Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Mapico

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
570
Reaction score
1,319
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

Screenshot_20191018-080541.png

Screenshot_20191018-080535.png
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
 
Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Wewe kionambali nimekusifu upo makini na mwangalifu unatazama kwa 3D
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Hahahaaa nimecheka sana japo sio mambo ya kucheka, angewaka moto hapo wangesingizia Lissu huko marekani kaleta Mabeberu kumuua Rais.
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
Wewe ndio mpumbavu na kilaza kabisa, chini ya hatari ya kifo?? na hao walinzi wana kazi gani sasa au na wao ni bora liende wapate ulaji wao.
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Kawe mlinzi wake wewe, kujipendekeza tu na sifa zinakusumbua
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
Mkuu wewe Mwarabu Fighter nini? Isije ikawa umemlinda Rais wa Wasafi na we unajikuta unauujua vyema ulinzi wa Rais.
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Itakua yeye ndio alipenda akae chini ya hizo waya ili apate chaji
 
Hakuna Nchi Dunian ilishindwa Kundelea na Shughuli zake eti kisa Rais Kafa, ni kwamba Bendera itasimamishwa kwa muda nusu mlingoti alafu baadae wanapata kiongozi mwingine mambo yanasonga

Britannica
😕😕😕
 
Back
Top Bottom