namna ya kutengeneza website

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NgimbaErick

    Hatua ninazotumia kutengeneza websites za milioni 4 au zaidi bila kujua coding

    Habari za muda huu, leo nmeona itakuwa vema kushare na wana JF, nakala hii ambayo inaelezea hatua ambazo mimi huwa ninatumia kutengeneza websites zenye thamani kubwa na zinazozalisha matokeo makubwa. Watu wengi sana wanafahamu jinsi ya kutengeneza websites, lakini wengi wao websites zao huwa...
  2. Erick Digital

    Tengeneza website kwa dakika Dk 40 tu

    Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza website kamili, nzuri, nadhifu na ya kisasa, kwa ajili ya biashara yako ndani ya muda mfupi sana...
  3. NgimbaErick

    Jinsi ninavyotengeneza Websites zenye mvuto bila ujuzi wowote wa Coding (Hatua kwa Hatua)

    Kwenye hii nakala nitakuonesha kwa ukamilifu kabisa jinsi ninavyoweza kutengeneza websites zenye mvuto (kama hiyo apo chini) bila ujuzi wowote wa lugha za kompuyta (programming languages) na pia ndani ya muda mfupi ( hata dk 10 ). Unaweza ukawa unajiuliza CODING NI NINI??... Kwa Ufupi Coding...
Back
Top Bottom