Rafiki yangu anasomesha mchumba wake,ingawa mchugaji alishamwambia "mchumba hasomeshwi"

na wewe

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
231
397
Za mda huu hapo ulipo..
Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana.

Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa dadaz. Hiyo ni kwa sababu kila mwanamke aliyekuwa anataka kumchumbia au kuoa alikuwa anamtolea nje, mchungaji wetu amejitahidi sana kumkutanisha na dadaz wengi sana Wa pale kanisani lakini hakufanikiwa.ilifikia hatua hadi mchungaji akamwambia sasa jitafutie na ukipata Wa kukubali basi niambie na Mimi nitakutolea mahali na kukupa zawadi kubwa(sitaitaja igawa inajulikana)

Hivyo rafiki Yangu katika pitapita zake kuna dada akamuelewa hivyo taarifa zikafika kwa mchungaji na wakajitabulisha kiofisi na sio kanisani.. Sasa changamoto ikiwa binti ndio kamaliza form six na amechaguliwa chuo kwa level ya diploma.. Na mchumba kakomaa kuwa lazima akasome huku mambo mengine yakiendelea.

Katikati ya mahusiano jamaa alipata tuseme muujiza Wa kupata pesa za pamoja kama milioni mbili na sehem. Hivyo Mchugaji kwa haraka sana akamwambia kuwa, najua mchumba wako anaenda chuo na usipoangalia hii pesa uliyoipata itabidi nikubane ili ununue kitu cha kukuingizia kipato kabla ya chochote...mwisho akamwambia,tambua na uweke akilini kuwa mchumba hasomeshwi.

Kweli mchungaji akamsimamia jamaa akaanza mradi huo...
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo...

Jamaa ninavyofahamu ni dhaifu sana kwa wanawake maana nakumbuka alishawahi kuja kwangu kutaka kukopa pesa ili amnunulie mwanamke kitenge alichokita.kwa vile sikuwa na pesa ilibidi auze debe LA mahidi ya ndani ambayo alitumiwa na mzazi mwezie kwa ajili ya Mtoto(jamàa anaishi na mwanae)

Nawaza kwa peak aliyopo sasa kwa huyo mpz wake sio rahisi kumshauri kitu..lakini wakati huo huo principal inakataa kumsomesha mchumba hapo ndio nimebaki kuduwaa tu na kuomba Mungu ampe moyo mkuu hapo baadae
Maana sina uhakika kama mchumba ataweza kuhili kuishi na mtu ambaye ni darasa LA sana saba hali yeye ni diploma ya sayansi.ingawa yote yanawezekana
 
Mahusiano hayana fomula..wengine tulio wasomesha ndio tumeoa na sahvi tunakula matunda ya ndoa na familia.

Chamsingi asiendekeze mapenzi airuhusu akili ifanye kazi yake...ili kujua yupo direction gani.

#MaendeleoHayanaChama.
 
Siku sio nyingi utatuletea uzi mwingine kuwa rafiki yako amejaribu kujiua au amejiua.
Yaani hapa namfatilia kwa karibu sana maana kwa udhoefu wangu sioni hapo naamimi thamani ya mwanamke itapada sana halafu jamaa ndio hivyo maisha yetu ya darasa LA saba failier
 
Mahusiano hayana fomula..wengine tulio wasomesha ndio tumeoa na sahvi tunakula matunda ya ndoa na familia.

Chamsingi asiendekeze mapenzi airuhusu akili ifanye kazi yake...ili kujua yupo direction gani.

#MaendeleoHayanaChama.
Ndio maana mwisho nimetoa maoni yasiyofungamana na matokeo yoyote
 
Za mda huu hapo ulipo..
Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana.

Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa dadaz. Hiyo ni kwa sababu kila mwanamke aliyekuwa anataka kumchumbia au kuoa alikuwa anamtolea nje, mchungaji wetu amejitahidi sana kumkutanisha na dadaz wengi sana Wa pale kanisani lakini hakufanikiwa.ilifikia hatua hadi mchungaji akamwambia sasa jitafutie na ukipata Wa kukubali basi niambie na Mimi nitakutolea mahali na kukupa zawadi kubwa(sitaitaja igawa inajulikana)

Hivyo rafiki Yangu katika pitapita zake kuna dada akamuelewa hivyo taarifa zikafika kwa mchungaji na wakajitabulisha kiofisi na sio kanisani.. Sasa changamoto ikiwa binti ndio kamaliza form six na amechaguliwa chuo kwa level ya diploma.. Na mchumba kakomaa kuwa lazima akasome huku mambo mengine yakiendelea.

Katikati ya mahusiano jamaa alipata tuseme muujiza Wa kupata pesa za pamoja kama milioni mbili na sehem. Hivyo Mchugaji kwa haraka sana akamwambia kuwa, najua mchumba wako anaenda chuo na usipoangalia hii pesa uliyoipata itabidi nikubane ili ununue kitu cha kukuingizia kipato kabla ya chochote...mwisho akamwambia,tambua na uweke akilini kuwa mchumba hasomeshwi.

Kweli mchungaji akamsimamia jamaa akaanza mradi huo...
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo...

Jamaa ninavyofahamu ni dhaifu sana kwa wanawake maana nakumbuka alishawahi kuja kwangu kutaka kukopa pesa ili amnunulie mwanamke kitenge alichokita.kwa vile sikuwa na pesa ilibidi auze debe LA mahidi ya ndani ambayo alitumiwa na mzazi mwezie kwa ajili ya Mtoto(jamàa anaishi na mwanae)

Nawaza kwa peak aliyopo sasa kwa huyo mpz wake sio rahisi kumshauri kitu..lakini wakati huo huo principal inakataa kumsomesha mchumba hapo ndio nimebaki kuduwaa tu na kuomba Mungu ampe moyo mkuu hapo baadae
Maana sina uhakika kama mchumba ataweza kuhili kuishi na mtu ambaye ni darasa LA sana saba hali yeye ni diploma ya sayansi.ingawa yote yanawezekana

Kama unampenda rafiki yako, nae anaamini huyo ni mchumba wake, mwambie afanye afanyavyo ampe mimba, akizaa aendelee na masomo na jamaa aendelee kumsaidia huku wakilea mtoto.
 
Mimi nafikiri wewe ndo una shida, unaona kama huyo demu anachukuwa nafasi yako na kwamba unahisi kumpoteza rafiki yako, imeshanitokea mara nyingi nakutana na demu kila kitu kiko sawa rafiki wake anagoma na hata anatishia kuvunja urafiki, lkn kiini cha yote ni wivu.

Hivyo kuwa Mwanaume na kama ni rafiki wa kweli utaheshimu uamuzi wake unaweza mshauri lkn siyo sawa kumlazimisha na kuanza kumsema kwa watu vibaya kuhusu demu wake, mademu hufanya hivyo lkn wewe kama Mwanaume haupaswi kuingilia hivyo uamuzi wa Mwanaume mwenzako, isitoshe wapo Wanaume waliowasaidia wachumba zao na leo hii wanafuraha ya maisha, maisha hayana formula.
 
Hadi sasa hata Mimi naona jamaa anapedwa tena anapedwa sana, na jamaa hakutaka hata kumla kabla ya ndoa ila dem ndio akamwambia lazima amle ili akili ikae sawa.
Tahadhari ni kuwa pale Shemeji Yangu akibadilisha gia angani sijui jamaa itakuwaje maana jamaa yangu ni kati ya watu ambao mahusiano yanawachukulia sana nafasi
 
Hakuna kitu amabcho Mimi naathrika kwa rafiki yangu kuwa na MTU yeyote maana hakuna kazi zinazotuunganisha pamoja zaidi ya urafiki na zaidi huenda Mimi ndio naingia gharama zaidi maana sio rahisi jamaa awe hana kitu akanililia nikaacha kumsapoti na isitoshe yeye ndio mhitaji zaidi kwangu kuliko Mimi kuwa mhitaji kwake.
Ni kati ya watu ambao wao huwa nawaagiza kazi na kupeleka mzigo Wa biashara
Mimi nafikiri wewe ndo una shida, unaona kama huyo demu anachukuwa nafasi yako na kwamba unahisi kumpoteza rafiki yako, imeshanitokea mara nyingi nakutana na demu kila kitu kiko sawa rafiki wake anagoma na hata anatishia kuvunja urafiki, lkn kiini cha yote ni wivu.

Hivyo kuwa Mwanaume na kama ni rafiki wa kweli utaheshimu uamuzi wake unaweza mshauri lkn siyo sawa kumlazimisha na kuanza kumsema kwa watu vibaya kuhusu demu wake, mademu hufanya hivyo lkn wewe kama Mwanaume haupaswi kuingilia hivyo uamuzi wa Mwanaume mwenzako, isitoshe wapo Wanaume waliowasaidia wachumba zao na leo hii wanafuraha ya maisha, maisha hayana formula.
 
Kwa sasa bado hatujampiteza na hakuna dalili kama hizo kiukweli ila tahadhari muhimu maana hata mchungaji maisha sema mchumba hasomeshwi ila jamaa pezi liko juu balaa hapo wapambe ni kukaa pembeni tu na kuwa watazamaji ili kulinda urafiki wetu tu
Huyo tushampoteza
 
Za mda huu hapo ulipo..
Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana.

Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa dadaz. Hiyo ni kwa sababu kila mwanamke aliyekuwa anataka kumchumbia au kuoa alikuwa anamtolea nje, mchungaji wetu amejitahidi sana kumkutanisha na dadaz wengi sana Wa pale kanisani lakini hakufanikiwa.ilifikia hatua hadi mchungaji akamwambia sasa jitafutie na ukipata Wa kukubali basi niambie na Mimi nitakutolea mahali na kukupa zawadi kubwa(sitaitaja igawa inajulikana)

Hivyo rafiki Yangu katika pitapita zake kuna dada akamuelewa hivyo taarifa zikafika kwa mchungaji na wakajitabulisha kiofisi na sio kanisani.. Sasa changamoto ikiwa binti ndio kamaliza form six na amechaguliwa chuo kwa level ya diploma.. Na mchumba kakomaa kuwa lazima akasome huku mambo mengine yakiendelea.

Katikati ya mahusiano jamaa alipata tuseme muujiza Wa kupata pesa za pamoja kama milioni mbili na sehem. Hivyo Mchugaji kwa haraka sana akamwambia kuwa, najua mchumba wako anaenda chuo na usipoangalia hii pesa uliyoipata itabidi nikubane ili ununue kitu cha kukuingizia kipato kabla ya chochote...mwisho akamwambia,tambua na uweke akilini kuwa mchumba hasomeshwi.

Kweli mchungaji akamsimamia jamaa akaanza mradi huo...
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo...

Jamaa ninavyofahamu ni dhaifu sana kwa wanawake maana nakumbuka alishawahi kuja kwangu kutaka kukopa pesa ili amnunulie mwanamke kitenge alichokita.kwa vile sikuwa na pesa ilibidi auze debe LA mahidi ya ndani ambayo alitumiwa na mzazi mwezie kwa ajili ya Mtoto(jamàa anaishi na mwanae)

Nawaza kwa peak aliyopo sasa kwa huyo mpz wake sio rahisi kumshauri kitu..lakini wakati huo huo principal inakataa kumsomesha mchumba hapo ndio nimebaki kuduwaa tu na kuomba Mungu ampe moyo mkuu hapo baadae
Maana sina uhakika kama mchumba ataweza kuhili kuishi na mtu ambaye ni darasa LA sana saba hali yeye ni diploma ya sayansi.ingawa yote yanawezekana
Kama kaamua kumsomesha basi ajiandae kisaikolojia yatayomkuta baadae
 
Yaani hapa namfatilia kwa karibu sana maana kwa udhoefu wangu sioni hapo naamimi thamani ya mwanamke itapada sana halafu jamaa ndio hivyo maisha yetu ya darasa LA saba failier
Kwahiyo jamaa yako ni la saba???? Mwambie ajitafakari, mwanamke kuishi na mwanaume ambae kamzidi kielimu (mwanamke elimu kubwa) inakuwaga ngumu mnoooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom