Search results

  1. ntamaholo

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Hii hali ya hewa ni safi kwa maandamano
  2. ntamaholo

    Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

    Huu uongo unakusaidia nini? Tangu saa 05:00hrs mvua inapiga. Route zote mahudhurio ni hafifu, na bado kuna dalili za mvua kunyesha muda wowote. Hivi ujaze watu usiweke picha?
  3. ntamaholo

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Embu ona ulivyobadilishwa. Yaani unaitwa Fabian Vitus. Hayo majina siyo ya Africa ni namna ya kukana asili yako ili usiitwe mhamiaji
  4. ntamaholo

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Kama sehemu ya bantu migration ni sawa lakini kama kuondoleana na kunyosheana vidole hapana. Nilikimbia kutoka wapi? Mie ni wa hapahapa
  5. ntamaholo

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Hoja yangu kwenye hili, tunapoimarisha Jumuiya ya Africa mashariki, haya mambo yakomeshwe. Free movement of goods, service and people ziachiwe. Kenya sasa ni Visa free Nation. Nchi wanachama zijifunze kwa Kenya, ziandikishe kwa wingi passport ili watu wayasake maisha popote yalipo. Huu usingizi...
  6. ntamaholo

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Mkuu wa majeshi kulalamika mbele ya camera si weledi
  7. ntamaholo

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Haya mambo ya uraia yanafikirisha sana. Kwanza watu hawataki kujifunza historia ya kweli. Pili historia ya kweli inapotoshwa na hata inayojulikana haizingatiwi sababu ya wivu na chuki dhidi ya watu wengine. Kuhusu historia ya kweli mambo mawili ya kuzingatia. Kabla ya 1884 na 1885, hii nchi...
  8. ntamaholo

    Kumbe kazi ya Polisi inalipa sana, sio njaa kama watu wanavyoisema

    JF siku hizi ni ya tu vijana jobless graduate, kidato na watu waliokaribu kupoteza mwelekeo
  9. ntamaholo

    Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Unayesema na kuamini Israel ni taifa la Mungu hujui maandiko. Ndo wale bendera fuata upepo. Hapo mwanzo hapakuwa na Israel. Kulikuwa na mataifa mengine lkn Israel haikuwepo. Israel inaanza kunikia baada ya Ibrahim kutokewa na Mungu na kupewa ahadi ya kupewa nchi na uzao wake kuzidi sana...
  10. ntamaholo

    Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Mwaposa ni nabii wa uongo Mwamposa ni mshirikina Mwamposa ni mpenda fedha Mwamposa ni mwizi wa fedha za watu Mwamposa ni mchafuzi wa kazi za Mungu aliye hai Mwamposa hana tofauti na waganga wa kienyeji Mwamposa mchumia tumbo. Soma 1kor 1:10-13
  11. ntamaholo

    Simba na Yanga ndiyo miamba ya Online Engagements Afrika nzima

    Azam ni brand ndogo. Hata ukichukua wachezaji wote wa simba na Yanga ukawapa azam, bado hasatoboi. Lkn ukichukua wachezaji toka azam wakaja yanga au Simba wanafanya vizuri. Hii ni uthibitisho kuwa wachezaji hubadilishwa na brand ya timu Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
  12. ntamaholo

    Uonevu hukumu ya Mahakama dhidi ya Vicky Kamata kuhusu mirathi ya mumewe, Dkt. Likwelile

    Usitumie nguvu kubwa sana kwa issue inayohusu ndoa. Hivi karibuni mwalimu wangu wa law of evidence amekuwa akitupitisha kwa uchache kuhusu sheria ya ndoa. Ina mambo mazito. 1. Ndoa inayosherehekewa ki-kristo lazima iwe na sharti ya mke mmoja tu. Ili kutengua hili, ni kwenda mahakamani ukiwa na...
  13. ntamaholo

    Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

    Hata bongo haikuanza bil 225, zilianza chini sana. Lzm uwe na takwimu sahihi kabla ya kuingiza hela
  14. ntamaholo

    Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

    Itapata thamani, kumbuka wana wachezaji wazuri waliofanya makubwa kuliko tanzania. Ni very determined sana kwenye michezo. Pia kwenye msimamo wako juu yetu pale 105 japo ligi yao bado sana ukilinganisha na yetu Kikosi cha timu ya taifa ya kenya kina thamani ya €17mil wkt Tanzania €5milion.
  15. ntamaholo

    Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

    Mkataba wa thamani ya dola million 9.1 sawa na 22,790,950,000.00tsh sawa na ksh 1,324,050,000.00
  16. ntamaholo

    Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

    Safi sana. Mkataba mzuri utategemea biashara inayofanyika nchini kenya ya kununua na kulipia ving'amuzi vya Azam
  17. ntamaholo

    Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

    Azam Media na Shirikisho la Soka Kenya waingia mkataba wa haki ya matangazo kuonesha ligi ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23, kwa muda wa miaka saba. Hii ni hatua njema kwa kukuza ligi za ukanda wetu. Wakenya toeni support kwa Azam media, mtafurahia sana. Viva Azam. Viva...
  18. ntamaholo

    Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Wabunge wa kupelekewa hiyo mikataba ndo akina Ndiyoooooo? Kifupi hakuna hoja itapita ndani ya bunge iliyoasisiwa na ccm isiungwe mkono. Wataunga mkono hoja. Wale wanawaza hela tu
Back
Top Bottom