comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,544
- 17,558
etiii oooh! "kipepe niazime laki4 ndani ya week mbili nitakulejeshea!"
aseee! upo upo tuu, hata kazi huna hiyo laki nne ndani ya week mbili unaipatia wapi??? unanipiga kizinga cha kidigitali??
ukweli ni kwamba wanawake wengi wanakua na wanaume sio kwa ajili ya upendo wa kweli au malengo, bali ni ili kupata unafuu wa maisha, mwanamke amekua chombo cha starehe huku mwanaume akiplay role ya ATM machine! msee wangu!
kuliko kuuziwa bila kujua, bora niende kimboka, kona bar, kisuma ya sokota, tandika au manzese uwanja wa fisi nikapimiwe ngono, nilipe kutokana na ninavyotumia aseee!
au kama unataka pesa nawewe weka dhamana.