Hiki ni kipimo kujitambua kama wewe ni mlevi au sio, hii picha imeganda, ukiona inachezacheza jua wewe ni mlevi. Nimeweka bure japo hospitali mnalipia..
View attachment 67936
kuna sehemu muhimu sana umeisahau mwenge, unyankindi, Sabasaba, Ginali, Bomani.Wi-Fi, karibu Singida tupige Mtukuru na kachasu maeneo ya utemini, unyankindi, majengo, kibaoni, mitunduruni n.k. kwangu naona inacheza hadi napata kizunguzungu.
Wi-Fi, karibu Singida tupige Mtukuru na kachasu maeneo ya utemini, unyankindi, majengo, kibaoni, mitunduruni n.k. kwangu naona inacheza hadi napata kizunguzungu.
Haya bana Jovena, Njuki, na mnada wa njia panda kesho jmosi. Mnyampaa uliii?kuna sehemu muhimu sana umeisahau mwenge, unyankindi, Sabasaba, Ginali, Bomani.
Haya bana Jovena, Njuki, na mnada wa njia panda kesho jmosi. Mnyampaa uliii? madoo kama kawa.kuna sehemu muhimu sana umeisahau mwenge, unyankindi, Sabasaba, Ginali, Bomani.
Haya bana Jovena, Njuki, na mnada wa njia panda kesho jmosi. Mnyampaa uliii? madoo kama kawa.
.......ha ha ha ha ha!!tuko wengi mkuu!Acha kuzingua wewe, mm siijui ladha ya pombe lakini naiona inacheza cheza
Kipimo chako cha kichina mkuu,hapa nilipo ni Ijumaa na ninazo kama saba tayari kichwani(ze lagaz) na ninautwika kila siku lakini hiyo picha yako sijaiona ikicheza wala kukata kiuno imeganda tu..
Mh Inawezekana kama mdau mmoja hapo juu anasema haichezi na hapohapo anapiga larger.. mimi naona pia haichezi na sipigi larger hapo vipi?