Nahitaji kujua ni chuo gani kinatoa kozi ya Graphics inayojitegemea

na wewe

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
233
500
Za muda huu wadau,

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa anayejua chuo ambacho kinatoa kozi za Graphics kwa mfumo wa kozi pekee au kwa mfumo wa short course naomba aniambie. Kama itawezekana aniambie na gharama zake.
Maeneo yoyote ila zaidi iwe Mwanza.
 
RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
332
250
PCTL training Institute ipo dar es salaam maeneo ya kisutu graphic design basic ni 400,000 unasoma Adobe photoshop, illustrator na indesign miezi miwili
 
Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
2,806
2,000
Mkuu nikuulize Kwanza Una ABC's za Adobe Creative Cloud au Graphics kwa ujumla? au ndio unategemea Chuo kikutoe tongotongo? kama unategemea Chuo basi Nikwambie Pole if the answer is Vice Versa then go on na Kusaka Chuo...

Graphics kibongo bongo Chuo wanafataga Cheti tu mkuu ukitegemea chuo kikusaidie utaambulia 0.005% ni bora ukapambana mwenyewe na Online studies kuna vitabu vingi sana vitakusaidia kwa kuanza do this ingia You tube kuna hawa watu

1. Satori (Mkali wa Adobe Illustator Ai)

2.Dansky (Mkali wa Adobe Illustator Ai)

3.Unmesh Dinda ( The Man is Deadly Bad in Adobe Photoshop) You tube channel yake inaitwa (Pixel imperfect)

Hata kama unataka kwenda Chuo Basi pambana sana kitaa
Za muda huu wadau,

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa anayejua chuo ambacho kinatoa kozi za Graphics kwa mfumo wa kozi pekee au kwa mfumo wa short course naomba aniambie. Kama itawezekana aniambie na gharama zake.
Maeneo yoyote ila zaidi iwe Mwanza.
 
na wewe

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
233
500
Mkuu nikuulize Kwanza Una ABC's za Adobe Creative Cloud au Graphics kwa ujumla? au ndio unategemea Chuo kikutoe tongotongo? kama unategemea Chuo basi Nikwambie Pole if the answer is Vice Versa then go on na Kusaka Chuo...

Graphics kibongo bongo Chuo wanafataga Cheti tu mkuu ukitegemea chuo kikusaidie utaambulia 0.005% ni bora ukapambana mwenyewe na Online studies kuna vitabu vingi sana vitakusaidia kwa kuanza do this ingia You tube kuna hawa watu

1. Satori (Mkali wa Adobe Illustator Ai)

2.Dansky (Mkali wa Adobe Illustator Ai)

3.Unmesh Dinda ( The Man is Deadly Bad in Adobe Photoshop) You tube channel yake inaitwa (Pixel imperfect)

Hata kama unataka kwenda Chuo Basi pambana sana kitaa
Okay asante
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom