Search results

  1. na wewe

    Kuna wanawake wameubiwa ndoa na uvumilivu,ukweli anayejitolea kupenda yeye ndio hapedwi ila anajipendekeza

    Iko hivi,Jana nilileta uzi wa namna ya kumsaidia jirani yangu ambaye mmewe aliondoka bila kuaga.nashukuru Kwa walionishauri na nilifanya hivyo igawa siwezi sema hapa nilifanya nini maana msaada sio matagazo hiyo ni sadaka. Iko hivi,paomoja na kwamba hapa hatuna maisha ya ukaribu sana hasa Mimi...
  2. na wewe

    Unishauri:nimsaidie ili ale na watoto au nimuache asubili mme wake aje?

    Iko hivi na niende kwenye mada. Hapa nilipopanga kuna wapangaji wengine kama wawili hivyo tuko watatu Mmoja ambaye ni mpagaji mwezetu yeye anafamilia Kwa na hiyo familia ni watoto wawili na mmoja ndio Leo katimiza miezi minne na mmoja ni kama anamiaka mitano hivi Sasa kisa kiko hivi,Leo asubuhi...
  3. na wewe

    Wapinzani mtambue ,Yanayoendelea hivi sasa kisias ni kawaida sana kwenye soko la siasa na biashara na maisha kwa ujumla

    Nilimsikia mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akiuliza kuwa,"MTU anajianadi kajenga reli, Kajenga barabara Kanunua ndege Anapedwa...n.k Sasa iweje aogope uchanguzi. Kwanza Kwa sehem Yangu ninamshangaa Mbowe Kwa sababu yeye anatokea maeneo ambayo Kwa Tanzania ndio tunaamini ni maeneo ambayo...
  4. na wewe

    Sitashangaa muda mfupi ujao kuona wangombea wa upinzani kupingana na maamuzi ya kamati kuu zao

    Kuna watu wanaamini siasa ni mchezo mchafu,lakini pia wakati huo huo kuna watu wanaamini siasa ni sayansi ya hali ya juu sana..maana pale unapotumia Maneno tu ili mtu akuelewe na afanye maamuzi ya kuacha kazi zote siku hiyo ili akupigie wewe kura na huku anajua kabisa yeye hata pata chochote...
  5. na wewe

    Vyama vya upinzani, tumieni fursa hii kudai tume huru ya uchaguzi maana ndio penalt yenu ya mwisho kwa awamu hii

    Za muda huu wadau. Niende kwenye mada moja Kwa moja. Kwa mda mrefu sasa vyama vya upinzani vimetupa sintofahamu ya Kwa nini awamu hii pamoja na kuonekana kuonewa sana ila haijawekeza nguvu kubwa kudai tume huru ya uchanguzi hali wafuasi na wanachana wao mtaani wamejitahidi kusisitiza na...
  6. na wewe

    Rafiki yangu anasomesha mchumba wake,ingawa mchugaji alishamwambia "mchumba hasomeshwi"

    Za mda huu hapo ulipo.. Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana. Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa dadaz. Hiyo ni kwa sababu kila mwanamke aliyekuwa anataka kumchumbia au kuoa alikuwa anamtolea nje...
  7. na wewe

    Swali: Hivi mke au mume wa mtu ni nani hasa?

    Za mda huu wadau, Tukiacha wale ambao wapo kwenye ndoa, nieleze msingi wa swali langu ili wadau muweze kutusaidia wale tusiojua maana ya mume au mke wa mtu. Iko hivi, watu wengi hasa na mimi huwa tunasema kuwa, "Mimi siwezi tembea na mume au mke wa mtu" lakini katika mazingira fulani fulani...
  8. na wewe

    Wa kuchat naye hasa jinsia ya kike

    Za mda huu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Hivyo RAFIKI wa kuchat naye na kubadilisha mawazo pale nafasi inapoatikana, Ni vizuri asiwe mtu wa mambo mengi na atoe ushirikiano mzuri. Ikitokea ikafikia kuonana itakuwa na jambo jema maana ndio itakuwa ni ukomavu wa mahusiano ya kirafiki...
  9. na wewe

    Nahitaji kujua ni chuo gani kinatoa kozi ya Graphics inayojitegemea

    Za muda huu wadau, Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa anayejua chuo ambacho kinatoa kozi za Graphics kwa mfumo wa kozi pekee au kwa mfumo wa short course naomba aniambie. Kama itawezekana aniambie na gharama zake. Maeneo yoyote ila zaidi iwe Mwanza.
  10. na wewe

    Bubu ni watu makini sana kwenye usimamizi wa kazi

    Za muda huu usomapo huu ujumbe au Uzi. Niende kwenye mada moja kwa moja. Katika siku chache zilizopita tuliamua kuzunguka hapa mjini Mwanza mimi na marafiki zangu ambao hawakai Mwanza. Baada ya kufurahia mazingira ya rock beach pale tuliamua kuvuka kwenda Kamanga na kurudi, nia ilikuwa wale...
  11. na wewe

    Hivi ni kweli machinga Mwanza mwisho mwezi wa sita mwaka huu?

    Za mda huu wadau wa hapa. Leo nikiwa sehem na baadhi ya watu tunapiga story.mtu mmoja akasema ni kama amesikia tangazo kuwa machinga Mwanza mwisho ni mwezi wa sita maana serikali ina mpango wa kuanza kupanga mji inavyotaka. Tafadhari mwenye uelewa zaidi atuambie kuthibitisha. Wa sukumaland
  12. na wewe

    WANANDOA NI WANAFIKI SANA WAKIWA MBELE YA JAMII,SIJAPATA KUONA.

    Kuna hatua ambayo watu wengi ni lazima tuipitie kwa namna moja au nyingine katika maisha yetu ya hapa duniani. Hatua hii huonekana mbele ya jamii ni kama hatua yenye furaha sana na upendo pamoja na kujaliana katika hali zote. Lakini zaidi imekuwa ni hatua ya watu kuendelea kimaisha kwa maana ya...
  13. na wewe

    Nimeingia ukweni bila kivua viatu, ni vibaya?

    Za jioni wadau wa hapa. Leo nimemsindikiza rafiki yangu kuja kujitambulisha kwa mara ya kwanza. Kwa lengo la kutaka kuoa. Hivyo kwa vile tulikuwa wachache na mimi huwa sipendi kuvua viatu mara kwa mara. Tulipofika mlangoni nikaona niulize swali la kichokozi kwa mwenyeji wetu aliyetupokea...
  14. na wewe

    Unauonaje mwaka 2019 kwa macho ya ndani/rohoni

    Hodi hapa jamii forum. Ikiwa bado tuna siku nne toka mwaka 2019 uanze. Kwa sehemu yako wewe ukiangalia mipango na mawazo yako, unauona ukiwa na matokeo gani kwako hadi uishe. Mfano unaweza ona kabisa mwaka huu kwako unaweza kuwa na neema au balaa au kawaida kulingana na mipango na matarajio...
Back
Top Bottom