Rasmi: Nabaki na Barca, Man U sio timu kubwa tena

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,735
2,477
Nilikua nimshabiki mkubwa sana wa Manchelona.. yaani Man U na Barca.

Ila kwa sasa Man U naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na Spurs, haiwezekani eti Crystal Palace na Man U ni big match..

Man U ni timu mbovu sana ndani ya England..

Nabaki na Barca rasmi
 
nilikua nimshabiki mkubwa sana wa manchelona.. yaani man u na barca.

ila kwa sasa man u naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na spurs, haiwezekani eti crystal palace na man u ni big match..

man u ni timu mbovu sana ndani ya England..

nabaki na barca rasmi
Aah aah aah!
 
Chelsea pekee ndiyo timu kubwa iliyobakia na Wazee wa mahaba niue kama Arsenane, sing'oki ng'oo japo najiandaa kukaa nafasi ya 15-17 msimu huu
 
Man u haapo serious kisa wameona mount anafanya vizur, Leo nikawaona wamemtoa lingard wameweka sijui ndo Greenwood,, tuacheni utani man u haina kikosi cha kushindana walimbahatisha Chelsea wakati lampard bado anawenge,, Naamin match ya Chelsea vs man u ikirudiwa hata leo man u anakufa vizur tuu ..
hakuna timu pale
 
nilikua nimshabiki mkubwa sana wa manchelona.. yaani man u na barca.

ila kwa sasa man u naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na spurs, haiwezekani eti crystal palace na man u ni big match..

man u ni timu mbovu sana ndani ya England..

nabaki na barca rasmi
Wewe sio shabiki aisee
Juzi Barca nao wametoka kupigwa na kitimu cha ajabu.....kwahiyo utakuwa ni mtu wa kuhamahama?
 
Nilikua nimshabiki mkubwa sana wa Manchelona.. yaani Man U na Barca.

Ila kwa sasa Man U naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na Spurs, haiwezekani eti Crystal Palace na Man U ni big match..

Man U ni timu mbovu sana ndani ya England..

Nabaki na Barca rasmi
Mkuu, mbona umechelewa hivo? Karibu sana japo na sie sasa hivi tuna tatizo la kocha na bodi ya klabu.
 
Back
Top Bottom