Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

mtundu

Member
Oct 6, 2011
22
7

Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi.

Chanzo kiliendelea kutambaa na mistari kuwa ilitokea purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia Mbwana Matumla kwa kupangua makonde ya Francis Miyeyusho kama alivyofanya wiki iliyopita pale Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Ilidaiwa kuwa staa huyo wa filamu hakufua dafu kwani Diamond alipeleka konde moja matata kama lile la Miyeyusho kwa Matumla hivyo kumwachia michoro ya makofi usoni huku akimsababishia mrembo huyo kutosikia vizuri hadi sasa.

Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi.

Chanzo kiliendelea kutambaa na mistari kuwa ilitokea purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia Mbwana Matumla kwa kupangua makonde ya Francis Miyeyusho kama alivyofanya wiki iliyopita pale Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Ilidaiwa kuwa staa huyo wa filamu hakufua dafu kwani Diamond alipeleka konde moja matata kama lile la Miyeyusho kwa Matumla hivyo kumwachia michoro ya makofi usoni huku akimsababishia mrembo huyo kutosikia vizuri hadi sasa.http://freebongo.blogspot.com/2011/11/diamond-ampa-kipigo-wema-sepetuamharibu.html

Kesho utasikia story ingine Wema amechukua RB
 
mapenzi ya ubondia mwishowe kutoana mangeu. Diamond anatafuta sababu ya kumwacha Wema
 
mbona nlisikia wamesha achana kwa shuruti ya wazazi wa kidume
 
I hope amechukua hatua muafaka. Kwa sababu kupigwa na kutolewa magazetini namna hii ni udhalilishaji wa aina yake
 
Nachukia sana umbea,hivi hakuna mambo ya maana ya kuwaambia watu mpaka yawe mambo binafsi ya watu?Ni wangapi tunapigana na wenzi wetu na hatutangazi?
 
Nachukia sana umbea,hivi hakuna mambo ya maana ya kuwaambia watu mpaka yawe mambo binafsi ya watu?Ni wangapi tunapigana na wenzi wetu na hatutangazi?

jamani unachukia kweli?sa kwa nini uliifungua hi thread ndugu?wakati hata heading 2 inaonyesha umbea?au ili utuambie unaichukia?
 
Mi wala cna shda akinipiga kimya ntamsubiria amelala ntakachomfanya hatakaa anyooshe mkono kwa mwanamke,
 
I hope amechukua hatua muafaka. Kwa sababu kupigwa na kutolewa magazetini namna hii ni udhalilishaji wa aina yake
Achukue hatua wakati mwenzako kuandikwa kwake ni bonge la promo! Sanasana atachukua hatua itakayozidisha kuandikwa zaidi, anaweza hata kumuomba Diamond amwongezee kichapo
 
Back
Top Bottom