Pale umeingia bafuni

Pale umeingia bafuni

Fiziolojia

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
815
Reaction score
1,085
...umeme ukakatika; ukakomaa kuoga gizani hivyo hivyo ; ile karibia unamalizia kuoga umeme ghafla ukarudi halafu unakutana na kiumbe hichi uso kwa uso.[emoji116][emoji116]


What will you do??.
Screenshot_2019-11-17-20-41-30-852_com.miui.gallery.jpeg
 
Nampa sabuni nayeye aoge
Namalizia natoka kasi nijipange kumuua
Kama gizani tulikuwa wote hata kwenye mwanga tutakuwa wote kwa amani.
Na mpigia nyeto
Uungwana ninkusalimiana Kisha kumuuliza ana shida gani?
Unampiga busu moja matata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namtuma anifatie maji ya kuoga bombani nimalizie kujisugua miguu.
 
Nafungua mlango taratiiiiib huku namwangalia nikitoka tu nduki.
 
Nitajua ndiyo siku ya kifo changu imewadia
 
Namuuliza kwa nini alikuwa ananipiga chabo. Kisha namwambia avue nguo tujumuike pamoja kuoga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom