Kumbe Rick Ross...

Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,378
Inasemekana RICK ROSS ni mtanzania tena mnyakyusa kazaliwa mbeya na jina lake halisi ni ERICK MWAIROSSI baada ya kukimbilia marekani ndio akajiita RICK ROSS:

Mchek hapo:
384549_536854299665166_1902837801_n.jpg
 
Ummenye malafyale Rick Ross? ... Mh Mbombo jilipo malafyale..

Mkuu Mtambuzi, bila shaka wewe ni mwenyeji wa mbeya.. kwa kutizama iyo picha kwa nguvu, huo unaweza kuwa mtaa gani??
 
Last edited by a moderator:
Manyakyusa yamechukua advantage ya sredi hapa ndugu watazamaji......l.o.l
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom