Alama hii ni lazima uikute

Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
291
1,000
Alama hii ya "R" kwenye mduara imekuwa ipo kweye product yoyote utakayonunua . Je nini maana ya alama hii kutumika kila sehemu wanajamii?
1080316
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
35,116
2,000
Tukiwa tunawasubiri wajuzi.Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.
 

Mapico

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
291
1,000
Tukiwa tunawasubiri wajuzi.Kwa haraka Hiyo ina stands kwa bidhaa zote zinazozalishwa na watu(wafanyabiashara) wanaotambulika kisheria(Registered) juu ya shughuli zao.
kwa Tanzania je tunaitumia hiyo maana nyingi naona ni bidhaa za nnje tu
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
6,356
2,000
Hiyo inamaanisha jina lako la biashara limesajiriwa kisheria na mtu yeyote akilitumia then anakiuka sheria......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom