walimu jiji la mwanza wanaonewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

walimu jiji la mwanza wanaonewa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtanganyika1, Oct 4, 2012.

 1. M

  Mtanganyika1 Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu ambao wanafika jiji kudai madai kama ,pesa ya uhamisho/mapunjo mbalimbali na mengine yanayo fanana na hayo wamekuwa wakisumbuliuwakweli. kikwazo kikubgwa ni wafanyakazi wa pale masijala maana majibu wanayo toa ni faili halionekaniau labda faili linashughulikiwa au wana weza hata wakachagua ofisi mojawapo na kusingzia et faili liko huko.

  watu hao kwa maoni yangu wamechoka kazi na mhusika awafukuze au awabadilishie kazi ,kama ina tokea wana poteza faili la mwalimu sasa kumbu kumbu zake zita toka wapi? matokeo myake mwl huyu kil;a siku ana anza kwenda jiji ili ahakikishe faili lake lina patikana ? jamani ivi ni walimu tu ndo wanafanyiwa hayo au hata idara zingine mambo ni hivyo na nini kifanyike kwa hao watu mishi wa masijara?
   
 2. m

  mtaftaukweli1 Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao wafanyakazi watimuliwe mara moja,wana aibishan jiji na kusumbua watumishi.

  tena ningekuwa j k ningeunda tume
   
 3. m

  mtaftaukweli1 Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  iv hao wahusika hawafahamu kweli kashifa hiyo?,sasa mkuu wao wa idara ina bidi achunguzwe. natamani mkurugenzi aniteue niwe walau afisa utumishi kwa siku moja tu ili nmsaidie kusafisha wafanyakazi mabwenyenye .hawafai hata kidogondo maana kila kukicha walimu wanapoteza ari ya kazi
   
 4. m

  mtaftaukweli1 Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera umeliona hilo na nilazma waache la sivyo........
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Tatizo la kitaifa
   
 6. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Poleni sana walimu,
   
 7. Tokez

  Tokez Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hivi kwanini kilasiku walimu ndio wanaoonewa nchi hii?
   
 8. M

  Mkulia JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Tatizo walimu hawana mtetezi. CWT kimekuwa sehemu ya chama siasa cha serikali na hakipo kwa ajili ya kutetea walimu. Walimu msipoungana na kudai haki zenu wenyewe mtaonewa mpaka mwisho wa daari. Kiitikio chenu cha SOLIDARITY 4EVER hakina maana!
   
 9. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Fanyeni maamuzi magumu ndugu zanguni, mtaendelea kuonewa hadi lini? Chukueni hatua sasa
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  na wanaonewa kabisa, kuna walimu wa GEITA ndo kiboko, hadi hii leo hawajalipwa pesa yao ya SENSA achilia mbali ya zile siku 7 zilizoongezeka. walimu wa tz bwana ha ha ha si waende hata mahakaman?
   
 11. mtumishidc

  mtumishidc JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 488
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kama mwajiri mwenyewe mwonevu na dhalili, hao watumishi masijara watakuaje?
  hakika ni tatizo la kitaifa maana mwajiri mkuu anawaona walimu kama wafanyakazi wa chini kabisa tena wasio hadhi wala uhalali wa kupata haki zao kwa wakati, hao wa masijara pia hujionea uvivu kubeba mafaili yasiyoshughulikiwa kila siku. kwa mfano mwalimu anadai toka mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka faili linazunguka tu mara nenda utumishi, mara rudi kwa afisa elimu ooh kesho nenda mishahara na wa mishahara watakwambia nenda kwa mkurugenzi hayo yote bila sababu za msingi na watu wa masijara wanajua hilo mwisho wa siku,watu wa masijara huamua hata kuficha faili maana inachosha hasa kwa walimu wafatiliaji na sababu nyingine ni kukithiri kwa virushwa kwenye ofisi ya masijara!
  faili halitaonekana mpaka "mtu ashikwe mkono"
   
Loading...