Search results

  1. M

    Mfumuko wa vyama vya kisiasa Tanzania.

    Habari zenu wana JF. Napenda kujua kama uwepo wa vyama lukuki vya kisiasa ni suluhisho la migogoro ya makundi ndani ya vyama vya kisiasa hapa nchini au ni uchu wa madaraka katika hawa wanasiasa nakujidai wanawapenda wanachi kumbe wizi mtupu?
  2. M

    Tukumbushane katika ahadi zetu za kisiasa.

    Habari zenu wana JF, leo nimeonelea tukumbushane katika ahadi za wanasiasa wetu, ikiwa siku za ahadi feki zimekaibia, moja ya ahadi ninayo ikumbuka mimi ni maisha bora kwa kila Mtanzania, mie naona tuwe makini na hizi ahadi tumuogope Mungu watanzania popote walipo wanajuta kwa kuiiamini hiyo...
  3. M

    Bank yenye riba nafuu

    Habari zenu wanna JF. Nahitaji Kujua benki inayo toa rib a nafuu nahitaji mkopo.
  4. M

    Wanawake wa Kihaya.

    Habari wanna jf. Wiki ilitopita nilienda bukoba kumtembelea jamaa yangu huko bukoba kilichonishangaza ni wanawake WA huko wengi wao wanatafta weupe kwa kujikoboa wary Hawaii ni washamba kumbe wakiwa ugenini wanaonekana kama wajanja .wanaowajua zaidi watueleze.
  5. M

    Napenda kujua hili jambo?

    Hapa Tanzania ni nchi gaani inayoongoza kwa kuwekeza?:A S-confused1:
  6. M

    Mwenye Hotuba nzima ya Prof.Shivji zidi ya Rasimu pale udsm

    habai zenu wanajamii naomba mwenye hotuba ya Prof. Shivji kuhusu rasimu ya katiba mpya iwe kwa maandishi ama yutube yake.
  7. M

    Ningekuwa Katibu wa Baraza la Mitihani Tanzania ningejiuzulu

    Habari zenu wanajamii. Jana serikali ya Tanzania ilitangaza kubatilisha matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, binafisi mimi naona kama nimiujiza fulani ambayo inanipa majibu yakuwa watendaji wetu bado hawako makini nakumejaa ubabaishaji. Kikawaida baraza la mitihani hufanya mchakato mzima...
  8. M

    CCM na harakati za kurejesha umaarufu uliopotea.

    Miaka ya hivi karibuni CCM imepoteza mvuto kwa wananchi, hata viongozi wake wanalitambua hilo,hii ni sawa na mtu yeyote anapopoteza umaarufu kuurejesha umaarufu inahitaji muda na kunagharama kubwa, chama hiki sasa kinapiga mbizi kwenye maji mafupi sijui kama kitajiokoa, kauli mbovu za viongozi...
  9. M

    walimu jiji la mwanza wanaonewa

    walimu ambao wanafika jiji kudai madai kama ,pesa ya uhamisho/mapunjo mbalimbali na mengine yanayo fanana na hayo wamekuwa wakisumbuliuwakweli. kikwazo kikubgwa ni wafanyakazi wa pale masijala maana majibu wanayo toa ni faili halionekaniau labda faili linashughulikiwa au wana weza hata...
  10. M

    somo la hisabati ni kikwazo kweli?

    nackitka sana ni napo ona wanafunzi wana feli somo la hisabati ivi tatzo ni kitu gan? au la bda kijana wangu tu ndo ana matatzo / kama kuna mwalimu mzuri
  11. M

    Unaposhikana mkono na mtu maarufu.

    Habari zenu wana JF, mara nyingi nimekuwa nikifikria na kutafakari juu ya imani na huruka hii yawanadamu si Africa, ulaya, marekani, na asia. Binafisi wanadamu kweli tumepewa karama tofauti tofauti hadi inafikia hatua wengine kuwa naumaarufu mkubwa zaidi ya watu wengine na hii ni katika nyanja...
  12. M

    Dr.Magufuli Bajeti yake kupongezwa nawabunge.

    Habari zenu wana JF Leo katika bunge, Dr Magufuli amewakilisha bajeti yake ambapo kila mbunge amepongeza bajeti yake pamoja na kwamba hotuba ya kambi ya upinzani kukosoa hapa na pale bado hata baadhi ya wabunge wa upinzani wamempongeza magufuli, kwangu mimi naona ccm wamuweke awe mgombea wa...
  13. M

    Chonde chonde Kina Mama.

    :sad: Habari zenu wana JF, Nimatumaini yangu, siku ya leo imeenda vyema , basi poleni kwa kazi za ujenzi wa taifa. Leo katika mizunguko yangu nikakutana na Rafiki yangu ambaye wakati wakujuliana hali akaniambia shemeji yako bwana amelazwa naamefanyiwa oppression amekuwa akisumbuliwa na maumivu...
  14. M

    Msaada jamani

    Habari zenu wana jf. Naomba msaada wa kubadilisha lugha kwenye komputa, nimeachiwa komputa na mkorea inasoma kikorea kila kitu nilikuwa nafanya naye kazi ofisini moja sasa yeye muda wake wakukaa nchini umeisha akaamua aniachie komputa yake,naamesha ondoka, nilimwambia anibadilishie naona mambo...
  15. M

    Hadithi za siku yawanake Duniani.

    Mwanamke ametoka kwa ubavu wa mwanaume hakutoka katika unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa, hakutoka katika kichwa cha mwanaume ajisifu eti yeye anakili sana, bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe tena ubavu wa kushoto ulio karibu na moyo ili apendwe ,aheshimiwe.Ila kwa kuwa ubavu...
  16. M

    siku ya wanawake na haki za kuoa au kuolewa

    Habari zenu wana Jf, ni hadithi na historia kila jamii huzipokea kutokana na wazazi na jamii watokayo, pamoja na kwamba tumekuwa katika mabadiliko ya kitamaduni kutokana na hiki kinacho itwa globalization na haki sawa kwa wote, LAKINI HILI LAKUDAI HAKI ZA WANAKE KUOLEWA NA WANAUME WENGI TUTAKUWA...
  17. M

    MPENZIO U MKUTAPO KACHANJWA CHALE NYINGI MGONGONI,KIFUANI,MAPAJANI,nk.

    Habari zenu wana JF Siku zote jambo hili limekuwa likinipa maswali mengi, pale niwaonapo dada zangu unakuta amechanjwa chale nyingi mwilini hasahasa wengi nakutana nao kwenye daladala, nimekuwa nikihisi kwamba hivi ni kinadada tu ndo wanapenda kuchanja chale? au tu kwa sababu wao wanaacha...
  18. M

    Hawa watu wako wapi? (waliosomea shule za Vipaji maalumu).

    Habari wa JF nimatumaini yangu mnafurahia wikiendi nzuri. Binafisi hoja yangu hapa nikutaka kujua hawa watu walio soma hizi shule za vipaji maalumu ziko nyingi pamoja na kwamba zinazidi kupungua umaarufu wake, je hao waliosomea kama watu wavipaji maalumu wako wapi? nawanafanya nini? nilitegemea...
  19. M

    Zanzibar wanatupa kampani ya kusheherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ?

    Habari zenu wana JF: Ndugu zangu mimi bado natatizwa na suala zima la muundo wa serikali yetu, mwaka huu tunasheherekea miaka 50 wa Tanganyika na siyo tanzania tena ambayo nayo huwa tuna sema miaka kazaa ya Muungano wa tanzania,vivyo hivyo kwa zanzibar huwatunasheherekea miaka kazaa ya mapinduzi...
Back
Top Bottom