Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Kwa kweli hawa watu inabidi tuwape tu maua yao ikibidi hata sanamu wachongewe tu! Imagine majukumu wanayobeba:
- Kutunza kiumbe tumboni
- Kulea familia (watoto na baba yao)
- Kuweka sawa mazingira ya nyumba
- Kutelekezewa watoto
- Wengine wananyanyaswa
- Kususiwa chakula
- Kukimbiwa nk....