Video mpya ya rihanna "we found love" ni funiko bovu

mtundu

Member
Oct 6, 2011
22
7

Video za RIHANNA kwa mwaka huu pekee zinatia fora!!!!!!!! Nikianza na wimbo wake wa S&M ulikuwa ni "MOTO" sana kiasi cha kushindwa kupigwa ama kuoneshwa katika baadhi ya Television kwa sababu za kimaadili.Hata hivyo,WACHINA waliamuru wamiliki wote wa MITANDAO kuutoa wimbo huo katika mitandao yao,vinginevyo website zao zingefingwa.

Utata umeibuka tena katika hili SONG lake JIPYA la "WE FOUND LOVE".kusema kweli wimbo ni mzuri sana.Tatizo ni kuwa unakila dalili ya "MAMBO YETU" na kwamba ana mdhalilisha MWANAMKE na kumfanya aonekane kuwa ni "taka" ya MWANAUME

ILI KUU DOWNLOAD WIMBO HUU <<BOFYA HAPA>>
 
Sio una dalili ila kwa wengi hiyo ndio reality!!
Wanawake wengi hayo ndio maisha wanayoishi...na wanaume hivyo ndivyo wanavyojiona..waamuzi juu ya wanawake wao.
 
Back
Top Bottom