Search results

  1. Number ni 26

    Muda sio rafiki tena!

    Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuanza upya, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena! Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kurekebisha makosa yangu, lakini ndo hivyo muda si rafiki tena! Natamani muda ungerudi nyuma ili niweze kuisikia hii sauti ya sasa ndani yangu, lakini nagundua...
  2. Number ni 26

    Naomba tuwaheshimu sana wanawake

    Kwa kweli hawa watu inabidi tuwape tu maua yao ikibidi hata sanamu wachongewe tu! Imagine majukumu wanayobeba: Kutunza kiumbe tumboni Kulea familia (watoto na baba yao) Kuweka sawa mazingira ya nyumba Kutelekezewa watoto Wengine wananyanyaswa Kususiwa chakula Kukimbiwa nk.... Aisee mambo ni...
  3. Number ni 26

    Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Kwema wakuu, Kwa wale wapenzi wa burudani hasa music wa hapa home sweet home (bongo flavor) wa kizazi cha kati na cha sasa, utakubaliana na mimi kwamba katika collabo zilizowahi kutokea na kusumbua bongo kila kona, katika nyingi zikitajwa basi hizi haziwezi kukosa kwenye list; 1. Dhahabu ya...
  4. Number ni 26

    Muombe Mungu akusaidie mpaka unapouanza mwaka wa 50 uwe na uhakika wa kupata vitu hivi bila wasiwasi ili umalize salama uzee wako

    Once again leo tupeane hints kidogo kuhusu hatima ya maisha yetu. Katika maisha tunayoishi wanadamu hasa vijana, tunakutana na vipengele vingi kiasi kwamba mtu hadi anagonga 40 bricks ngoma bila bila. Mimi Number ni 26 na wewe kijana mwenzangu ambae upo kwenye 20's, 30's na kidogo wewe wa 40's...
  5. Number ni 26

    Hivi ile story kuhusu hiki kiumbe ni kweli? Je ndio hiki?

    Nawasalimu wakuu. Kuna hii habari ya muda mrefu miaka mingi kuhusu hiki kiumbe cha ajabu, ambapo mpaka leo jibu la uwepo wake ni utata. Ni kuhusu huyu samaki mtu (nguva) inasemekana yupo katika ulimwengu huu, ila yupo katika umbo gani hapo ndo mtihani kwa maana kila mtu atakupa jibu lake...
  6. Number ni 26

    Hii ndagu ya kaburi wazi ni kweli au?

    Heshima kwenu wakuu. Niende kwenye mada. Leo nilikuwa na jamaa yangu wa kitambo toka wadogo tunabadilishana mawazo kidogo, sasa katika story za kuhusu maisha tukafikia kwenye mambo ya mafanikio "utajiri" aliniambia vitu vya kushangaza na kutisha, nikasema nije niwaulize je ni kweli? Hii kitu...
  7. Number ni 26

    Karibuni Songea

    Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga. Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night. Songea pako...
  8. Number ni 26

    Hebu tuambie, Google history yako ina kipi cha kipekee

    Wakuu kwema, Niende kwenye mada. Ni usiku mnene nikiwa sina hata lepe la usingizi nikiwa natafakari mambo mawili matatu tunayopitia wana wa Adam. Sasa kama binadamu na mmiliki wa Dunia kijiji "smartphone" pale tunapotafakari kuhusiana na jambo, kitu au maisha kiujumla, wengi wetu huwa tuna...
  9. Number ni 26

    Wauzaji wa Pharmacy acheni kujazana humo Ndani, ipo siku mtasababisha tudhalilike

    Wakuu kwema, Niende kwenye mada. Aisee leo nimezunguka sana kwenye hizi pharmacy zetu za mtaani lengo tu nipate kununua kinga "zana" kwaajili ya shemeji yenu, lakini mpaka muda huu naandika huu uzi sijafanikiwa kununua nimeamua tu nirudi home. Issue hiko hivi, mimi na shemeji yenu tuna kawaida...
  10. Number ni 26

    Mambo haya 10 yatakusaidia kuishi kwa amani.

    Wakuu habari za wakati, nina imani tu wazima wa afya ila kwa wagonjwa Mungu awape tumaini. Leo Number ni 26 nimeona ni share nanyi kitu kidogo. Yafuatayo yatakusaidia wewe na mimi walau kidogo tukapunguza kuwa na "makasiriko" kati yetu na kufanya amani itawale:- 1. MUNGU. Kuna msemo...
  11. Number ni 26

    Yupo wapi Nyandu tozzy?

    Mitaa inakuaminia sana mwana unajua kuchana. Siku hizi watoto wadogo wanaleta dharau sana! Ngonjera zimekuwa nyingi, wanapewa tu "airtime". Fanya kweli muhuni urudi kwenye "mainstream".
  12. Number ni 26

    Furaha ya kweli ni nini?

    Another day! Another hustle!, naimani tu wazima wote. Ni siku nyingine tena tunashirikishana juu ya hiki kitu kinachoitwa "Furaha ya kweli" ni kitu gani!. Naimani kila mmoja ana tafsiri yake juu ya furaha ni kitu gani, yawezekana ukawa unafahamu furaha labda ni kuwa na gari zuri, nyumba, mali...
  13. Number ni 26

    Njia hizi zitakusaidia kupunguza kukosolewa mitandaoni

    Habari za wakati wakuu, naimani tu wazima na tumeianza weekend yetu vizuri. Leo ningependa tushirikishane jambo kwa wale ndugu zangu ambao huwa tunajisikia vibaya tunapokosolewa hasa pale unapo post maada au ku comment kitu mtandaoni. Imekuwa kawaida kuona mtu akipokea negative reaction pale...
  14. Number ni 26

    Jifunze na kutafakari haya pale nyakati zinapokuwa ngumu maishani

    Habari za jumapili wakuu, naimani wote tu wazima ila kama ni mgonjwa Mungu akupe nafuu katika ugonjwa wako. Leo napenda tujifunze na kutafakari machache juu ya maisha yetu pale nyakati zinapokuwa ngumu na huoni msaada mbele yako. Wengi wetu maisha yetu tunavyoishi ni Mungu mwenyewe ndio anajua...
Back
Top Bottom