Wanawake wa miaka hii ni hopeless

Wanawake wa miaka hii ni hopeless

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,521
Reaction score
17,487
Mtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.

Na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua jamaa anakukunja!

Duh! eti unajdai unampenda jamaa kama shabik yake tuu, au kwakua majina yenu ya ukoo yamefanana ndio ikawa rahisi kumvulia jamaa chupi?? umepagawa na umaarufu wa mshkaji?

Wanawake wa miaka hii mmekua mabomu sana!
 
Km unampenda na hakupendi mumeoana au mnadate tu bs siku ziende
 
Mkuu wewe ni hopeless zaidi ya demu.
 
mtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.

na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua jamaa anakukunja!

duh! eti unajdai unampenda jamaa kama shabik yake tuu, au kwakua majina yenu ya ukoo yamefanana ndio ikawa rahisi kumvulia jamaa chupi?? umepagawa na umaarufu wa mshkaji?

wanawake wa miaka hii mmekua mabomu sana!
daaaaah jamaa umeongea kwa hisia sana,hebu kunywa pepsi 1 utoe hilo fundo kooni kisha sikiliza wimbo wa barnaba unaitwa YATAKWISHA

ANGALIZO
uwe mbali na vitu hatarishi kama visu,chupa,panga,kamba,sumu ya panya na magunia ya mkaa wakati unauskiliza huo wimbo maana nakuhakikishia hautakula ugali leo appetite itapotea mazima
 
mtu unajijua unamtu wako, lakini eti unaenda whatsapp status unamuandikia mwanaume mwingne ujumbe mmoja romantic sana eti unajidai unaijali Birthday yake sana.

na mpaka unaandika whatsapp inamaana huyu jamaa mnachatigi whatsapp so status yako ataiona, na nilishapataga skendo kipindi flan kua jamaa anakukunja!

duh! eti unajdai unampenda jamaa kama shabik yake tuu, au kwakua majina yenu ya ukoo yamefanana ndio ikawa rahisi kumvulia jamaa chupi?? umepagawa na umaarufu wa mshkaji?

wanawake wa miaka hii mmekua mabomu sana!
kuna sehemu barnaba anakwambia "vile nilivyokubidua nae anakupidua vile vile saa nawazaaa,vile ulivyonihemea nae unamuhemea vile vileee saa nawaaaazaaa",hebu imagine hapo bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom