Search results

  1. comrade_kipepe

    Bongo kwasasa hakuna Mwanamke maarufu mwenye shepu kama Munalove

    Yes, Kwasasa bongohii sijaona, mwenye umbo zuri lililosimama lisilo na mabonde kama Munalove, anaekula pale anafaidi, goma limetulia sana. Hata Kajala wanampaisha tu lakini Muna ana umbo zuri bana
  2. comrade_kipepe

    Nimechoka na hela ya kula, nipeni dili la kuanzia Milioni 100+

    Yes, It's me again. Nimechoka na Hela za kula. Sitaki uje na idea ya million 10, 20 , 330 hizo Hela za kula. At least anzia deal la 50M. Deal lolote. Ila isiwe tu mambo ya bendera yenye rangi nyingi. HAPO HAPANA.
  3. comrade_kipepe

    Kalio linavyobadlisha maisha ya 'maslay queen'

    Ndiyo! Unajua nashangaa sana, kuna mabinti ambao wameishia la 7, yupo mmoja namjua, yaani katoka mkoa alikua anauza bar. Ni binti aliyejaliwa kalio kubwa sana, kwa sasa naona maisha yake yamebadlika sana na picha anazoweka status ni za kushawishi sana, wakati mwingine makalio wazi biashara...
  4. comrade_kipepe

    Binti niliyekua namvizia nimempita akitoka vichakani

    Imeniuma sana japokua nina wife. Aiseee nilikua nakalia timing, leo nimekafuma kanatoka vichakani kwenye kinjia kwenye giza totoro na msela, namimi nikakamulika usoni makusudi na taa ya pikipiki. Haina noma lakin ngoja nibaki main road!
  5. comrade_kipepe

    Club Brugge inanipigia kibonde Real Madrid

    natamatani wapigww hata 5. kipara anajiona mjuaji sana. angejijua asingerudi, amekuja kujidhalilisha. piga haoo
  6. comrade_kipepe

    Wanawake wa miaka hii ni hopeless

    Mtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana. Na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua...
  7. comrade_kipepe

    Dalili za mwanamke wako kuwa “kicheche” kwa kuangalia matumizi yake ya simu

    ama hakika, hii ni ukweli 98% ebbbaaanaaae!!! mwanamke wako akiwa na matumizi haya ya smartphone, au akawa busy na baadhi ya mitandao ifuatayo ujue kua huyo sio wako ila ni cha wote, anatinduliwa ipasavyo! 1. Mkilala usiku, mwanamke wako akaweka simu yake silent, kwa kisingizio kua hataki...
  8. comrade_kipepe

    Huyu kibaka kanishangaza sana

    aseeee! Juzi kati hapa, majira ya saa6 kasoro usiku nikiwa nimetoka kwenye banda la mpira kuangalia usiku wa mabingwa a.k.a UEFA champions league, wakati narudi njiani kwenye kichochoro kimoja hivi nikakutana na vibaka wawili (Nyumbani dstv ipo lakini napenda zile amsha amsha za kibanda umiza)...
  9. comrade_kipepe

    Nimetokea kumpenda sana binti wa wa mtaani hapa

    Ama hakika, this is very serious! Kiukweli, nikiwa na akili zangu timamu, bila kushurutishwa na mtu nimeamua kuyaandika haya. duh!!! Kuna dogo mmoja hivi yupo hapa mtaani, ni kasichana kabichi, kanaonekana kana miaka kati ya 17 au 18, wazee kapo poa sana, ni kamodo flani hivi kenye shepu moja...
  10. comrade_kipepe

    Ni avatar ya member gani wa kike inakupagawisha sana humu mjengoni??

    aseeee! pamoja wengi avatar sio zao, lakini mtu inakua ukiiona tuu unapagawa yani unaona kama labda anafanania vile, kumbe ukute ni furushi tuu halina mpango, ipi kwako inakuvutia na kukupa mtekenyo wa ndani na mshawasha zaidi?? mimi hii hapa
  11. comrade_kipepe

    MAPENZI ULAYA, AFRICA BIASHARA.

    aseeee! mwanamke wa huko ma ufilipino, india, mwanamke wa huko the United states of A (sio black), kwa malkia Uingland huko asee ndio mapenzi yalipo msee wangu. huku kwetu mablack tunauziwa mapenzi bila kujijua, wenyewe wana kamsemo kao eti! "kua na mwanaume asie na pesa ni kipaji!" duh"...
  12. comrade_kipepe

    Ananiambia anataka 3some, anamaanisha nini?

    Nawaka kama cheni za kondeboy msafi, mtu mmoja lakini utasema kikosi cha pina, maringo mengi like ma name is casanova!! ova!! Katika whatsapp yangu, kuna group moja hatari sana, madem wa kumwaga, nikaona nijilipue Katika inbox [emoji395] ya mrembo mmoja hivi chuchu saa VI msee baba! Nikamwagia...
  13. comrade_kipepe

    Je, huyu mchungaji alichokiongea kuhusu mimi ni sawa?!

    leo, jumamosi majira ya saa 12 na dakika 25 jioni, nikiwa ndani nimetulia nacheki movie kwenye big screen yenye takribani inch 50, niliskia 'ngo! ngo! ngo! mlango ulikua unagongwa, basi msee baba nikakurupuka juu ya sofa nikaenda kufungua mlango, duh!! ilikua ni mchungaji aseee, nikasema leo...
  14. comrade_kipepe

    Wanaume: ukijiunga jf, jitahidi kujipa jina zuri kwa manufaa ya baadae

    kama umekuja tuu jf kuropoka unachojisikia, na huna interest na PM za madada wa humu kama mimi, basi ukijiunga JF unaweza ukajibatiza jina lolote, hata la kikatuni kama langu... lakini kama unajiunga hapa ili uvizie wadada, inatakiwa uwe na jina zuri, na comment zako ziwe vizuri msee wangu...
  15. comrade_kipepe

    Wanawake wengi, mnakuja na style ya kukopa, kumbe ndio kizinga

    etiii oooh! "kipepe niazime laki4 ndani ya week mbili nitakulejeshea!" aseee! upo upo tuu, hata kazi huna hiyo laki nne ndani ya week mbili unaipatia wapi??? unanipiga kizinga cha kidigitali?? ukweli ni kwamba wanawake wengi wanakua na wanaume sio kwa ajili ya upendo wa kweli au malengo, bali...
  16. comrade_kipepe

    NYIE VIJANA MLIOJAZANA KWENYE HICHI KILINGE KINAITWA CHIT-CHAT JADILINI MAMBO YA MSINGI

    D to K, ninapokua home wananiita Dingi kwenye Kaya. katika JF nzima, jukwaa hili ndilo mmejaa watoto kibao, mnajadili madudu tuu, njooni kule JAMII INTELIGENCE tuumize vichwa, sio mnaleta mambo za kifesibuku hapa kwanza hili jukwaa libadilishwe jina liitwe JUKWAA LA WATOTO au LIFUTWE KABISA...
  17. comrade_kipepe

    Wanawake wa siku hizi mbona mmekuwa warahisi hivi? Mkishajua mwanaume ana kazi nzuri mnalainika

    Juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya mjini nikiwa ndani ya usafiri wa Uber, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona. Nikaingia pale dukani nikaanza kuchagua nguo, yule dada akaanza kunisaidia kuchagua nguo huku akisifia nguo zake...
  18. comrade_kipepe

    Rasmi: Nabaki na Barca, Man U sio timu kubwa tena

    Nilikua nimshabiki mkubwa sana wa Manchelona.. yaani Man U na Barca. Ila kwa sasa Man U naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na Spurs, haiwezekani eti Crystal Palace na Man U ni big match.. Man U ni timu mbovu sana ndani ya England.. Nabaki na Barca rasmi
  19. comrade_kipepe

    Leo nimekutana na mwanamke wa JF kibiashara, ni Mzuri ile mbaya

    Mimi ndimi? eeebana leo nimemeet na mwanadada mmoja hivi wa humu jf, ilikua tumekutana kibiashara tuu, kuna eneo lake alikua ananiuzia, kilichonishangaza ni uzuri wa huyo mwanamke aseee, type za wakina hamisa kabisa asee, yupo poa kila idara. kwanza ilibidi nimuulize "wewe ndio H au kakutuma...
  20. comrade_kipepe

    Kwanini baada ya mwanamke kumkubalia mwanaume haya mambo hutokea?

    Hii imekaaje?? Ukishamtongoza mwanamke akakubali haya mambo hutokea?!, au ndio registration fee?!:- LUKU ya mwanamke huisha fastaa Jiko la Gas huisha fasta Pesa ya nauli akamsalimie mama mdogo anaumwa Baada ya kukukubalia tuu kodi ya mwanamke ndio inakuwa imefikia wakati wa kulipa Simu ya...
Back
Top Bottom