Hivi ile story kuhusu hiki kiumbe ni kweli? Je ndio hiki?

Number ni 26

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
1,478
2,836
Nawasalimu wakuu.

Kuna hii habari ya muda mrefu miaka mingi kuhusu hiki kiumbe cha ajabu, ambapo mpaka leo jibu la uwepo wake ni utata.

Ni kuhusu huyu samaki mtu (nguva) inasemekana yupo katika ulimwengu huu, ila yupo katika umbo gani hapo ndo mtihani kwa maana kila mtu atakupa jibu lake.

Sasa kuna ile clip iliyo trend sana katika vichwa vya habari Duniani zaidi ya miaka 10 iliyopita. Video ikiwa imerekodiwa na watalii wakiwa pembezoni mwa fukwe ya bahari huko Kiryat Ya nchini Israel, waliona kiumbe cha ajabu kikiwa juu ya mawe. Katika hali ya kujiuliza ni nini kile ghafla kikawaona na kuishia kwenye maji.

Je, ndio huyo samaki mtu?

Bado habari ya samaki mtu itaendelea kuwa utata usioisha.

Nawasilisha.

nguva juu ya miamba.jpg
 
Walio bahatika kusoma na kupitia tablet za Sumerian na gods wao,wanajua mermaid Ni viumbe waliotengenezwa kwenye maabara za Anunnak hapo kale wakiwemo na bullman hayo yalikua Ni majaribio ya kumtengeneza super humanoid awasaidie kuchimba gold,
Angalieni kwenye michoro ya pyramids Kuna kiumbe Kama kichwa Cha Simba Ila kiwiliwili Cha mtu,hao Ni viumbe waliowahi exist hapo kale kabla ustaarabu wa Anunnak haujakoma baada ya great deluge,hao viumbe Kama mermaid wanahusishwa na lost Atlantis civilization,ustaarabu wa sayansi za Anunnak ambao Ni viumbe kutoka mbinguni according to mythology,

Mambo Ni mengi muda mchache kuelezea saga la Anunnak na sayans za cloning na manipulation!
 
Mkuu umeongea vitu vizito sana ! Hebu nyoosha maelezo vizuri
 
Historia ya maendeleo ya mwanadamu yalianza pale Anunnak viumbe kutoka sayari inayodaiwa kuitwa Nibiru miaka zaidi ya million moja iliyopita,
Kuna ushahidi wa kihistoria kuonesha maendeleo makabwa ya science na technology katika ulimwengu wa kale kuliko kawaida,maana kipindi humanoid tukiwa primitive kuna viumbe walikua wanaendesha maisha na mission kubwa ilikua Ni machimbo ya dhahabu
Katika Hali ya kushangaza Kuna sites zinaumri mkubwa kuliko miaka ya kuexist kwa mwanadamu wa Sasa yaani homosapiens,
Maandiko ya kale yanawataja viumbe waliokua miungu walioshuka na kuanzisha mankind development hao ndio Anunnak wanibiru waliotumia spaceships kufanya space travel walikua mpaka na base huko Mars
Kipindi NASA wanatuma chombo huko kupiga picha walishangaa kuona Pyramids na kichwa Cha Spnx Kama ilivyo kwa misri na sites nyingine Ila walikanusha,now wataaluma wanapima mabaki ya sites zilizojengwa kwa hesabu Kali wanakili Kuna viumbe nje ya sisi waliowahi exist hapa duniani na walikua na tech kubwa kutuzidi leo,hata kabila la Dogon,maya,wahindi wekundu,Indian na Chinese wanadai miungu hao ndio walioleta maarifa duniani!
 
THE STORY BOOK 📖
 
Back
Top Bottom