Search results

  1. Wi-Fi

    Aljazeera: Opposition MP Tundu Lissu wounded by gunmen

    A prominent opposition member of parliament in Tanzania has been shot and "seriously wounded" by unknown attackers at his residence in the administrative capital, Dodoma, according to officials. Tundu Lissu, 49, underwent emergency surgery after being shot in the abdomen on Thursday. James...
  2. Wi-Fi

    Bajeti ya mwisho wa mwaka (Year-end budget)

    Habari za wikendi wanajukwaa.. Niko hapa na kidaftari changu pamoja na kikokoteo (calculator) najaribu kuorodhesha mahesabu naona maji yameshazidi unga.. Ngoja tu nikoroge uji ninywe
  3. Wi-Fi

    Bentley Mulsanne 2013 ndani ya Tanzania

    Inamilikiwa na SANYAY SUCHAK ambaye ni Managing Director wa African Risk & Insurance Services Ltd (ARIS) - Tanzania Inasemekana ni gari la thamani zaidi East and Central Africa, Gari hili mpaka limetua Bandari ya Dar-es-salaam lilikua limefikia around 1billion!!!
  4. Wi-Fi

    Does everthing happen for specific reason?????

    It's my great honor to come before you, I trust you are doing brilliant this day.. Wana JF, ninapenda ku-share na nyinyi hili swala ambalo nimekuwa nikiliwaza wiki hii kwamba katika aspects zote za maisha ya binadamu lazima kuna vitu ambavyo tunakumbana navyo kwa pande zote mbili i.e postive...
  5. Wi-Fi

    Hivi ndivyo mwanafunzi wa form 4 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili!

    Swali: Eleza hatua za kuandaa MDAHALO. Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi...... 1.Unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri 2.Hakikisha Mdahalo wako haujakomaa 3.Bandika sufuria yako jikoni 4.Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika kumi na tano 5.Mdahalo wako...
  6. Wi-Fi

    Guinness World Records!!

    Most tattooed person.. Scarification.. COSMETIC SURGERY Most cosmetic surgeries is Cindy Jackson (USA), who has had 47 cosmetic procedures, including nine full-scale surgical operations, since 1988. CORSETTING Cathie Jung (USA), proud owner of the smallest waist on a living person – 15 in...
  7. Wi-Fi

    Tips on how to prevent mobile phone tracking

    1. Choose "E911" in the "location" menu on your phone. On some phones you may need to enable privacy mode instead. These settings will allow GPS tracking only in response to a 911 call, which is required by law. Menus are different on all phones so you may need to consult the owner's manual...
  8. Wi-Fi

    FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

    Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT. Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.
  9. Wi-Fi

    Je, unamkumbuka huyu???

    Say NO to drugs! wandugu unamkumbuka huyu enzi akiwa bwana mdogo?! Kwenye muvi ya Home Alone?!!! Macaulay Culkin. He wasted everything because of drugs. He was arrested for consuming excess drugs in Oklahoma City for the possession of 17.3g of marijuana and two controlled substances, 16.5...
  10. Wi-Fi

    Je, wewe ni mlevi????

    Hiki ni kipimo kujitambua kama wewe ni mlevi au sio, hii picha imeganda, ukiona inachezacheza jua wewe ni mlevi. Nimeweka bure japo hospitali mnalipia..
  11. Wi-Fi

    Tears of Joy..

    Hello Chit-chatters.. Napenda ku-share japo kwa kifupi sana siku ya kwanza kulia kwa furaha.. Kitambo nilipokua fomu tuu kuna binti nilimpenda sana na nikawa namtengenezea mazingira takriban mwaka mzima! Siku ikafika nikasema kesho "liwalo Na liwe" napiga saundi (namtokea).. Jioni ikawa...
  12. Wi-Fi

    Kumbe Rick Ross...

    Inasemekana RICK ROSS ni mtanzania tena mnyakyusa kazaliwa mbeya na jina lake halisi ni ERICK MWAIROSSI baada ya kukimbilia marekani ndio akajiita RICK ROSS: Mchek hapo:
  13. Wi-Fi

    samsung galaxy mini.. (fake)

    Wakuu nawezaje ku-spot fake samsung galaxy mini? kesho kuna jamaa angu anataka kunuuzia sasa nimeona sio mbaya kupata hints kama naweza kutambua kwa haraka kama ni fake au lah! nimejaribu kugoogle lakini zijapata useful points! Thanks to all JF IT team.
  14. Wi-Fi

    Maisha plus! On tbc1

    Habari wana JF, Binafsi kabisa napenda sana ichi kipindi cha Maisha plus (Masoud Kipanya) akiwa kama founder wa kipindi hichi. Napenda sana hatua hii ya usahili (interview) kwa kweli najifunza kwamba watanzania wengi tunakosa maarifa ya vitu vidogovidogo na pia hatuna ujasiri kabisa wa...
  15. Wi-Fi

    Tupia jipya hapa!

    Hii ni kutokana na majinya mapya ya CCM zanavoibuka kila siku: -Chama chakavu cha mabwepande -....... -.......
  16. Wi-Fi

    Ivi wanawake...!

    Hi to all, kwa kufupisha: ivi wanawake jamani mnataka wanaume tuweje/tuwafanyie nini ili muweze kuamini mnapendwa kweli?? kwa wanawake na wanaume wenye kujua siri ya mafanikio..welcome,
  17. Wi-Fi

    Free overnight airtel internet!

    (kwa wale wasiojua) ...Is back on track ila kwa sasa nikuanzia saa6 usiku.. enjoy:wink2:
  18. Wi-Fi

    Obama vs. Osama on facebook!!

    Obama update his facebook status LADEN IS KILLED, JUSTICE HAS BEEN DONE, after some time he get notification OSAMA BIN LADEN LIKES YOUR STATUS.:biggrin:
  19. Wi-Fi

    WALE WA INTERNET VIA AIRTEL AT 23h00..

    Kwa wale wa MB 200 za bure kutoka airtel internet kwa sasa ile offer imerudi! Cheers:poa
  20. Wi-Fi

    ANY IDEA, Please

    wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx
Back
Top Bottom