samsung galaxy mini.. (fake) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

samsung galaxy mini.. (fake)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Wi-Fi, Oct 4, 2012.

 1. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Wakuu nawezaje ku-spot fake samsung galaxy mini?
  kesho kuna jamaa angu anataka kunuuzia sasa nimeona sio mbaya kupata hints kama naweza kutambua kwa haraka kama ni fake au lah!

  nimejaribu kugoogle lakini zijapata useful points!
  Thanks to all JF IT team.

  samsung-galaxy-mini-s5570.jpg
   
 2. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  touch yake ipo fresh sana,ingia google play ujaribu kudownload app yoyote lazima kuwe na apps nyingi sana,internal memory ni around 180MB...wadau wengine wataongezea...
   
 3. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mh! Soma specs zake af compare! V2 muhmu kugundua kama n fake n kama camera, then touch yake ni capacitive.pia ukiingia kudownload appz kama opera ktka homepage yao huwa wana detect aina ya simu. Ila ktka androids huwa wanaandka jna la os pekee bila model. I hope umenipata
   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Thanks, niliangalia iko na apps nyingi tu, memory ntachek kesho.. sema niliona kama ni nyepesi sana icho ndio kilinipa wasiwas
   
 5. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  nimekupata kiongozi, hapo kwenye camera kwamba inakuaje? Hivi Samsung hawana mambo ya IMEI no. kutambua genuine phones?
   
 6. A

  Abdson Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliishaitumia ipo fresh kamera ya 3.15MP,Inatoa picha clear sana,Nadhani unazungumzia G5570 galaxy mini,Original ni original tu,hata ukiiona utagundua tu,Sijui unazungumzia fake zipi,hakuna fake zaidi ya zile za kichina.Thanks
   
 7. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ni nyepesi kweli mkuu specs nyingine naona wadau wanaendelea kukwambia ila sijajua kama kuna mchina...cheki pia settings then nenda hadi chini utaona about phone then soma android version...
   
 8. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  n nyepes hvo hvo
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  michina yake ipo. Ila utaigundua tu. N lain 2, af haina capacitive touch. Pia ukija ndan haina google maps, latitude. Na kamera yake ni mbaya sanaa. Na ukienda kwenye storage lazma utakuta juu phone chni memo. Kwenye 4n utakuta 50 kb. Hapo ndo utamjua mchina
   
 10. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Thanks all, pamoja
   
Loading...