Vyama vya Upinzani tambueni kuwa malipo ni hapa hapa

Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
556
1,270
Habari zenu wakuu wa kazi mbali mbali

Leo katika pita pita zangu nimegundua vyama vya upinzani vinavuna matunda kwa waliyoyapanda

Asante Sana ushindi wa Magufuli umewatia Adabu umezifumba ndimi na midomo yao michafu hakuna wanchokijua zaidi ya matusi na kupinga kila hatua unazochukua kwa maendeleo hakuna mahala watakusifia lakini sisi unaotufanyia tumekuamini tumekupa hiyo mitano tena hakika ulistahili ushindi wa kishindo

Angalia hii video kwa mara ya kwanza tangu Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania kuapishwa Dah upinzani mlianza kukosea toka mbali Sana huyu jamaa alinote hiki kitu kikaa moyoni akasema 2020 mtalia na kusaga meno.

 
Hujui lolote wewe kuhusu upinzani wa vyama vingi. Kuna namna nyingi za kuwakilisha kero kwa watawala na hii ni mojawapo na inakubalika kimataifa .

Alichofanya huyo unaemsifia kimemuaibisha yeye mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom