Search results

  1. Mapico

    Vyama vya Upinzani tambueni kuwa malipo ni hapa hapa

    Habari zenu wakuu wa kazi mbali mbali Leo katika pita pita zangu nimegundua vyama vya upinzani vinavuna matunda kwa waliyoyapanda Asante Sana ushindi wa Magufuli umewatia Adabu umezifumba ndimi na midomo yao michafu hakuna wanchokijua zaidi ya matusi na kupinga kila hatua unazochukua kwa...
  2. Mapico

    Uchaguzi 2020 Aliyekuwepo hatumtaki na tunayemtaka hatumuamini

    Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona. Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo madarakani kwa kumsema vibaya na kumchafua kwenye siasa za kujinadi kuomba ridhaa kwa wapiga kura...
  3. Mapico

    Ujasiriamali wakati wa usiku Kigamboni Ferry ni kero

    Habari zenu wakuu poleni na majukumu ya kila siku. Imepita kama miezi 3 hapo nyuma tangu hii hali nianze kuiona aisee ukiwa unashuka na pantoni pale ferry kuanzia kituo cha juu kukata tiketi utakutana na watu wamefunga njia wanauza madafu na bidhaaa ndogo ndogo hamna shida kwa vile riziki ndiyo...
  4. Mapico

    Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    Habari zenu. Nianze na kuwapa pole na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na tuchukue hadhari na Coronale kwa kuzingatia kanuni za Afya. Leo nimemkumbuka sana rafiki yangu aliedumu kwa masaa 2 tu mwaka 2014 .Ila mpaka leo sijamuona tena, nilikuwa nasafiri ya kwenda Bagamoyo shamba via Mlandizi...
  5. Mapico

    Dunia ni mama

    Law of Attraction zina sema Ask Universe and universe will give you . .kupitia .frequency .Vibration .Energy We attract positive & negative through our thought. Budha say " every thing start in mind " Dunia ni mama. Inatupa malazi, makazi ,na inatutunza kupitia vilivyomo ndani yake. misitu...
  6. Mapico

    Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

    Habari za asubuhi mwanajamii. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais. Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea Rais alisimamishwa...
  7. Mapico

    Kwanini Ulichelewa kufanya Maamuzi?

    Habari za weekend Wakuu &wanajamii Nimeleta kwenu swali hilo tujifikiririshe kidogo Nakumbuka mambo mengi ambayo mpaka leo najiulizaga kwa nini nilichelewa kufanya maamuzi mpaka zile fursa zikanipita nakubaki kuwa kumbukukumbu na story tu. "2009 nilihitimu kidato cha nne wakati huo nafasi...
  8. Mapico

    Mnaoweka matuta rough Road Acheni Rohombaya

    Habari za jioni wanajamii Usiku huu wakati natoka katika majukumu yangu ya kila siku. nimekatiza katika moja ya barabara mitaa ya Mbagala rufu barabara ya kuelekea stendi nikiwa na Toyota Alphard aisee nimepita kwenye tuta mpaka nikajiuliza mnaoweka matuta mna akili timamu kweli? hivi...
  9. Mapico

    Alama hii ni lazima uikute

    Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii?
  10. Mapico

    Mke wangu anajifungua, mtoto nimpe jina gani?

    Mambo vipi wanajamii poleni na mvua za kuikaribisha pasaka . me ni mgeni Jukwaani lakini napenda kushare nanyi hili. Mke wangu ni mjamzito na mtoto atakayezaliwa natarajia Jinsia ya me na umebaki mwezi mmoja tu ajifungue. sasa sitaki majina ya kurithi wala ya kutokea upande mmoja wa mke...
Back
Top Bottom