukamilisha hatua hii kabisa.

-4vAfA00CqjZnH4X2F7KVNQDK7T1awTQd6rD_NIVV9eft7et6pQIHwwMThIlB2cFBQArSuQ9NOWQRFKTESnSEvsxv2GRNuy4uSAApU4almAItQYCN79dbz2uoa3m5ubh685VvBio

6. Ukifanikiwa kukamilisha kuunganisha akaunti yako ya Paypal utaambiwa uhakiki email yako na kwahiyo utafungua inbox utakuta ujumbe wa kuhakiki email fuata maelekezo na ukamilishe hilo.
mbtPCK25FDFwTgD2uLnIt66nVetYXoA_AuPSniH8ODZCcPKOTXKMjpVfxfbw6rXE0rbVDzOi1RL3JoHq2jiHA52dNC1hnFUIUDf79T0s-eDAkVoVZOskBy3tXI4ZYREpHRUhALM_7. Ukifanikiwa kuhakiki watakuleta kwenye DASHBOARD ya small business, na utaulizwa baadhi ya maswali utahitaji kuyajaza.
 • Sehemu ya namba ya simu, utabuni namba yoyote ya marekani ujaze, maana huwezi kujaza namba ya nchi nyingine yoyote hapo.
Z9r8-oqeswaydw0DE4bOQr6gtfP2uNVWP5Yachvc_j-NK46DqmdBcE13TgakN9nXm6omvYfscAk1Vl6NWNzPK5UygA08oQWpIZWbvEnXdxG-6lCD-50fu517W1PM8kOfUwB68uXO

8. Ukikamilisha hatua hiyo, nenda semehu ya kuchua domain, pameandikwa “claim and verify domain”.
cZJyW53LO9eVgZ86TelrzEOJC2hxS-1Udg84MjwQuueXP9G9y8dx8ERBRXWaDSwkpDNSkh993C1-V2Qj3a-pNx0T0s79c0gnyVL2DJQLJ62hlHFYseierGfWb3vfdw9he6QNOkiQ9. Search domain unayotaka na ubonyeze GET IT NOW , ili kukamilisha usajili wa domain.
NPkrhsJ4D_-s-spLea6wx5Y-80y-lz8PnQiwsBVVrgP9Gk9IP2mMBOtB9nzAEhvLQFFQ2IYaKgfMOI_ZXkAkIjInSqwQyeXVAcRr8d_U3YuW9_UOSN5ByWtyxa34zQRzEqQSlo8u

10. MUHIMU: Ukikamilisha usajili wa domain, utatumiwa emails kadhaa za kuhakiki domain. Hakikisha unafuata hizo emails na unakamilisha la sivyo domain yako itafungiwa mbeleni.
 • Ujumbe unaweza ukachelewa kidogo kufika ila ukifika hakikisha unakamilisha.

YHRaYHsGt0ijx9_QKixlJwtb5CYNAxvJHKle283xxMBN2tqzdBtGNIbmuL-CRWHBIVs8yElIwuQMH8iVq-IW2qJb6kzRJVF2UwOOFHuq-5v0IAGyOx_URkit8qqjouwROiUaDlJs

11. Hatua inayofuata ni kuzuia mfumo wao usikate malipo yoyote kwenye Paypal yako mara mwaka mmoja utakapoisha.
 • Utakwenda kwenye paypal yako Kisha fuata maelekezo haya na mtiriko huu:

 • Bonyeza, Sehemu ya Settings > Account Settings > Website Payments > My automatic Payments > Update > My Approoved Payments > Yahoo Aabaco Small Business > Cancel > Yes.

8XbgYQKb74zRMwH5YnCSBMTlBEnpr0EqWAr1bvFQRohFmskDS-zYcImtjQjh-dgAGjZui8kvlIFxVT4yngP9fydePoImXmc7Hq0QNJRwRqVBv1jV40rOjtZR63SibSQZDViReaoF

d6A5Y2VWhIEYupYBZ3-V7Uq66pf_yU1Un0a0Rx34qLSbbTSLoDKBtF4MoObTZW4qiElkRcO6z14UGzKWC68VR8nWCIpPUq2dZ7W2R5Yq6c7qRsAcwBeRMs-9dr4EVYzlhxWYVxVl12. Ukikamilisha Hapo twende sasa kwenye HOSTING ya BURE. Nenda google andika Infinity Free. na ubonyeze link ya kwanza. Itakuleta hapa na uanze usajili kwa gmail yako.

wRXS35c3QElTKFgWDvlqN9imNJNsy68COKZKP3vcu_MebFbRDin89HiyZDUWGLYIKb1WMY4WUdNrqSX4UM5d7bbemCBQBR6_mt5dDB1udpNhEtx7ITjTjnYHYZiNCxqXMrJWS0v513. Ukikamilisha usajili na kuthibitisha email yako, ingia kwenye akaunti yako ia Infinity Free (Client Area) na ubonyeze CREATE ACCOUNT ili kuunganisha Domain yako kwenye Hosting hii.
m1kB_dtTk-o37Y8BubAwq5J609bZjnXua77UI2I2kzyYnC_OTKtnDJUtgO31uzWbC8kGiCG8tEgRfFqFpGQ4IC5MvQZS126vAYWA9Z_v2rU9IKRATAI5wIn74L7gmN3JFjB_YVFv

14. Bonyeza palipoandikwa Custom Domain na ujaze Domain yako.
KGucacW1hUsq1rRtFu_g7la-Vv44NPweyZgNlXOiVEXwc6IJbWV5T0QJFw4H0QK9DDU9ucPPICbH_nEU06VryY6zqKLiqzOkiTnOe1a7NcSAShgpsxgeyv8DG9DRgEzPGaooyq2r

15. Baada ya kubonyeza Search Domain, utaulizwa kujaza taarifa za password, utakapobonyeza Create Account. Utaletewa ujumbe wa maandishi Mekundu kuwa unatakiwa kujaza hizo Nameservers kwenye Domain Provider wako.
Nameservers za kujaza kule Small Business ni Hizi:
 • ns1.epizy.com
 • ns2.epizy.com

Utazi-copy na kupaste kwenye Small business kule kama ifuatavyo:

QCsuDlL62js0iLSrnE_XR6zLTnbgPPay9FxW6fgy8HAn0vEhjqAH_RGxF8bLPY7v8isaomj5p6XJjMeSd3i-6sV0rc4Mk80KAZw9YV02I2f-ibB3hPFXeqZSusDpu3l1C_QkImPT16. Fungua kuule kwenye Small Business, nenda sehemu ya Domains , shuka chini mpaka utakapoona sehemu imeandikwa nameservers, bonyeza change. Na uondoe hizo za yahoo kisha jaza zile za Infinity Free, kwa kuanza na hiyo ya ns1.
 • ns1.epizy.com
 • ns2.epizy.com

JGllWKLGrYnVdhDf8qWjjHkJTTE5gnQGHWr4wCoRxu26_3jt5Uy_jHLOsAxvPuSBAJ7dJARrzacFRhpxZbKNXSr8McNJ7Mz2z80XgK-4KVHmr2fa7hU01TW7DNWed11JOvCbF1sm

R-0XQFEvWTAZolfS_6VNv92GTDII21pTPmJ6dMkQ6IkOrPG_ymfU0xS0E6bCp8WBO_xfDDWu0w0SSassL2r98CiMUhnFPRhNYbMPsswvHC21FWIM7IqEzy6KncjK-oFHsOzsi1ga

17. Rudi kule infinity Free umalizie zile hatua za kuunganisha domain. Na hapo utakuwa umemailiza kuunganisha Domain na Hosting. Kama utahitaji kuweka wordpress Bonyeza Control Panel na uendelee.

MUHIMU: Hizo nameservers zinaweza kuchukua muda kidogo, kuwa hai. Nakushauri usubiri kama lisaa ndiyo uendelee na shughuli zingine za website.

paXJquf6Bukzn9inEzRDYA7Qdll3EjugS4BFB_jRd0NWD7NONM_ajb3UfSPKyx_gsOvi_eHqC266Rw1QwLVm5_it8vu8SAtvBqxPOHe-7DPrXH4EkwmHTNj_aa_FoJFYwHFV9yA7Nakushukuru kuwa nami kwenye mafunzo hayo mafupi ila …

Kama unaona hutaweza au umeshindwa kufanikisha hizo hatua za kupata Domain ya .com na Hosting ya Bure. kutokana na sababu kama hizi:
 • Huna akaunti ya Paypal iliyothibitishwa
 • Hatua zinachanganya sana.
 • Unahofia kukosea na kuaribu kazi.
 • Unahofia usalama wa akaunti yako ya paypal
 • Au sababu yoyote ile.

Nimeandaa program fupi ya kukusaidia kukamilisha hizo hatua zote za kupata Domain yako ya .com na hosting ya bure. Ambapo mimi ntaifanya iyo kazi yote na kwa kutumia akaunti yangu ya Paypal iliyothibitishwa.

Nenda kwenye Website yangu hii : http://domainnahostingbure.com/

Na upate domain yako ya .com na hosting bure bila ya wewe kufanya kazi yoyote ile, kwa usalama zaidi na uhakika.

Fanya hivyo tembelea: http://domainnahostingbure.com/Imeandaliwa na Erick Ngimba
UI/UX Website Designer.
+255 742 140 574
 
NgimbaErick

Member
Mar 31, 2020
76
125
Waambie watu ukweli.. upande wa domain, SIO BURE, bali unacancel kufanya malipo kabla pesa haijakatwa .. That's too risky
NOOO! Domain wanatoa Bure kabisa kwa Mwaka wa Kwanza , hiyo wameindaa maalum kutokana na hali ile ya Covid-19. Umeona Mkuu?
3.png

3.png
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,078
2,000
Kwa wale Wenzangu walio serious na adsense na website zao msijaribu kujiunga hosting na Infinityfree, you will regret!. Google hawapendi website inayokuwa "DOWN" kila baada ya masaa matatu wanachokifanya wanaiblock site yako kwenye webmaster tools kisha wanaondoa pages moja moja kwenye search engine yao.

Same to .tk domains. /Freenom
 
Yeah umeongea point! Infinty free sio ya kutumia kwa serious business kabisa ni kheri utafute cheap hosting.
 
buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
434
500

Domain nishapata

Bado kuiunganisha na blog yangu nifanyeje

Blog yangu ni ya wordpress
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,595

Una uwendawazimu! Domain is hardly $12 and hosting may be $45, why all that trouble? And is not even true!
 
NgimbaErick

Member
Mar 31, 2020
76
125
Una uwendawazimu! Domain is hardly $12 and hosting may be $45, why all that trouble? And is not even true!

Kabla hujaongea mzee jifikirie .... Mimi sijasema domain ni ya bure milele, nmeeleza vema kabisa kuwa domain hiyo unaipata bure only kwa mwaka wa kwanza ... na kuhusu hosting wewe hujafanya utafiti ... hosting za bure zipo ila haziwezi kuwa sawa na za kulipia.

Kwahiyo usihukumu kabala hujafikiria infact, kuna mtu hapo juu ame-reply ameshafanikiwa kupata domain, sasa huyo naye ni mwendawazimu?
 
HARAKATI ZOTE

Senior Member
Mar 6, 2016
107
225
Kwa wale Wenzangu walio serious na adsense na website zao msijaribu kujiunga hosting na Infinityfree, you will regret!. Google hawapendi website inayokuwa "DOWN" kila baada ya masaa matatu wanachokifanya wanaiblock site yako kwenye webmaster tools kisha wanaondoa pages moja moja kwenye search engine yao.

Same to .tk domains. /Freenom
mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom