Search results

  1. Fiziolojia

    Kumbe Jiwe ana-'cut na ku-paste' kutoka huku

    Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Brazili vinaendelea kuongezeka huku mamia ya watul wakifariki kila siku nchini humo, lakini rais Jair Bolsonaro amekuwa akitumia maneno mawili kuelezea hali hiyo: "Sasa iweje?" Rais huyo kwa mara nyingine amewaomba raia wa Brazil warejee kazini...
  2. Fiziolojia

    Hujuma: Kituo cha afya Makole (Makole health center)

    TUNAPOELEKEA NI KUBAYA. ..Kijana wangu jana usiku majira ya saa nne alimpeleka mgonjwa wake baada ya kuona amezidiwa katika kituo cha afya Makole kilichopo mjini kabisa katika jiji la Dodoma. ..Cha kushangaza, alipofika kituoni hapo kabla hajamshusha mgonjwa wake kutoka kwenye gari, mwanaume...
  3. Fiziolojia

    Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

    Kuna habari zinazosemekana kuwa mzee Makamba na Abdulrahman Kinana (makatibu wakuu wa zamani CCM) wanaweza kuhojiwa na kamati ya maadili CCM leo hii jumatatu ya tarehe 10 February, 2020. Hii ni baada ya wazee hao wakongwe wa chama hicho kuwachomesha mahindi wajumbe wa kamati ya maadili kwa siku...
  4. Fiziolojia

    Hivi kweli TBC ni televisheni ya Taifa?

    Ni aibu kwa kweli. Nashindwa hata niandike nini yani ili TBC waweze kubadilika. Leo kwa bahati mbaya sana nimejikuta naangalia TBC taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa jirani yangu. Yaani ni ya OVYO OVYO OVYO. Nilitamani hata kubadili channel au kuzima Tv kabisa ila nikakumbuka kuwa sipo...
  5. Fiziolojia

    Maajabu hayaishi duniani

    [emoji124][emoji124] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Fiziolojia

    Kampuni ya Toyota kuondoa sokoni magari yapatayo 700,000 yenye hitilafu kwenye injini

    Kampuni maarufu ya magari ulimwenguni kutoka nchini Japan ya Toyota imesema itayaondoa sokoni magari yanayokadiriwa kufikia laki saba (700,000) yaliliyogundulika kuwa na hitilafu kwenye mfumo wa injini (katika fuel pump). "Kutoka na tatizo hilo katika fuel pump, gari inaweza ikazima ghafla, na...
  7. Fiziolojia

    Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige

    Si mwingine bali ni Waziri wa Kilimo nchini Kenya, Mwangi Kiunjuri, ametumbuliwa na Rais Uhuru Kenyatta siku chache tu baada ya Kenya kuvamiwa na kundi kubwa la nzige ambao wanasemekana wametokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Inasemekana kilichomsababisha haswaa mpaka akatumbuliwa ni ile kauli yake...
  8. Fiziolojia

    IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

    According to IMF ni: 1. South Sudan 8.2%, 2. Rwanda 8.1%, 3. Cote d'Ivoire 7.3%, 4. Ethiopia 7.2%, 5. Senegal 6.8%, 6. Benin 6.7%, 7. Uganda 6.2%, 8. Burk.Faso 6% 9. Mozambique 6% 10. Niger 6% 11. Kenya 6% NCHI YANGU TANZANIA IPO WAPI WAKATI TULIAMBIA UCHUMI WETU UNAKUWA KWA KASI? =====...
  9. Fiziolojia

    Vijana wa Dar mnakwama wapi!?

    Ndio kama hivyo yani.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Fiziolojia

    Nyuma ya pazia: Ukiachilia Israel, Rais Trump pia yupo katika misheni yake ya kisiasa

    Hii ni kuhakikisha anaingia ikulu kiurahisi baada ya kuanzisha vita na Iran. Na kwa jinsi raia wengi Wamarekani walivyo 'weupe kabisa' kuhusu masuala ya Middle East na walivyokuwa brainwashed" na propagandists media zao, basi lazima watampa kura na thisi year 2020 maana wanaamini Trump...
  11. Fiziolojia

    Israel ndiyo chanzo cha migogoro Mashariki ya Kati

    Ukisoma andiko la "the great Israeli plan for the 21ST century" utabaini hili. Muizraeli au Zionist ndiye Masterplanner; ndio anae ipressure USA kitambo sana since 9/11 afanye anayoyafanya sasa hivi Iran, kwani Iran ni moja ya nchi iliyokuwa marked na Israel kitambo sana ambayo ni lazima...
  12. Fiziolojia

    Uzi maalum wa burudani: Iran Vs USA katika picha

    .. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Fiziolojia

    Marekani yamnyima VISA ya kusafiri Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwenda New York

    Marekani imekataa kutoa visa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif, ambaye alitarajiwa kuhudhuria mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jijini New York Alhamisi wiki hii, kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters likimnukuu afisa mmoja wa Marekani. Taarifa hiyo ya...
  14. Fiziolojia

    Kipindi cha michezo redio Tanzania enzi hizo

    Unakumbuka nini na je Ulikuwa wapi enzi hizo!? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Fiziolojia

    Mamlaka husika msifumbie macho mambo haya

    Kuna ongezeko kubwa katika baadhi ya tamthilia au michezo ya kuigiza ya kutoka South America au ile ya kutoka Asia, mfano Ufilipino kuchochea vitendo vya kishoga kwa kuwa na baadhi ya characters (waigizaji) ambao ni mashoga (bila shaka), kitu ambacho ni kinyume na maadili yetu ya Kitanzania...
  16. Fiziolojia

    Nipo katika hali ya upweke usioelezeka

    Familia imesafiri kwenda kula sikukuu nimebaki alone home. Nyumba yangu niliyoijenga mwenyewe naiogopa. Sijawahi kufeel upweke wa namna hii in my life. Never! Sijui wale single guyz wanawezaje kuishi in this way. Kibaya zaidi sijisikii kabisa kutoka out. Nimenunua beer kadhaa ndio nashushia...
  17. Fiziolojia

    Maria Sarungi

    ....hivi huyu ni mtoto wa Prof.Sarungi!? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Fiziolojia

    Pale umeingia bafuni

    ...umeme ukakatika; ukakomaa kuoga gizani hivyo hivyo ; ile karibia unamalizia kuoga umeme ghafla ukarudi halafu unakutana na kiumbe hichi uso kwa uso.[emoji116][emoji116] What will you do??.
  19. Fiziolojia

    Tanzania Open to Talks Over $10 Billion Port Project, Daily Says

    https://www.bloomberg.com/amp/news/articles/2019-10-19/tanzania-open-to-talks-over-10-billion-port-project-daily-says?__twitter_impression=true
Back
Top Bottom