Search results

  1. Mtwara Smart

    Mwenye Laptop Au Deaktop Yenye ARM 64 Processor Aje Tufanye Kazi Haraka

    Wakuu Habari Kuna Kaz Nafanya Ya Ku Test App Ila Inatakiwa Laptop Au Desktop Yenye Windows 10 64 Yenye ARM Processor. Kwa Wasiojua Ukienda Kwenye This PC, About Utakuta Sytem Type 64, ARM 64 Based Processor. Kama Unayo Please Confirm Nikupe Kazi Ya Dakika 10 Tu Nitakulipa 50000/= NB: NAHITAJI...
  2. Mtwara Smart

    Lenovo Ndio Brand Ya Laptop Inayoongoza Kwa Motherboard Failures

    Habari zenu Wadau Wa Tech Nimekaa Muda Mrefu Kutokana Na Changamoto Za Maisha Leo Nimeona Bora Nizungumze Na Kuwapa Tahadhari Wote Wanaomiliki Au Wanaopenda Kuja Kununua PC Laptop Aina Ya Lenovo Ndio Inaongoza Kwa Kupata Hitilafu Katika Motherboard Kwa Reference Ya Data Zangu Za Mwaka Jana Na...
  3. Mtwara Smart

    Darasa Huru Part 4: Umuhimu Wa IT Rescue Bag Kwa Fundi Computer/Simu

    Habari zenu wakuu na poleni na majukumu, Leo ningependa tujue umuhimu wa I RESCUE BAG Kwa Fundi Computer Na Simu, Vitu Hivi Ni Muhimu Sana Kwa Fundi Yoyote Anayetaka Kutoa Huduma Express, Delivery Na Outreach. IT RESCUE BAG Ni Mfuko Au Kitu Chochote Kinachoweza Kuhifadhi Vitu Muhimu Ambavyo...
  4. Mtwara Smart

    Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

    Habari Zenu Wakuu; Nipo Katikati Hali Fulani Ngumu Sana, Nimeliweka Hili Ila Sasa Nimeshindwa, Nahitaji Msaada, Tena Mkubwa Sana, Maelezo Yangu Ni Marefu Ila Naomba Soma Na Nishauri. Nipo Kwenye Mahusiano Ya Huyu Binti For 10 Years Since 2011 Tulikutana Shule O Level Mjin Morogoro Akiwa Form 1...
  5. Mtwara Smart

    Tanzania: Mgonjwa kapatikana KIA vipimo vinafanyika Dar es Salaam, tulijiandaa kweli?

    Habari wakuu, Poleni na hofu mliyonayo juu ya ugonjwa huu a Corona. Mgonjwa alipatikana KIA then akachukuliwa sampuli kwenda Dar kupimwa. Lugha rahisi ni kuwa mipaka yetu yote haina hiki kipimo. So IRDS ya wizara yetu ya afya haiko makini. Viongozi mjitafakari, siasa na majaribio kwenye...
  6. Mtwara Smart

    Nipe Elfu 70 Nikupe Hii PC

    Kwema Wakuu, Nina PC Imekaa Store Kwa Muda Almost Mwaka. Nzima Na Inafanya Kazi Specification Zake Hizi Hapa. TOSHIBA C850 RAM 2GB HDD 320 (Not Included Kama Utahitaji Utaongeza Elfu 30) Wifi Bluetooth SHIDA ZAKE 1. Haina Battery 2. Haina Speaker Za Ndani 3. Kioo Kina Mstari Mmoja (Kama...
  7. Mtwara Smart

    Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced) PART 2 EP01: Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge

    PART 2 EP01 Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge. Wasalaam Wanandugu: Tumekutana Tena Katika Darasa Letu Huru La Laptop Repair, Na Part 2 Hii Tutakuwa Tunaangalia Matatizo Ya Hardware Tu. Tuanze Kwanza Na Utangulizi Wa Laptop Kwa Siku Ya Leo...
  8. Mtwara Smart

    Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced)

    TUIFAHAMU BIOS MENU NA UMUHIMU WAKE KWA SOFTWARE REPAIR (PART 1 EP01) Habari Wanandugu. Ni Ijumaa ya kwanza leo ya somo letu la laptop repair, na katika part 2 hii tutaangalia SOFTWARE Issues Tu. Tujue Kidogo Nini...
  9. Mtwara Smart

    Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced) Introduction

    Habarini Ndugu Wanajf Baada Ya Uzi Wa Wa Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1609441/ Nilipata Jumbe Nyingi Sana Kila Mtu Akihitaji Mwanga Wa Kujifunza Hii Kitu Nikaona Sio Mbaya Kama Tutaanzisha Darasa La Laptop Repair Humu At Least Vipindi Vitatu...
  10. Mtwara Smart

    Natafuta Binti Smart, Sijali Elimu, Tufanye Kazi Mtwara Mjini. (Customer Care)

    Kama Tangazo Linavyojieleza, Natafuta Binti Wa Kukaa Reception Na Kusikiliza Wateja Kwenye Office Ya Computer & Phone Repair TAFADHARI SOMA KWA MAKINI MAELEZO YANGU. VIGEZO: 1. Awe Anajua Kutumia Laptop & Smartphone 2. Muaminifu 3. Smart Na Msafi 4. Awe Na Idea Kuhusu (Instagram & WhatsApp...
  11. Mtwara Smart

    Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

    Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema. Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...
  12. Mtwara Smart

    Msaada: Mafundi Laptop Na Simu Nitapata Wapi Hiki Kifaa (DC Power Supply)

    Habarini Wakuu, Wale Wa Kariakoo Na Pengine Naomba Msaada Pa Kupata Hii DC Power Supply, Na Bei Take Kama Itawezekana Asanteni Features: 30V 10A
Back
Top Bottom