Search results

  1. M

    Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

    Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi. Chanzo kiliendelea kutambaa na mistari kuwa ilitokea purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia Mbwana Matumla kwa...
  2. M

    (SAIKOLOJIA) Yajue matatizo ya kupenda kupita kiasi

    Kupenda ni jambo muhimu katika maisha ya mwanadamu, kwa sababu asilimia kubwa ya matendo ya mtu huongozwa na mapenzi. Baadhi yetu tuko tayari kupoteza maisha kama tutaachwa na wapenzi au kukosa mambo tuliyoyapenda. Kupenda kwa kiwango cha kushindwa kujizuia na kuvumilia ni hatari kwa afya...
  3. M

    Je wajua jinsi wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume?

    Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii. Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha...
  4. M

    Video mpya ya rihanna "we found love" ni funiko bovu

    Video za RIHANNA kwa mwaka huu pekee zinatia fora!!!!!!!! Nikianza na wimbo wake wa S&M ulikuwa ni "MOTO" sana kiasi cha kushindwa kupigwa ama kuoneshwa katika baadhi ya Television kwa sababu za kimaadili.Hata hivyo,WACHINA waliamuru wamiliki wote wa MITANDAO kuutoa wimbo huo katika...
  5. M

    Dar tightens securiyt amid growing al - shaabab security threat

    MMMHhh!!!! HILO NALO WAZO LA MSINGI. SIJUI LAKINI.ILA KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKE ANADAI KUWA AMEIMARISHA ULINZI KWA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYOTE VYA DOLA
  6. M

    Dar tightens securiyt amid growing al - shaabab security threat

    bwana kova anadai kuwa ulinzi umeimarishwa kili sehemu na kamera zimefungwa kila kona
  7. M

    Dar tightens securiyt amid growing al - shaabab security threat

    Kikundi cha kigaidi cha Al-Shaabab kimezua hofu kuelekea kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga LEO baada ya Jeshi la Polisi nchini kutoa taarifa ya kuzuia mikusanyiko kwa kuwa wana taarifa kwamba kikundi hicho kina mpango wa kufanya mashambulizi jijini Dar es...
  8. M

    Je Gaddafi hakuwahi kuwatendea mabaya walibya?

    1. The price of *petrol* in Libya is $0.14 per liter. 2. Libya has *no external debt* and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally. 3. If a Libyan is unable to get *employment* after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is...
  9. M

    Masaa 18 kabla ya kifo cha gaddaf

    KUNA mvutano kuhusu mazishi ya marehemu Kanali Muammar Gaddafi, watu wa kabila la kiongozi huyo wa zamani wa Libya, wanadai mwili wa ndugu yao ili wauzike kwa heshima, wakati Baraza la Mpito linaweka ngumu na kusisitiza kwamba atazikwa kwa siri kubwa. Tumefanikiwa kupata historia fupi ya...
  10. M

    Wema, diamond... Hakuna ndoa

    Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka na lisemwalo lipo kama halipo, basi li njiani laja! Hatimaye Wema Isaac Sepetu na Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, wamemwagana rasmi Ilikuwa ni Jumanne, saa mbili usiku, Diamond ‘Platinum’ aliita vyombo vya habari katika Hoteli ya Lion Sinza...
  11. M

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    ++++++++++++++ 1st Post updated +++++++++++++
  12. M

    Mikakati ya kuwabambika kashfa viongozi wa CHADEMA yaandaliwa

    NGUVU ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imezidi kukinyima usingizi Chama cha Mapinduzi (CCM), na sasa inadaiwa kuwa mikakati imenza kusukwa ili kuwabambika kashfa baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA kwa lengo la kuwadhoofisha wao binafsi na chama kwa ujumla. Habari za...
  13. M

    Kikwete ahofia kung'olewa CCM kwa madai ya kushindwa kukiendesha chama

    asante mkuu kwa kunifungua.nilikuwa sijui
  14. M

    Kikwete ahofia kung'olewa CCM kwa madai ya kushindwa kukiendesha chama

    kama ni kweli aliuza mali zetu kwa fujo,iwaje ccm wanataka kumpa ngazi ya juu kiasi hicho?
  15. M

    Kikwete ahofia kung'olewa CCM kwa madai ya kushindwa kukiendesha chama

    RAIS Jakaya Kikwete sasa anakabiliwa na wimbi zito la kujinasua kutoka kwenye mpango unaosukwa na makada wa chama hicho kumng'oa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Makundi yanayotaka kumng'oa yanadai ameshindwa kukiendesha chama, na hali hiyo imeifanya serikali kuwa...
  16. M

    Jinsi ya kutumia internet bure na kuongeza speed ya modem yako

    mkuu nakushukuru sana kwa kufuatilia
  17. M

    Nape aongea na vyombo vya habari, alalamikia masuala kadhaa!

    KAULI YA NAPE(CCM) “CHADEMA ni lazima wajue maandamano si njia ya kudai kila jambo… sisi tunasema ni vema tukae pamoja ili tujadili suala hili kisheria kwa sababu nasi tunaunga mkono msimamo wa serikali kupinga malipo haya,” alisema mwanasiasa huyo. KAULI YA DR SLAA: (CHADEMA)...
  18. M

    Nape aongea na vyombo vya habari, alalamikia masuala kadhaa!

    MKUU JIBU LAKO LIPO WAZI. UKITAKA KUJUA ANAYEWALIPA DOWANS RIPORT IPO HAPA CHINI <<TANESCO POLENI!!!>>
  19. M

    Tuhuma na mipango ya kuuawa kwa Mwakyembe ipo kwa IGP

    FEBRUARI 8, mwaka huu, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam. Baada ya maelezo hayo, polisi walimtaka aweke madai yake kwenye maandishi na siku moja baadaye Dk. Mwakyembe aliwasilisha taarifa yake...
  20. M

    Aunt Lulu aparamia pombe na kufanya mambo yasiyo na heshima hadharani

    Mtangazaji mahiri wa Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa akiwa hoi kwa kilevi na kuwaacha wadau midomo wazi Kituko ni kwamba, Aunty Lulu alifakamia pombe hizo zilizompeleka hali ya ‘u-tilalila’ katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mitihani ya kumaliza masomo ya...
Back
Top Bottom