Msaada: Mafundi Laptop Na Simu Nitapata Wapi Hiki Kifaa (DC Power Supply)

Mtwara Smart

JF-Expert Member
Jun 6, 2019
566
1,000
Habarini Wakuu, Wale Wa Kariakoo Na Pengine Naomba Msaada Pa Kupata Hii DC Power Supply, Na Bei Take Kama Itawezekana Asanteni

Features:

30V
10A
-583969090-306969488.jpeg
-6706780721529745476.jpeg
1748536201149418121.jpeg
 
Mtwara Smart

JF-Expert Member
Jun 6, 2019
566
1,000
Poa poa, ila bei sio mbaya kivile
Yap Boss Na Hii Ndio Nguzo Ya Short Za Motherboard (Phone & Laptop), Ukijua Kutumia Hii Ndani Ya Mwez Tu Pesa Isharud Na Faida.
Maana 90% Ya Mafund Hawajui Kufanya Repair Ya Chip Level, MTU Akileta Kifaa Ataambiwa Motherboard Imeungua But The Truth Ni Cap, MOSFET Imepiga Short.
Kuna Mzee Aliniambiaga Usiogope Kununua Vifaa Vinajilipa, Trust Me Vinajilipa Kweli.
 
Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,643
2,000

Kabisa mkuu, hata mteja akitokea ukimwambia ni issue fulani anaelewa fasta anatoa hela Kama ndio alitoka kwa fundi mwingine alie mwambia motherboard imekufa..
 
Mtwara Smart

JF-Expert Member
Jun 6, 2019
566
1,000
Kabisa mkuu, hata mteja akitokea ukimwambia ni issue fulani anaelewa fasta anatoa hela Kama ndio alitoka kwa fundi mwingine alie mwambia motherboard imekufa..
Ni Kweli Boss, Sema Mim Ni Mwanaharakati Tu Sikusomea Kabisa Electronics Ila Nilikuwa Na Idea Za Kupiga Windows PC Na Kuflash Simu Nilijifunza Kitaa, Kuja Chuo Huku Nikakuta Kazi Kibao Za Student Wenzangu! Nikawa Napiga Huku Nakomaa Na YouTube Na Google, Nikanunua Vifaa Kibao Kama SMD Station Na Oscilloscope, Current Nahitaji DC Power Supply Tu Nifungue Ofisi Huku Huku Nilipo Maana Namaliza Chuo Mwez Was 9 Nipo Nasoma Afya Diploma But Napenda Sana Electronic So Far Kwa PC Naweza Solve Matatizo Mengi Including Chip Level YouTube + Google Ni Mwalimu Bora
 
Daah Safi sana afya hadi technician, matumizi mazuri ya internet nakujua unataka nini na kwa wakati gani na faida zake ni zipi..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom