comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,390
- 17,075
aseeee!
mwanamke wa huko ma ufilipino, india, mwanamke wa huko the United states of A (sio black), kwa malkia Uingland huko asee ndio mapenzi yalipo msee wangu.
huku kwetu mablack tunauziwa mapenzi bila kujijua, wenyewe wana kamsemo kao eti! "kua na mwanaume asie na pesa ni kipaji!"
duh" pesafirst ndio mapenzi yafuate kibongobongo, in Africa especially Tanzania it's like a business meeen!!! Oooh My God!
pesa bila mapenzi kibongo bongo utachapiwa sana aseee, Pesa ndio itakufanya upendwe mzee wangu, wenyewe wanakamsemo kao eti! "hapendwi mtu apa inapendwa pochi!"
sasa wewe jichanganye uoe kama huna kibunda cha kutosha utakua umewasaidia mabaharia wenye pesa kupoint, watakuchapia waifu wako mpaka uone dunia hii chungu asee!!
kibongo bongo
MAPENZI = PESA
MAPENZI BILA PESA = KUCHAPIWA.